Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nilikuwa nakwepa Sana kukuita mjinga.We ndo kiazi , kwamba University of Dar es salaam Best Students wote wanapaswa kwenda BOT kila mwaka hata kama katoka kozi ya petroleum au engineering. Soma alichoandika huyo niliyem-quote sio unakurupuka mkuu.
Nimekuuliza unajua maana ya UDBS? Inavyoonyesha hadi sasa hujui maana ya UDBS