Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Ina maana SA watu hawaendeshi magari Tena Brand new? Sembuse wewe unaenda kununua gari second hand. Tuache visingizio,sema Huna hela
Mada ni kununua South Africa vs Japan, na si kununua gari au kutokununua, au kuwa na hela au kutokuwa na hela. Ameuliza swali la msingi na linastahili majibu kwa sababu ni kweli SA kuna changamoto kubwa sana ya usalama.
Nilitegemea uelekeze majibu yako kwenye hoja ya msingi na si kumwambia hana hela au ana visingizio.
Binafsi sina hela na wala sina mpango wa kununua gari sasa hivi ila ningetamani kujua (kwa ajili ya baadae) waagizaji wanajikinga vipi na hizo hatari za barabarani (bima??)
Wacha wanaojua vizuri kuhusu hili waje watujibu, kwa faida yake na wengine.
 
VP usalama wako na gari jipya pindi ukiwa SA maana tunasikia huko ujambazi hasa highway ni 24/7, huwezi kwenda kupoteza maisha na gari likaporwa, mzee wa isanga?
Namshukuru Mungu mimi sijawahi kupata hizo balaa kwa kipindi changu chose nacholeta gari Tanzania naona hata wanaokuja kuchukua Mars ya kwanza wanatoka kwa Goggle SA na wanafika mkuu...
 

Attachments

  • 20240509_124520.jpg
    20240509_124520.jpg
    1.8 MB · Views: 19
  • 20240509_124527.jpg
    20240509_124527.jpg
    2.5 MB · Views: 14
Zile gari zilizokua zinaibiwa kwa wingi na kuja kuuzwa tz, Kenya,Uganda zilikua brand new?
Kile kitu hawawezi kufanya tena gari nyingi zilifatwa kwa kuwa zilikua hazijafutwa kwenye system ya SA watu wanatoka na gari huku likiwa linasoma linadaiwa disc SA wahuni wachache wakatengeneza Deal la kufata gari hizo na kuunganisha na nyingine zenye matatizo zilizoibiwa maana Jiranj yao Msumbiji walikataa waliokubali ni wale wenye mambo ya kiujanja ujanja tu pamoja na Zambia...SA likikamatwa gari lina documents mbili sahihi hapo hakuna mwenye gari litaenda kupondwa panda ninyi nendeni mka claim Bima wawalipe hata kuibiwa pia wao waliambiwa walitumia sheria gani ya kufata hizo gari nje ya Nchi...
 
Kama alichokisema kuhusu usalama SA ni kweli au si kweli, si lazima awe amefika kujua hilo. Ulimwengu huu ni mpaka uwepo Gaza kweli kujua nini kinaendelea kati ya Israel na Palestina, kujua Kenya imeathirika na mafuriko?? Suala ni info sahihi
Wazambia wanawake wanakuja kufata bidhaa na kuondoka na Bus zao Watanzania kila kukicha wao kutishana tu wakati hata huko Tanzania tunaona watu wakiuliwa na boda boda hao wanajiita tatu mzuka...
 

Attachments

  • 20240510_063159.jpg
    20240510_063159.jpg
    2.1 MB · Views: 14
Ngoja tuone kama wewe atakutajia bei,mie nilishauliza mpaka nimeona nikae kimya,kukujibu atakujibu,ila bei hanitajii
Mimi sitaji bei kwa kupiga picha biashara ya mtu Mkuu sema nataka Mercedes benz C 200 ya mwaka fulani napata huko kwa bei gani lodi ntalipa kiasi gani nikikodi dereva ntamlipa kiasi gani au mimi nikikufanyia vyote unalipaje sio mambo za unaenda yard ya mtu unapiga picha nikupe bei ya wanayonunua hicho sifan
 
Kumbe wanakuwa wameshaviandaa tayari? [emoji848]

Point yangu kama umenielewa ni kwamba nataka kwamba nimekwenda kuchukua gari sasa nataka nikikaribia Tanzania pale tunduma gari iwe na usajiri na nifunge kabisa plate namba ili hawa mbayuwayu wetu wasianze kutolea macho plates namba za taifa lingine na kupata sababu ya kusimamisha gari kila dakika maana katika kitu sipendi safarini especially safari ya mbali ni kusimamishwa hovyo humo barabarani na hawa jamaa wakati nimechoka nataka kuwahi home nikapumzike.
Daah kweli Trafiki wetu sio waungwana kabisa aisee hapo kutoka Tunduma mpaka mbeya utasimamishwa balaa wanachouliza hata akieleweki wakati ulikotoka ni Ugenini ila hakuna usumbufu kama nyumbani jamaa hawana ustaarabu kabisa niliwahi simamishwa mbozi pale nafika karibu na stand jamaa anapiga mkono sikusimama wakabaki kupigiana simu tu huko mbele...
 
Back
Top Bottom