Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Hahaaa....nimesoma nilichokiandika,kweli Nahitaji msaada wa haraka sio siri. Anyway am sorry guys tunaomba uzi uendelee na mada yake. Mimi nimekuwa disqualified kwamba sio mtejaJamaa uko sawa kweli? una matatizo gani tukusaidie?
Mkuu SA gari za VW zipo kwenye soko sana na bei zake zipo juu hiyo ndogo ya kuanzia 2014 na 2015 bei zake ni kuanzia rand laki mbili kuendelea kucheki hela ya kitanzania ingia goggle wanakupa Tsh na pia ukitaka kujua bei za magari huku ingia kwenye site za huku andika jina la hilo gari harafu .co.zaView attachment 3087497
Isanga family
Nikusumbue kaka, nianze jipanga nasikia sikia harufu ya pesa.. nimpita TRA kuangalia ushuru.. ni kama hivyo chini kwa huo mwaka 2015 VW Scirocco 2.0 TSI.. bei zake hukl zachezea ngapi kaka
Hata kama sisi ni wasumbufu lakini ecosystem ya hii biashara inatuhitaji maana kupitia sisi wanunuaji wanahamasika. You cant limit us bladifakeni.Wasumbufu nyie tunawajua
Nimeangalia nimeona wastani wa beiMkuu SA gari za VW zipo kwenye soko sana na bei zake zipo juu hiyo ndogo ya kuanzia 2014 na 2015 bei zake ni kuanzia rand laki mbili kuendelea kucheki hela ya kitanzania ingia goggle wanakupa Tsh na pia ukitaka kujua bei za magari huku ingia kwenye site za huku andika jina la hilo gari harafu .co.za
Ila usifanye nao biashara mtandaoni hao ni kujua bei tu hata Gumtree.co.za au we buys car.
Sema kwa gari za huku angaliaNimeangalia nimeona wastani wa bei
Jaguar ni gari ya maana, ila nahisi hela haitotosha labada mbeleni nije ku upgrade.. VW Scirocco ilinivutia muonekano wake na nguvu ambayo inayo n ule mwendo wake.. nilisha wai ku test kale ka 1.4 TSI kana baraaSema kwa gari za huku angalia
Rav 4, Hyundai ix 35,Mazda CX-5,Jaguar face Pace haya magari ukipata moja wapo ni magari kweli ila hilo Jaguar ni Land Rover tafuta ya 2020 ina balaa fulani amazing niliiona daslm moja tu huko Mikocheni anaendesha mdada.
Kodi ni hiyo hiyo utoe SA,UK au Japan ila zitatofautiana kwa bei utakayonunua SA au UK sijajua UK utainunua kwa bei gani kwa hiyo sijuj uta save kiasi gani mkuu..ila UK kwa mwaka huo sijui kama unaweza kuigusa sijui..Isanga family hebu kaka nikitaka Ford Ranger Wildtrak DCabin ya 2020..what could be the damage estimates? Ukiangalia za UK TRA watakudai kama 25M. Nikiangiza SA, what are the savings?
I know..ni parefu. Ila siku zote maisha ni ubishi.Kodi ni hiyo hiyo utoe SA,UK au Japan ila zitatofautiana kwa bei utakayonunua SA au UK sijajua UK utainunua kwa bei gani kwa hiyo sijuj uta save kiasi gani mkuu..ila UK kwa mwaka huo sijui kama unaweza kuigusa sijui..