Niacheni nilie maana bado sijasahau yaliyonipata jana yasije kunikuta tena

Hiyo sio kweli ,yaani Kama udom , madaraja eg kigamboni , mloganzila , Barbara nyingi , etc huzioni ? Au hiyo miradi ni matumizi ya kawaida ( recurrent expenditure)
Miradi yote ambayo mataga wanaizungumzia ni miradi ambayo ilianzishwa na jk
 
HAKUNA JEMA ALILOLIFANYA NA WATANZANIA TUNAJUA HIVYO
 
Kikwete amejenga sekondari za kata nchi nzima, amejenga barabara zote za kuunganisha mikoa nchi nzima, vituo vya afya, vyuo vikuu, magorofa ya nyumba za wanajeshi nchi nzima, mabomba ya gas nk, hiyo sio miradi ya maendeleo
Ni ya maendeleo na yeye anapaswa kupongezwa kwa hilo,na yapo mengi tu mazuri ya kikwete aliyoyafanya kadiri Mungu alivyomtunuku,ninachokiongea hapa si kuwa hawakufanya mema la hasha ila ninaogopa kurudi kwenye enzi ya kuhubiri umasikini na kuwa hatu wezi kila kitu mpaka waje wafadhiri, kuufanya umasikini kuwa kisingizio cha watu kutowajibika hapo ndipo namuona MAGU akijitokeza waziwazi mbele yangu.
 
Kenya walikwambia wanashida ya Umeme?.we sema pesa aliyopiga kwenye ujenzi hill bwawa ndo zimejenga chato hapo ntakuelewa.
 
Magu anaongoza kwa kukuza ufisadi kwa mujibu wa report ya CAG
 
Kipindi hiko Mishahara wakisubiri mpaka tarehe 15 ya mwezi ulifuata kudadeki na maallamiko juu huku wakilia na kusaga meno, hela ya kulipa mishahara mpaka ikikopwa
 
Huyo mtu utakayemuuliza labda asiwe Dr. Ulimboka au Babu Seya.
 
Mataga mtatunga sana mashairi na ngonjera lkn ukweli mnayejitahidi kumsafisha hasafishiki.
Mataga wameshindwa hii kazi inabidi hii kazi ya kumsafisha Jiwe tuwape Chadema maana walifanya kwa mafanikio sana kumsafisha Lowassa.
 
Mataga wameshindwa hii kazi inabidi hii kazi ya kumsafisha Jiwe tuwape Chadema maana walifanya kwa mafanikio sana kumsafisha Lowassa.
Lowasa yupi?
Lowasa aliyetukanwa matusi ya ajabu na uvccm?
 

nenda fanya tafiti mtaani,kwa vitendo uliza raia 100 utapata majibu,msoga gang haihitajiki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…