Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

View attachment 3087497

Isanga family
Nikusumbue kaka, nianze jipanga nasikia sikia harufu ya pesa.. nimpita TRA kuangalia ushuru.. ni kama hivyo chini kwa huo mwaka 2015 VW Scirocco 2.0 TSI.. bei zake hukl zachezea ngapi kaka
Mkuu SA gari za VW zipo kwenye soko sana na bei zake zipo juu hiyo ndogo ya kuanzia 2014 na 2015 bei zake ni kuanzia rand laki mbili kuendelea kucheki hela ya kitanzania ingia goggle wanakupa Tsh na pia ukitaka kujua bei za magari huku ingia kwenye site za huku andika jina la hilo gari harafu .co.za
Ila usifanye nao biashara mtandaoni hao ni kujua bei tu hata Gumtree.co.za au we buys car.
 
Nimeangalia nimeona wastani wa bei
 
Sema kwa gari za huku angalia
Rav 4, Hyundai ix 35,Mazda CX-5,Jaguar face Pace haya magari ukipata moja wapo ni magari kweli ila hilo Jaguar ni Land Rover tafuta ya 2020 ina balaa fulani amazing niliiona daslm moja tu huko Mikocheni anaendesha mdada.
Jaguar ni gari ya maana, ila nahisi hela haitotosha labada mbeleni nije ku upgrade.. VW Scirocco ilinivutia muonekano wake na nguvu ambayo inayo n ule mwendo wake.. nilisha wai ku test kale ka 1.4 TSI kana baraa
 
Isanga family hebu kaka nikitaka Ford Ranger Wildtrak DCabin ya 2020..what could be the damage estimates? Ukiangalia za UK TRA watakudai kama 25M. Nikiangiza SA, what are the savings?
Kodi ni hiyo hiyo utoe SA,UK au Japan ila zitatofautiana kwa bei utakayonunua SA au UK sijajua UK utainunua kwa bei gani kwa hiyo sijuj uta save kiasi gani mkuu..ila UK kwa mwaka huo sijui kama unaweza kuigusa sijui..
 
I know..ni parefu. Ila siku zote maisha ni ubishi.
 
Back
Top Bottom