Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Mleta mada unaijua Mayanga construction wewe?
Ndio mambo ya siasa na wanasiasa yalivyo, we fikiria mtu kama Lissu kwa jinsi unavyomjua ila alikula matapishi yake Lowassa alipo karibishwa Chadema hakuwa na la kupinga,kwahiyo ni kawaida kwenye siasa.Baada ya kuhamia cdm uvccm wakiongozwa na wewe na mwenzako msukuma kasheku na polepole mlimtukana sana matusi ya hovyo kisa kahama ccm.
Baadae mwenye chama chake na mmiliki wa ccm akaamua kumridisha ndani ya chama nasikia wewe na wenzako mkalazimishwa kumramba miguu.View attachment 1750760
Si afe amfuate?Mleta mada unaijua Mayanga construction wewe?
Ndiyo maana mliamua kumtandika marisasi kama nguruwe mhalibifu wa mazao?Ndio mambo ya siasa na wanasiasa yalivyo, we fikiria mtu kama Lissu kwa jinsi unavyomjua ila alikula matapishi yake Lowassa alipo karibishwa Chadema hakuwa na la kupinga,kwahiyo ni kawaida kwenye siasa.
...Mmmmh alikopa kwa miradi ipi..si tuliambiwa SGR na bwawa la Nyerere tunajenga kwa hela zetu wenyewe...hii mambo ya itaanza kulipa, tuliambiwa pia kwenye ATCL....Tofauti ya mwendazake na wenzake ni hii, Wenzake walikopa ili wapate fedha za matumizi ya serikali, Mwenda zake alikopa kufanya miradi ya maendeleo ambayo baada ya muda itaanza kuzalisha na kujilipa, tunatarajia kuwa wauzaji wa umeme nchi za nje kuanzia mwakani, kwa sasa njia ya kv 400 inakamilika kutoka singida hadi namanga kuingia kenya,njia ya uganda ipo na nchi zingine za ECA, SGR ni mradi wa gharama kubwa lakini utaingiza hela na kuanza kujilipia deni, huu ni mfano wa kiongozi anaeona kesho, kwa kifupi walikopa wakala na huyu kakopa azalishe ni hivyo tu.
Cha msingi ni tumuombee tu apumzike huko tusiko kujua karaha zake wala nuru zake.Hawawezi kukuelewa....na hata kwa dawa huyo Meko acha aende zake tuu amekunyanyasa sana mno. na hata malimbizo ya mali hakujua jinsi ya kuzitumia alibaki kujenga airport ambayo kamwe haitakaa itumike zaidi ya mara 1 kwa mwaka. mwacheni Mwendazake aende tuu angalao watoto na mama Janet wapumue
..Ajabu ni nini...kama mwezi huu umelipwa mshahara tarehe 15, unafikiri mwezi unaofuata utalipwa tarehe ngapi kama sio hiyo 15 ili kutimiza mwezi?Kipindi hiko Mishahara wakisubiri mpaka tarehe 15 ya mwezi ulifuata kudadeki na maallamiko juu huku wakilia na kusaga meno, hela ya kulipa mishahara mpaka ikikopwa
mimi....Mtu yupi huyo atakaesema msoga chap! Acha ulevi..ww uliumizwa kwa sabab ulikuwa mwiz enz za msoga..mtanzania wakawaida aliezoea kujiatia kipato chake kwa njia halali kamwee hawez kuwa upande wa msoga na genge lake la madawa ya kulevyaa..ww ulikuwa mkwepa kodi..kama sio bas ulikuwa unapata kipato kwa njia isiyo sahh..au ulikutwa na cheti bandia..
Hao marais wastaafu walikuwa wanakiri sio kwakuwa walikuwa wanakubali kama walivyosema , bali walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Hivi ulitegemea waseme ukweli tofauti na alichokua anataka kusikia? Halafu usitake kuonyesha eti alikuwa anasafisha pori ndio watu wakaumia. Aliumiza watu kwa kutumia kundi lake la watu wasiojulikana kwa kuwateka, kuwaua, kupora fedha za watu kwa kuwabambikia kodi, kufanya mauaji, kaucha wananchi na vilema hasa wa upinzani ili anajisi uchaguzi. Kwa maneno marahisi jamaa alikuwa shetani, ndio maana Mungu akaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika.Ni kweli wapo watu walio umizwa unadhani kwa nini hata yeye binafsi aliwahi kutamka ''Mtanikumbuka kwa mema na si kwamabaya'' alijua wazi katika kufyeka njia iliyo kuwa poli lazima viumbe wengine wataumia. Kwa jinsi nchi ilipokuwa imefikia ilihitaji shujaa kufanikiwa na ndio maana marais wastaafu wanakiri kushindwa kuirejeshe nchi kwenye mstari wa kuanza kupiga hatua.
Alikuwa mtu katili sana hakuwa na sifa yakuwa kiongoziTatizo ni moja Tuu, jiwe alihubiri jinsi alivyoipigania nchi hii, Ila ule upande wa shilingi alioumiza watu hausemwi, Ila wahusika walioumizwa wanausema sasa.
Alichokifanya ni nothing dhidi ya maumivu aliyowapa watu, mi mwenyewe ni mhanga, usitegemee nikamsifu jiwe Kwa lolote kabisa.
Kikwete alichukiwa Sana na watu Kwa ubadhirifu wa Fedha na ufisadi, ila Leo hii ukimuuliza mtu Kati ya Jiwe na Msoga atakuchagulia Msoga chap.
Imeniuma saana kuona fedha za walala hoi kutumika kusambaza mwili vile mtu aliyekuwa jambazi muuaji, katiri wa kutupwa.Mtu anapiga 1.5 trilioni kimya kimya haijulikani ziko wapi
Kampuni yake unapata tenda za ujenzi kila Kona ya nchi.
Bado Kuna midege iliyonunuliwa mkataba wa manunuzi haijulikani ulipo hatujui alitupiga kiasi gani Cha juu.
Bado mishe mishe nyingi kazipiga na hakuna alieyeweza kumuhoji ukihoji unaishia jela au mochwari.
Hapo hapo !!
Watoto wa maskini waliomaliza vyuo kwa maelfu wanalalamika ajira hawaoni Wala hasikii.
Anakwapua hela za wastaafu kwa kigezo Cha vyeti feki Kama si uonevu Ni Nini?
Hakuna ongezeko la mishahara miaka 5 Wala madaraja
Pesa anatafuna yeye na cycle yake .
Kumuona Huyo mtu shujaa Ni uchizi,uwendawazimu na uduanzi labda Kama ulikuwa mnufaika na ufisadi wake
Hapo sijaongelea kubana Uhuru wa kujieleza na habari,mauaji ya wakosoaji wake ,kesi za kubumba,na mengine kedekede.
Binafsi nitaaahadithia wanangu tuliwahi kuwa na rais wa ovyo aitwa Magufuli
HahahaMwendazake alimtoa CAG huko tanroad we utamwambia nini CAG asichokijua kuhusu wizi Wa marehemu?.
Mfuate huko huko sasa
Kama mwanaharakati maandazi nasema lazima aongezewe mpk 2030,atake asitake. Au nasema uongo ndg zangu?si huwa mnasema yuko kuzimu kwa dhambi zake!!!
upi msimamo wenu kama wanaharakati maandazi??
Hayo mashairi mwimbie Ben Saanane na wengine waliokufa kipindi unachokisifia.Ninalia tena msiba unaanza upya pale Mnapo nikumbusha enzi za kupishana angani! Mzee Kikwete alisafiri takribani safari za nje 421 kwa wastani wa siku tatu kila safari alikaa nje ya nchi kwa jumla ya siku 1263 katika miaka kumi, miaka 3 na miezi 4 hakuwepo nchini, ukiongeza siku zake za rikizo 28x10 = siku 280 ukijumlisha na miaka 3.4 unapata mzee hakuwepo ofisini kwa miaka 4 katika kumi, mwisho watu wakamwita Vasco da Gama wa Tanzania, ukiacha yeye mawaziri na watendaji wengine walikuwa wanapishana angani kwa safari za ulaya na nyingi zilikuwa za kwenda kuomba misaada kwa wafadhiri mpaka ya kujenge vyoo vya shule, hakuna tulichokuwa tunakiweza hadi kulipa mishara ya wafanyakazi wa serikali ilikuwa kitendawili '' kasungura kadogo.''
Ni kweli serikali haikuwa na hela za kuwahudumia raia wake kwani walikuwa hawakusanyi kodi misamaha ya kodi ilitamalaki nchi ikawa ya wapiga dili, misheni town misamiati ambayo leo imetoweka! Nakumbuka na bado nakumbuka bodi za wakurugenzi zikikaa nje ya nchi kudadavua ya nchini kwetu! mikataba inayotuhusu ikifungwa nje ya nchi bila ya kuwa na masilahi kwetu hakika zilikuwa enzi za bata bin batani kwa wale wasiofaidi wakati huo Mh.
Kwa sasa acheni tulinganishe kule na huku wapi tumefanikiwa ingawa ni kwa miaka mitano kwa kumi ya wenzi wake ni wapi tumefanikiwa zaidi kama taifa? Hili liko dhahili na hata wao Ma Rais wastaafu wanakili na walishakili mara nyingi kuwa mafanikio ya mwenda zake yameenda mbali kuliko vipindi vyao vya utawala kwani kati ya mengi yaliyowashinda yeye alifanikiwa kwa muda mfupi sana kuyapa ufumbuzi na nchi kuanza kupiga hatua za kimaendeleo. Amin amin nawaambia hakika mtamkumbuka kwa mema na si kwa mabaya.
Bado nakumbuka bajeti zetu za maendeleo na matumizi za kipindi kile, na alizoacha mwenda zake! napata shida moyoni je nitarejea kule au nitasonga mbele machozi yananitoka bado nalia na huenda nikalia zaidi, ila najipa moyo kwa kuwa mama alikuwepo jikoni wakati pishi hili likitengenezwa nina hakika anaijua njia sitarejea kwenye tembele la chukuchuku kwa kuwa eti sisi ni masikini, hatuna hela ya kununua viungo,msiba wangu utadumu milele kama mama atazisikiliza nyimbo za wapiga zumari wa eti ''umasikini wetu haushindiki''
Ufisadi wote wa JK haujawahi kugusa 1.5t trillion.hivi hayo unayoita matokeo ni yapi kwanza? barabara….JK alijenga, madaraja..Mkapa na JK walijenga pia.... Mwendo kasi...JK, Mloganzila na JKH institute...JK, UDOM ...JK, Ufusadi kote ulikuweko na kwa mwendazake ulijaa kama wote, haya ndege mmenunua cash hazina pa kwenda na nyingine zinatolewa pesa za maintanance lkn bado zimelala, Mishahara kwa wafanyakazi kwa JK annual increment ilikuweko lkn kwa Magu haijawahi tokea. kiwanja chandege..phase I and II mwanzoani ni JK, Songwe airport..JK, Kihansi HPP... JK, Kinyerezi Power plant ...JK hebu tuelezee hasaa nini kimefanyika ambacho wengine hakukufanyika mpaka mumuite so special mpk mtake kuweka sura yake penye noti?
Kumtandika Risasi kwa sababu ya kumsafisha Lowassa?Ndiyo maana mliamua kumtandika marisasi kama nguruwe mhalibifu wa mazao?