Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Kuanzia kiasi gani unapata gari kali ukiachana na hizo ulizotaja kaka?
CX 3, Discovery ya 2007,Mercedes-Benz C 180, hizi naona zipo kundi la 20m mpaka 30m inategemeana na mwaka wake hapo kulingana na TRA wanasemaje maana gari unaanza kuangalia kikokotoo kinasemaje ili ujipange kulipia maana hela ya kulipia inakua ndogo kuliko kodi..
 
Mkuu habari.
Naulizia bei ya Toyota Allex/Rux kutoka South Africa.
Mwaka sijui, sio kwamba nataka latest kabisa 0 km. Nataka iliopo katika Hali nzuri.
Unaweza kunipa makadirio niandae milioni ngapi TZS.
 
Nimeingia SA mkuu lete habari...
Habari Isanga

Kuna jamaa yangu anaulizia utaratibu wa kuagiza gari.

Kaniuliza maswali haya, nikamwambia ngoja nimchek kuna jamaa anafanya hizo mishe.

Maswali yenyewe ni :

Okay, jaribu kumuulizia.

1.Utaratibu waa kununua na kulituma Tz inakuaje!

2.Njia za usafirishaji

3. Je mtu anaweza kutumia website kununua?
4. Website zipi ni za uhakika.
 
Mkuu habari.
Naulizia bei ya Toyota Allex/Rux kutoka South Africa.
Mwaka sijui, sio kwamba nataka latest kabisa 0 km. Nataka iliopo katika Hali nzuri.
Unaweza kunipa makadirio niandae milioni ngapi TZS.
South Africa hakuna Toyota Allex. Zipo Toyota Runx Rsi na TRD hizi ni za miaka ya 2004 mpaka 2007. Kama unataka Latest ni Toyota Yaris na Auris.

Chukua Toyota Runx Rsi jitahidi upate automatic, South gari zao nyingi manual.Kama unapenda speed hii itakufaa
Crop640x480.jpeg
Crop800x600.jpeg
Crop800x600 (1).jpeg
Crop800x600 (2).jpeg
 
Habari Isanga

Kuna jamaa yangu anaulizia utaratibu wa kuagiza gari.

Kaniuliza maswali haya, nikamwambia ngoja nimchek kuna jamaa anafanya hizo mishe.

Maswali yenyewe ni :

Okay, jaribu kumuulizia.

1.Utaratibu waa kununua na kulituma Tz inakuaje!

2.Njia za usafirishaji

3. Je mtu anaweza kutumia website kununua?
4. Website zipi ni za uhakika.
OK Mkuu anataka gari gani?
Site zimeingiliwa ndio maana sisi tunafata gari hapa nalipia na kuondoka na gari Wahuni wana wizi wa mtandao wa kubadili account dakika kadhaa na kuwaibia watu.
Gari inakuja kwa kuendeshwa kutoka SA mpaka Tanzania analipia gharama za dereva,mafuta,Road toll ya Zzmbia,,Botswana tunalipia kama rand 450 na Agent upande wa kutoka SA ni rand 650.
Ukifika hapo Kazungura unalipia agent wa Zambia usd 200 ili uwe kwenye bond yake unapopitisha gari Zambia.
Mimi huwa nachaji mtu kama anahitaji gari huku na naweza kumletea pia muda wa gari kununua na kufika Tunduma hazizidi wiki mbili inategemeana na documents zimetoka mapema au la.
 
Asante.

Kwa nilivoelewa:
1. Utaratibu wa kununua cash? Bank? Hela mtu anakutumia wewe kwenye account yako ya bank ama inakuaje. Usalama wa pesa zake unakuaje. Pengine kwa mwenye hofu ya kutuma pesa kisha mpokeaji apotee mazima na vitu kama hivo.

2. Usafirishaji : Barabara, gari inaendeshwa kutoka S.A hadi TZ.

3. Gharama za ziada:
Road Toll Zambia: 450 Rand
Road Toll S.A: 650 Rand
Agent Zambia: 200 USD
Malipo ya Dereva: hujasema kiasi gani.

Halafu je, gari inapopita Botswana/Zimbabwe hakuna kulipia Road Toll?

Ngoja nimuulize anahitaji gari gani ili unipe makadirio ya gharama. Maana hii kumpa mtu gharama nusu nusu atazidi kunisumbua na maswali zaidi.
 
Kuna account ntakupa ambayo wao huko watalipa itaingizwa kwenye account ya hao jamaa ntakaochukua gari na link ya bei na hilo gari nawatumia pia watakaokagua gari wanalipwa na hiyo hiyo kampuni wanayouza gari..mimi huku sishiki cash zaidi ya hizo za mafuta na malipo ya tolls na Agent na malipo ya kazi yangu mnalipa nikifika Tunduma.
 
Mkuu Land rover defender 110 used ina ngapi? Ya kuendea shambani....nichagulie fupa la kumalizia but iwe in good condition.
 
Wewe sijui umetoka wapi, sijui unahusika vipi na huu uzi, sidhan kama unaweza kuwa mfanyabiashara wewe, mtu kuuliza bei sio usumbufu, anaweza asiwe na pesa sasa hivi ila jibu lako linampa hamasa akaja kukutafuta wakati muafaka.
Ujuaji ni mwingi sana humu JF.
 
IMG_20240905_090638.jpg

Isanga family
Nikusumbue kaka, nianze jipanga nasikia sikia harufu ya pesa.. nimpita TRA kuangalia ushuru.. ni kama hivyo chini kwa huo mwaka 2015 VW Scirocco 2.0 TSI.. bei zake hukl zachezea ngapi kaka
 
Back
Top Bottom