Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe mpe mwongozo lo
Bei zinafichwa fichwa kama ARV.Huu uzi sielewi unashida gani,bei hazitajwi. Tunahamasishana kuagiza gari SA lakini ikifika kwenye kuuliza bei hazitajwi.
OkayWewe jamaa kukosea kwako unadhani wote tunakosea aisee magari tunanunua yanakuwa na mileage ndogo sana unanununa gari ina hizo Mileage kabisaa hizo ntanunua labda kwenye Scania sio gari ndogo...
Gari za SA mileage chini kuliko Japan? Hebu kuwa serious; wacha kumwingiza chaka mwenzio?Africa kusini zipo kwani hizo? [emoji848]
Anyways mimi nakushauri gari chukua south Africa maana kwanza ni karibu so itakuja haraka sana ndani ya wiki moja na siku kadhaa.
Gari za South Africa zimetengenezwa kulingana na mazingira ya afrika so zina ubora wake kidogo.
Gari za South Africa nyingi milage inakuwa chini na nyingi wanauza ni almost mpya.
Ikikupendeza gari yako unaweza kwenda kuifuata mwenyewe ukakague kabisa kabla haujailipia.
Me nakushauri chukua south Africa maana kidogo kuna kaunafuu.
Kaka acha,nimeuliza bei kwenye huu uzi mpaka nimechoka, kila ukiuliza hivi anachenga huku, ukimfuata huku anachenga kule... uzi mzima hauna bei ya gari hata moja na ni page ya tano.Dah kuna mwamba yupo mstari wa mbele kuzipigia promo gari za S.A, akiulizwa bei ya gari kiswahili kinakua kingi!
Hii inaonesha pengine kuagiza gari S.A bei ni kubwa kuliko japan au kuna kitu kinafichwa.
Kuna namna hapa sio bure.Kaka acha,nimeuliza bei kwenye huu uzi mpaka nimechoka, kila ukiuliza hivi anachenga huku, ukimfuata huku anachenga kule... uzi mzima hauna bei ya gari hata moja na ni page ya tano.
Mkuu unataka gari gani toka mmeanza kuuliza bei nimeenda SA karibu trip ya tatu ninyi mpo busy na bei na magari ya 2006 mimi sinunui hayo mkuu maana ni kuleta matatizo mtu anakuuliza BMW ya 2006 aisee hizo gari za zamani mimi sipo nazo kabisa ushauri naotoa ni mtu aseme nina budget kiasi hiki ntapata gari gani kwa SUV au Pick Up..na wanunuzi wa ukweli wapo humu hawaulizi sana na nimewaletea gari wengi tuuKaka acha,nimeuliza bei kwenye huu uzi mpaka nimechoka, kila ukiuliza hivi anachenga huku, ukimfuata huku anachenga kule... uzi mzima hauna bei ya gari hata moja na ni page ya tano.
Nissan ya 2015 mpaka 2017 kununua Tsh 25m mpaka 30m SA na angalia kikokotoo cha TRA hapo jumlisha usafiri mpaka Tunduma kama 2m mafuta pamoja na vibali hiyo ni double cabin yenye engine ya YD 22 na 25..chini ya huo mwaka ununuzi utapungua bei yake ila kodi itaongezeka kwa sababu ya Uchakavu kwa hiyo ni bora ununue gari ya karibuni ill ulipie kodi kidogo...Nissan NP300
Wabongo wengi wasanii. Wanachosha na maswali bila actionMkuu unataka gari gani toka mmeanza kuuliza bei nimeenda SA karibu trip ya tatu ninyi mpo busy na bei na magari ya 2006 mimi sinunui hayo mkuu maana ni kuleta matatizo mtu anakuuliza BMW ya 2006 aisee hizo gari za zamani mimi sipo nazo kabisa ushauri naotoa ni mtu aseme nina budget kiasi hiki ntapata gari gani kwa SUV au Pick Up..na wanunuzi wa ukweli wapo humu hawaulizi sana na nimewaletea gari wengi tuu
Unanibishia kwasababu unajua au unanibishia kwasababu haujui sasa unatumia gear ya ubishani ili nitiririke taarifa kukufaidisha? [emoji848]Gari za SA mileage chini kuliko Japan? Hebu kuwa serious; wacha kumwingiza chaka mwenzio?
Za South Africa zinakuwa na milage ndogo na uchakavu wake ni wa chini sana. Gari zinakuwa katika hali nzuri sana kimatumizi.Dah kuna mwamba yupo mstari wa mbele kuzipigia promo gari za S.A, akiulizwa bei ya gari kiswahili kinakua kingi!
Mtu amewekewa hadi picha ya gari na kuulizwa "gari kama hii hapa bongo dalali anauza M17, huko S.A inauzwa bei gani?" Bado mwamba kachomokea vichochoroni! [emoji28]
Hii inaonesha pengine kuagiza gari S.A bei ni kubwa kuliko japan au kuna kitu nyuma ya pazia tunafichwa.
Hii inaturudisha nyuma sisi tunaotaka kujaribu kuonja ladha ya hizo gari za SOUTH.
Mbona unapiga sana kelele? Ongea taratibu kisomi. Kelele hadi kwenye maandishi?Unanibishia kwasababu unajua au unanibishia kwasababu haujui sasa unatumia gear ya ubishani ili nitiririke taarifa kukufaidisha? [emoji848]
Nenda website zao katazame tusibishane.
Mkuu najichanga lengo ifike million 20 nikuagize gari ya kutembelea kutoka huko bondeniNissan ya 2015 mpaka 2017 kununua Tsh 25m mpaka 30m SA na angalia kikokotoo cha TRA hapo jumlisha usafiri mpaka Tunduma kama 2m mafuta pamoja na vibali hiyo ni double cabin yenye engine ya YD 22 na 25..chini ya huo mwaka ununuzi utapungua bei yake ila kodi itaongezeka kwa sababu ya Uchakavu kwa hiyo ni bora ununue gari ya karibuni ill ulipie kodi kidogo...
Karibu mkuu sema hapo utapata labda VW polo vivo,Subaru naona ndio zina kodi nafuu..Mkuu najichanga lengo ifike million 20 nikuagize gari ya kutembelea kutoka huko bondeni