Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Huko utawapelekea documents TRA wakufanyie makadirio. Maana zile bei wameweka pale nadhani ni makadirio ya kodi kutoka Japan ila sio South Africa.
Watu haswa tunataka kujua kama kuna unafuu wa bei na kodi,ishu ya gari kufika mapema sio sababu muhimu sana,naomba Isanga family utusaidie kujua hili,kuna unafuu wa bei ya manunuzi na gharama za kodi ukinunua gari SA?
 
Mkuu kufananisha na Japan ni ngumu kwa sababu SA mimi naweza kununua gari ya 2023 na nikaja nikalipa kodi ila Japan bei zao zinaendana na soko linasemaje sio mwaka wa gari ndio maana unaona watu wanaagiza gari ya 2002 mpaka 2006 wanasema ni jipya wako busy na mileage wakati SA nazingatia umri wa gari kwa maana gari ya 2017 uchakavu unakua hakuna kodi yake haijatofautiana na gari hiyo hiyo ya 2013 mfano Ford Double Cabin wild truck kwa miaka hiyo...unaponunua gari ya miaka ya karibuni inakusaidia kwenda kwa mafundi katibuni kabla hata haujawajua mwafundi...
 
Mkuu ndio kama hii jamaa anauza hapa hapa bongo 17.8mi,Je SA inaweza patikana kwa sh.ngap pamoja na ushuru na kila kitu
 
Attachments

  • Screenshot_2024-05-07-12-45-09-43_08626e35eb99698b0717ca70323a2481.jpg
    Screenshot_2024-05-07-12-45-09-43_08626e35eb99698b0717ca70323a2481.jpg
    638.5 KB · Views: 16
Mkuu ndio kama hii jamaa anauza hapa hapa bongo 17.8mi,Je SA inaweza patikana kwa sh.ngap pamoja na ushuru na kila kitu
Mkuu sasa hii si kutaka niharibu biashara ya mtu kitu ambacho sio sawa ukitaka gari sema nataka gari hii ya mwaka huu Engine fulani sio una copy sehemu harafu tuweke vitu hapa mimi sifanyi hivyo kuharibu kazi za watu...
 
Kushindanisha bei rafiki angu sio kuharibu biashara,nadhani ndio maana hata yeye kaweka wazi bei yake. Nimekuuliza sehemu nyingi sana,namna tofauti tofauti sana,na mpaka sasa sijafanikiwa kujua kama kuagiza gari SA kunaokoa gharama kwa kiasi gani,ndio maana nikahisi labda nikikuletea hiyo screenshot yenye bei labda ntapata picha bei inashuka kiasi gani,napo nimegonga mwamba.
 
Samahani kwa usumbufu bro,kama hutojali naomba nijulishe bei ya TOYOTA PRIUS ya kuanzia mwaka 2010.
 
Kushindanisha bei rafiki angu sio kuharibu biashara,nadhani ndio maana hata yeye kaweka wazi bei yake. Nimekuuliza sehemu nyingi sana,namna tofauti tofauti sana,na mpaka sasa sijafanikiwa kujua kama kuagiza gari SA kunaokoa gharama kwa kiasi gani,ndio maana nikahisi labda nikikuletea hiyo screenshot yenye bei labda ntapata picha bei inashuka kiasi gani,napo nimegonga mwamba.
2006 ni gari ya zamani sana sidhani kama naweza kukushauri ukaagiza gari ya umri huo harafu Mjerumani...
Hizo gari ukiitaka tafuta atleast 2010 kuendelea hata matatizo yake yatapungua..
 
Naona ya 2014 au 2015 gharama na hiyo ya 2011 hazitatofautiana sana maana hiyo ya 2011 uchakavu TRA utakua mkubwa ila bei umenunua ndogo ni bora ununue bei kubwa gari ya miaka ya karibuni harafu isiwe na uchakavu kwa hiyo kodi yake itakua imepungua ila imeongezeka kwenye kununua gari nadhani hapa utapata chuma ya karibuni kuliko hiyo ya 2011...
Kibongo bongo gari latest ndo yenye Kodi kubwa hizo za uchakavu Ni myth
 
2006 ni gari ya zamani sana sidhani kama naweza kukushauri ukaagiza gari ya umri huo harafu Mjerumani...
Hizo gari ukiitaka tafuta atleast 2010 kuendelea hata matatizo yake yatapungua..
VP usalama wako na gari jipya pindi ukiwa SA maana tunasikia huko ujambazi hasa highway ni 24/7, huwezi kwenda kupoteza maisha na gari likaporwa, mzee wa isanga?
 
Back
Top Bottom