Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Mfuate huko huko sasaKipindi hiko Mishahara wakisubiri mpaka tarehe 15 ya mwezi ulifuata kudadeki na maallamiko juu huku wakilia na kusaga meno, hela ya kulipa mishahara mpaka ikikopwa
Mfuate huko huko sasaKipindi hiko Mishahara wakisubiri mpaka tarehe 15 ya mwezi ulifuata kudadeki na maallamiko juu huku wakilia na kusaga meno, hela ya kulipa mishahara mpaka ikikopwa
Nimekusoma mara 2 halafu nikarudia na UZI but sijaona uhusiano wa mchango wako na UZI tunao changia; kwanini usifungue uzi wako mpya wa kumtukana Mbowe ili tuje tuchangie huko!? Anyway, kimjazacho mtu ndicho kimtokacho. Inaelekea Mbowe kupiga machine ya Joyce inawauma wengi sana, nadhani itabidi nitafute picha Joyce nimuone na mimi, huenda ni pisi kali sana.*TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!
Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.
Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?
Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Kwa sasa ni mkuu wa malaika.
Hana mema tuSasa mnatuchanganya..zikiwa sifa kwa miradi mnasema kaanzisha JK, ikiwa ni lawama kuwa miradi haina tija basi aliyeanzisha jamaa [emoji2369]
Huyo dogo ni pandikizi jipya lenye lengo la kuharibu thread zote zinazo kosoa mambo ya jiweNimekusoma mara 2 halafu nikarudia na UZI but sijaona uhusiano wa mchango wako na UZI tunao changia; kwanini usifungue uzi wako mpya wa kumtukana Mbowe ili tuje tuchangie huko!? Anyway, kimjazacho mtu ndicho kimtokacho. Inaelekea Mbowe kupiga machine ya Joyce inawauma wengi sana, nadhani itabidi nitafute picha Joyce nimuone na mimi, huenda ni pisi kali sana.
Mtu yupi huyo atakaesema msoga chap! Acha ulevi..ww uliumizwa kwa sabab ulikuwa mwiz enz za msoga..mtanzania wakawaida aliezoea kujiatia kipato chake kwa njia halali kamwee hawez kuwa upande wa msoga na genge lake la madawa ya kulevyaa..ww ulikuwa mkwepa kodi..kama sio bas ulikuwa unapata kipato kwa njia isiyo sahh..au ulikutwa na cheti bandia..Tatizo ni moja Tuu, jiwe alihubiri jinsi alivyoipigania nchi hii, Ila ule upande wa shilingi alioumiza watu hausemwi, Ila wahusika walioumizwa wanausema sasa.
Alichokifanya ni nothing dhidi ya maumivu aliyowapa watu, mi mwenyewe ni mhanga, usitegemee nikamsifu jiwe Kwa lolote kabisa.
Kikwete alichukiwa Sana na watu Kwa ubadhirifu wa Fedha na ufisadi, ila Leo hii ukimuuliza mtu Kati ya Jiwe na Msoga atakuchagulia Msoga chap.
Weee msukuma acha propaganda! Meko alikuwa mtu hatari kuliko shetani.Ni kweli wapo watu walio umizwa unadhani kwa nini hata yeye binafsi aliwahi kutamka ''Mtanikumbuka kwa mema na si kwamabaya'' alijua wazi katika kufyeka njia iliyo kuwa poli lazima viumbe wengine wataumia. Kwa jinsi nchi ilipokuwa imefikia ilihitaji shujaa kufanikiwa na ndio maana marais wastaafu wanakiri kushindwa kuirejeshe nchi kwenye mstari wa kuanza kupiga hatua.
MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA!!
1. Mwambieni CAG kwamba sisi wenyewe tumeridhika, tumezoea kuibiwa. Mwambieni tofauti ya wizi wa zamani na huu ni kwamba wizi wa sasa unafaida kwa Wananchi wala asiumize kichwa. Mwambieni sisi Wananchi hatuna tatizo na hasara au wizi uliofanyika wakati wa JPM. Sisi tumeridhika hivyohivyo kwa sababu tuna macho ya kuona!!
2. Mwambieni CAG kwamba tuliibiwa hapa kupitia EPA. Pesa bilioni 135 zikaliwa na watu wachache, wakati huo elimu bure ilikua bado kuja. Mikopo ya elimu ya juu ilikua ni songombingo kwa hiyo hatuoni hatari kuibiwa sasa huku elimu bure ikiwa imeanzishwa na mikopo ikitoka kwa wakati. Sisi tumeridhika kabisa na hasara au wizi wa JPM!!
3. Mwambieni CAG kwamba tuliibiwa hapa bilioni 300 Serikali ikilipa Makampuni hewa katika kashfa ya MEREMETA. Mwambieni hapakua na tatizo lolote na wakati huo bajeti ya Dawa ilikua chini ya bilioni 30 lakini sasa na wizi wa JPM umepandisha bajeti ya DAWA zaidi ya mara tisa; yaani bilioni 270. Mwambieni kwa wizi huu Mungu atupe nini? Tumeridhika sana na wizi wa JPM.
4. Mwambieni CAG kwamba tulishaibiwa sisi kwenye mauzauza ya uwekezaji wa Bulyanhulu na Buzwagi na hata leo hakuna maelezo ya yanayoeleweka. Kodi hazikulipwa na pesa zikapigwa na wajanja wachache. Wakati huo wote madini na migodi yote ilikua ni mali ya wawekezaji wasiolipa kodi, Wananchi ilikua ni marufuku kukaribia migodi katika nchi yao. Kama JPM ameiba halafu wananchi wanachimba madini wenyewe kwa uhuru, ninaumia kwamba atakua ameiba kidogo sana. Wizi wenye manufaa kwa umma una maana zaidi kuliko wizi usio na manufaa. Sisi tumezoea kuibiwa, lakini kwa huu wa JPM tumeridhika.
5. Mwambieni CAG kwamba sisi tumezoea kuibiwa. Tumeshaibiwa haswa, ilikuja hapa tukaibiwa katika Mkataba wa kijinga wa DOWANS. Nchi ikalipa bilioni 111 kwa sababu ya maslahi ya watu wachache. Wakati tunaibiwa kupitia DOWANS, Mv. Victoria ilikua inalaza watu siku mbili ziwani kwa ubovu wake. Maisha yao yalikua hatarini kila safari, leo JPM akiiba au akitutia hasara ya bilioni 60 huku Mv. Victoria ikiwa MPYA kuna tatizo gani? Meli mpya tele kuanzia ziwa Nyasa, Tanganyika na Bahari ya Hindi Kilwa. Tunapenda wizi wa namna hii, angeiba kabisa za kutosha akajenga nyumba nzuri kama wenzake, akamiliki magari za mizigo meupe kukuki na sheli za kumwaga. Au akamilika supermakert za Da'slam kama wenzake. Sisi kuibiwa tumezoea, wizi wa JPM una manufaa, tumeridhika.
6. Mwambieni CAG kuwa sisi tumezoea kuibiwa asijiumize bure na ma-press ya kutangaza vi-wizi vya kitoto hivyo. Tulipigwa hapa pesa TAKATIFU katika Mkataba maarufu wa RICHMOND ulioondoka na Serikali ya mwaka 2008 hadi sasa hakuna kilichofanyika. Wakati tukipigwa pesa za Richmond daraja la Mfugale lilikua halipo, Daraja la Ubungo (Kijazi Interchange) haikuwahi kufikiriwa, Daraja la Tanzanite (Salender) lilikua katika ndoto, lile la Busisi halikufikiriwa kabisa. Kama tumeibiwa leo na mambo yote haya yamefanyika mwambieni CAG sisi roho kwatu, tumeridhika riport zake tupa kule hatusikii la mwazini wala mnadi swala. Tumefunga masikio!!
7. Mwambieni CAG sio hata siku nyingi zilichotwa BOT bilioni 306 kwa kilichoitwa kashfa ya TEGETA ESCROW. Nchi ikaibiwa tena na wajanja wachache, wakabeba pesa kwenye masandarusi. Wakati tukiibiana bilioni 306 za Escrow umeme vijijini ulikua unaunganishwa kwa Tsh. 454,000 ila kwa wizi wa JPM umeme vijijini unaunganishwa kwa Tsh. 27,000; asilimia zaidi ya 70 umeme umefika vijijini. Wizi mzuri kiasi gani huu!? Sasa tunajenga megawati 2400 kutoka Bwawa la Nyerere ili umeme ushuke zaidi. Ingalikua uwezo ni wangu ningalimrudisha mtu huyu aendelee kuiba na kutia hasara zaidi kwa sababu wizi na hasara zake zina manufaa kwa watu. Mwambieni CAG sisi tumeridhika hivyohivyo, atuwache!!
8. Mwambieni CAG sisi tumewahi kuibiwa Twiga mzima akabebwa na shingo yake akaondoka zake. Hii nchi tunaibiana na Wanyama yeye anahangaika na vipesa vidogo vidogo vya matengenezo ya ATCL. Mwambieni wakati tukiibiana TWIGA upatikanaji wa maji Vijijini ulikua ni asilimia 47 na sasa kwa wizi na hasara za JPM upatikanaji wa Maji vijijini umefikia asilimia 70.1 huku mijini upatikanaji ukitoka asilimia 74 hadi 84. Ni mtu mjinga pekee anaweza kuchukizwa na wizi wa JPM, mwambieni CAG sisi tumeridhika tunatamani angekuwepo aibe tena. Hatutakagi ujinga!!
9. Mwambieni CAG kuwa tumeibiwa sana nchi hii. Wakati wote tuliibiwa huku Nchi ikiwa haina Ndege hai hata moja. Mwambieni leo tuna Ndege 11 za kwetu wenyewe. Hizo hasara za ATCL zisimuumize kichwa, hakuna biashara isiyo na hasara, JPM keshawawekea mtaji na heshima ni wajibu wao kutafuta akili za kupata faida sio kuua mtaji. Mwambieni CAG, sisi tunampenda mwizi anayeiba halafu akanunua Ndege kwa ajili ya Nchi nzima, akajenga reli ya kasi, stend kibao za kisasa, masoko kwa ajili ya biashara nk. Kwakweli sisi tumeridhika sana na wizi huu!! Mungu amlaze mahala pema JPM, ametutoa tongotongo!!
10. Mwambieni CAG asipoteze nguvu zake bure kwa sababu hata hao wezi huwa hawafanywi kitu. Mwambieni tumezoea na zaidi tumeridhika na wizi au hasara za JPM. Mwambieni CAG nchi hii imeongozwa na wezi wengi lakini huyu alikua ni mwizi wa heshima. Tunampenda, tutammiss hivyohivyo na yeyote mwenye kumchafua atachafuka kwanza yeye. Tutakua Taifa la kijimga sana kuacha ALAMA za mtu huyu zifutwe na watu wajinga, wavivu
wasio na lolote walioachiwa Nchi wasiongoze wakihangaika na umbea, udaku na ushambenga.
Kwa taarifa yenu #SISI TUMERIDHIKA HATA ANGEIBA NCHI YOTE AIUZE!! Tuna macho ya kuona, tusichoshane.
#TutakukumbukaDaimaJPM.
MenukaJr,
Da'slam-Tanzania.
Ni ya maendeleo na yeye anapaswa kupongezwa kwa hilo,na yapo mengi tu mazuri ya kikwete aliyoyafanya kadiri Mungu alivyomtunuku,ninachokiongea hapa si kuwa hawakufanya mema la hasha ila ninaogopa kurudi kwenye enzi ya kuhubiri umasikini na kuwa hatu wezi kila kitu mpaka waje wafadhiri, kuufanya umasikini kuwa kisingizio cha watu kutowajibika hapo ndipo namuona MAGU akijitokeza waziwazi mbele yan
hao wafadhili bado wako kama wote mbona… kila mradi mnakopa sasa inatofauti gani? uliza ndani ya miaka mitano deni limeongezeka kwa kiasi gani? wafadhili wapo bado...ARV mnapewa, Vyoo vya shule bado mnajengewa, Chanjo za watoto mnafadhiliwa!!!na bado kidogo chanjo ya Covid mtafadhiliwa. WAFADHILI BADO WAPO!!!Ni ya maendeleo na yeye anapaswa kupongezwa kwa hilo,na yapo mengi tu mazuri ya kikwete aliyoyafanya kadiri Mungu alivyomtunuku,ninachokiongea hapa si kuwa hawakufanya mema la hasha ila ninaogopa kurudi kwenye enzi ya kuhubiri umasikini na kuwa hatu wezi kila kitu mpaka waje wafadhiri, kuufanya umasikini kuwa kisingizio cha watu kutowajibika hapo ndipo namuona MAGU akijitokeza waziwazi mbele yangu.
Ninalia tena msiba unaanza upya pale Mnapo nikumbusha enzi za kupishana angani! Mzee Kikwete alisafiri takribani safari za nje 421 kwa wastani wa siku tatu kila safari alikaa nje ya nchi kwa jumla ya siku 1263 katika miaka kumi, miaka 3 na miezi 4 hakuwepo nchini, ukiongeza siku zake za rikizo 28x10 = siku 280 ukijumlisha na miaka 3.4 unapata mzee hakuwepo ofisini kwa miaka 4 katika kumi, mwisho watu wakamwita Vasco da Gama wa Tanzania, ukiacha yeye mawaziri na watendaji wengine walikuwa wanapishana angani kwa safari za ulaya na nyingi zilikuwa za kwenda kuomba misaada kwa wafadhiri mpaka ya kujenge vyoo vya shule, hakuna tulichokuwa tunakiweza hadi kulipa mishara ya wafanyakazi wa serikali ilikuwa kitendawili '' kasungura kadogo.''
Ni kweli serikali haikuwa na hela za kuwahudumia raia wake kwani walikuwa hawakusanyi kodi misamaha ya kodi ilitamalaki nchi ikawa ya wapiga dili, misheni town misamiati ambayo leo imetoweka! Nakumbuka na bado nakumbuka bodi za wakurugenzi zikikaa nje ya nchi kudadavua ya nchini kwetu! mikataba inayotuhusu ikifungwa nje ya nchi bila ya kuwa na masilahi kwetu hakika zilikuwa enzi za bata bin batani kwa wale wasiofaidi wakati huo Mh.
Kwa sasa acheni tulinganishe kule na huku wapi tumefanikiwa ingawa ni kwa miaka mitano kwa kumi ya wenzi wake ni wapi tumefanikiwa zaidi kama taifa? Hili liko dhahili na hata wao Ma Rais wastaafu wanakili na walishakili mara nyingi kuwa mafanikio ya mwenda zake yameenda mbali kuliko vipindi vyao vya utawala kwani kati ya mengi yaliyowashinda yeye alifanikiwa kwa muda mfupi sana kuyapa ufumbuzi na nchi kuanza kupiga hatua za kimaendeleo. Amin amin nawaambia hakika mtamkumbuka kwa mema na si kwa mabaya.
Bado nakumbuka bajeti zetu za maendeleo na matumizi za kipindi kile, na alizoacha mwenda zake! napata shida moyoni je nitarejea kule au nitasonga mbele machozi yananitoka bado nalia na huenda nikalia zaidi, ila najipa moyo kwa kuwa mama alikuwepo jikoni wakati pishi hili likitengenezwa nina hakika anaijua njia sitarejea kwenye tembele la chukuchuku kwa kuwa eti sisi ni masikini, hatuna hela ya kununua viungo,msiba wangu utadumu milele kama mama atazisikiliza nyimbo za wapiga zumari wa
![]()
Zitto: Serikali ya JK katika hali mbaya kifedha; Mkulo Akanusha!
Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, alidai kuwa hali hiyo mbaya fedha kwa Serikali imesababisha watumishi wake pamoja na wabunge kutolipwa mishahara hadi jana Mei 7, 2011. Akizungumza na wananchi Vwawa katika Jimboni Mbozi Mashariki katika viwanja ya ofisi ya Afisa Mtendaji, Zitto...www.jamiiforums.com
Mkuu fungua hiyo linkNinalia tena msiba unaanza upya pale Mnapo nikumbusha enzi za kupishana angani! Mzee Kikwete alisafiri takribani safari za nje 421 kwa wastani wa siku tatu kila safari alikaa nje ya nchi kwa jumla ya siku 1263 katika miaka kumi, miaka 3 na miezi 4 hakuwepo nchini, ukiongeza siku zake za rikizo 28x10 = siku 280 ukijumlisha na miaka 3.4 unapata mzee hakuwepo ofisini kwa miaka 4 katika kumi, mwisho watu wakamwita Vasco da Gama wa Tanzania, ukiacha yeye mawaziri na watendaji wengine walikuwa wanapishana angani kwa safari za ulaya na nyingi zilikuwa za kwenda kuomba misaada kwa wafadhiri mpaka ya kujenge vyoo vya shule, hakuna tulichokuwa tunakiweza hadi kulipa mishara ya wafanyakazi wa serikali ilikuwa kitendawili '' kasungura kadogo.''
Ni kweli serikali haikuwa na hela za kuwahudumia raia wake kwani walikuwa hawakusanyi kodi misamaha ya kodi ilitamalaki nchi ikawa ya wapiga dili, misheni town misamiati ambayo leo imetoweka! Nakumbuka na bado nakumbuka bodi za wakurugenzi zikikaa nje ya nchi kudadavua ya nchini kwetu! mikataba inayotuhusu ikifungwa nje ya nchi bila ya kuwa na masilahi kwetu hakika zilikuwa enzi za bata bin batani kwa wale wasiofaidi wakati huo Mh.
Kwa sasa acheni tulinganishe kule na huku wapi tumefanikiwa ingawa ni kwa miaka mitano kwa kumi ya wenzi wake ni wapi tumefanikiwa zaidi kama taifa? Hili liko dhahili na hata wao Ma Rais wastaafu wanakili na walishakili mara nyingi kuwa mafanikio ya mwenda zake yameenda mbali kuliko vipindi vyao vya utawala kwani kati ya mengi yaliyowashinda yeye alifanikiwa kwa muda mfupi sana kuyapa ufumbuzi na nchi kuanza kupiga hatua za kimaendeleo. Amin amin nawaambia hakika mtamkumbuka kwa mema na si kwa mabaya.
Bado nakumbuka bajeti zetu za maendeleo na matumizi za kipindi kile, na alizoacha mwenda zake! napata shida moyoni je nitarejea kule au nitasonga mbele machozi yananitoka bado nalia na huenda nikalia zaidi, ila najipa moyo kwa kuwa mama alikuwepo jikoni wakati pishi hili likitengenezwa nina hakika anaijua njia sitarejea kwenye tembele la chukuchuku kwa kuwa eti sisi ni masikini, hatuna hela ya kununua viungo,msiba wangu utadumu milele kama mama atazisikiliza nyimbo za wapiga zumari wa eti ''umasikini wetu haushindiki''
Ndio huyo huyo, Lowassa alisafishwa vizuri tu alipoenda Chadema maana kabla ya hapo alikuwa anatambulika kuwa ni fisadi tu hakuna ambaye angefikiri kwamba fisadi huyo anaweza kugombea urais nje ya Ccm ila Chadema walimfanyia kazi nzuri sana huyu mzee hadi raia wakampigia deki barabarani na inasemwa kuwa alishinda uchaguzi kihalali kama si ccm basi pengine hadi sasa angekuwa ndio rais wa Tanzania.Lowasa yupi?
Lowasa aliyetukanwa matusi ya ajabu na uvccm?
Ndugu yangu nikuambie kama kitu Mwendazake aliharibu ni kwenye eneo la kuumiza watu kwa kisingizio cha maendeleo.Ni kweli wapo watu walio umizwa unadhani kwa nini hata yeye binafsi aliwahi kutamka ''Mtanikumbuka kwa mema na si kwamabaya'' alijua wazi katika kufyeka njia iliyo kuwa poli lazima viumbe wengine wataumia. Kwa jinsi nchi ilipokuwa imefikia ilihitaji shujaa kufanikiwa na ndio maana marais wastaafu wanakiri kushindwa kuirejeshe nchi kwenye mstari wa kuanza kupiga hatua.
Baada ya kuhamia cdm uvccm wakiongozwa na wewe na mwenzako msukuma kasheku na polepole mlimtukana sana matusi ya hovyo kisa kahama ccm.Ndio huyo huyo, Lowassa alisafishwa vizuri tu alipoenda Chadema maana kabla ya hapo alikuwa anatambulika kuwa ni fisadi tu hakuna ambaye angefikiri kwamba fisadi huyo anaweza kugombea urais nje ya Ccm ila Chadema walimfanyia kazi nzuri sana huyu mzee hadi raia wakampigia deki barabarani na inasemwa kuwa alishinda uchaguzi kihalali kama si ccm basi pengine hadi sasa angekuwa ndio rais wa Tanzania.
Kwahiyo kwa record hizo mimi naona kabisa hii kazi ya kumsafisha Jiwe wapewe tu Chadema.
Kama hatokuelewa basi msameheNdugu yangu nikuambie kama kitu Mwendazake aliharibu ni kwenye eneo la kuumiza watu kwa kisingizio cha maendeleo.
Ukiachana na waliobomolewa nyumba Kimara - Kibaha kwa ajili ya uhenzi wa barabara wa njia nane. Wengi wa aliowaumiza aliwaumiza kwasababu za kisiasa tu. Wengi ni wale walijaribu kuanika ufisadi wake au kukosoa sera zake za kukurupuka katika kufikia maamuzi ambazo matokeo yake yanakuja kuligharimu taifa.
Ukiwa ni mkweli usieongozwa na mapenzi kwa Mwendazake utakubaliana na mimi kwamba nchi hii tangu tupate uhuru nchi yetu haijawahi kuongozwa na chama kingine zaidi ya ccm.
Na ufisadi wote uliofanyika kwenye nchi hii tunaoujua na ambao hatuujui umefanywa na viongozi na wanachama wa ccm.
Lakini cha ajabu Mwendazake aliamua kuelekeza mashambulizi yake yote kwa wapinzani wake wa kisiasa kama vile ndio walikuwa wamefanya ufisasi na kuifilisi hii nchi.
Yeye aliwachukulia wapinzani kuwa ni maadui wa tanzania na aliwaambukiza hiyo mentality viongozi wengi na wafuasi wengi wa ccm.
Angalia mambo yalitomtokea Lissu na viongozi wote wa chadema. Mauaji na utekaji na kunyang'anywa au kufilisiwa mali hasa kwa watu walionekana kuzipinga sera zake hakika wamepitia wakati mgumu kwenye utawala wake.
Zaidi amejenga chuki na kuhubiri ubaguzi bila aibu.(Kiongozi unawezaje kusema eti hapa sitawaletea maji au kuwajengea kituo cha afya kwasababu nyie mlichagua upinzani) Ni aibu na hatari kwa kiongozi kuhubiri ubaguzi kwenye nchi ya kidemokrasia.
Kilichofanyika 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na hitimisho lake kwenye uchaguzi mkuu 2020 ni kielelezo tosha kwamba yeye hakuwa kiongozi wa kutuweka watanzania pamoja bila kijali itikadi zetu ila yeye aliamini katika ubinafsi na kutaka watu wote wawe wanamuabudu.
Matendo hayo ndiyo yanayoharibu kabisa hata maendeleo aliyoyafanya. Angeachana na hizo tabia hala akajikita kwenye mambo ya maendeleo nakuhakikishia angejizolea sifa kubwa sana.
Uhuru,na haki vinaleta amani ya kweli. Sio barabara, reli, ndege au majengo makubwa makubwa ya hospitali au stendi.
Umeshinda mkuuMtu anapiga 1.5 trilioni kimya kimya haijulikani ziko wapi
Kampuni yake unapata tenda za ujenzi kila Kona ya nchi.
Bado Kuna midege iliyonunuliwa mkataba wa manunuzi haijulikani ulipo hatujui alitupiga kiasi gani Cha juu.
Bado mishe mishe nyingi kazipiga na hakuna alieyeweza kumuhoji ukihoji unaishia jela au mochwari.
Hapo hapo !!
Watoto wa maskini waliomaliza vyuo kwa maelfu wanalalamika ajira hawaoni Wala hasikii.
Anakwapua hela za wastaafu kwa kigezo Cha vyeti feki Kama si uonevu Ni Nini?
Hakuna ongezeko la mishahara miaka 5 Wala madaraja
Pesa anatafuna yeye na cycle yake .
Kumuona Huyo mtu shujaa Ni uchizi,uwendawazimu na uduanzi labda Kama ulikuwa mnufaika na ufisadi wake
Hapo sijaongelea kubana Uhuru wa kujieleza na habari,mauaji ya wakosoaji wake ,kesi za kubumba,na mengine kedekede.
Binafsi nitaaahadithia wanangu tuliwahi kuwa na rais wa ovyo aitwa Magufuli
Hakuna mema aliyo Fanya zaidi ya kutekeleza miradi yoote iliyo anzishwa na mh kikwete
Well saidJiwe alikuwa mwizi kama wezi wengine tu. Bora hata ya hao wezi wengine walijiweka wazi kuwa wapigaji. Bw. Jiwe alijitwika umalaika mtu, mtiifu kupita kikomo kumbe nyuma ya pazia anatuchapa tu.
Kwa kifupi alikuwa kibaka mbabe. Anakuibia na mikwara juu.
Mfadhili ni Polepole mbunge wa viti maalamuNatamani sana kumfahamu huyo mfqdhili wenu anaye isimamia hii show mwanzo mwisho!
Maana nyuzi za kumfagilia marehemu na kumponda JK, zimetamalaki sana humu jukwaani kutoka kwa members wapya kabisa!