Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

Mmmh,
Mleta mada kama hizi stories ni za kweli basi ipo shida, hiyo excessive anger imevuka viwango vya kawaida.
Uwe unasomasoma majarida ya afya, yanaweza kusaidia kuona shida iko wapi na nini cha kufanya.

Kwangu naona sio issue ya kawaida kwa stories za namna hii:
Wakati mwingine tunakuwa na matatizo na hatujui kama ni matatizo, au tunajua ila hatuna jinsi ya kufanya
 
Wewe mchizi wangu unanifaa sana, kichaa changu hichoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aisee pole sana.

Binafsi nina hasira, lakini huwa ninazimaliza kwa kushauti na kueleza makosa ila kurusha ngumi na mateke hapana.

Purukushani huwa ninafanya iwapo nimevamiwa, ila huwa simvamii mtu hata akinikera kiasi gani!

Nina culture ya Kimasai!
 
Kuna mahali nimesoma eti hakuna watu Wanafiki Duniani kama mashemeji hasa wakiamua kukusifia😁😁
Uongo huo shem, kwa sifa ulizonazo hupaswi kuamini hayo, wewe ndio shemeji wetu mke wa kaka, mrithi wa kila kitu chake. Jivunie kuwa na our big bro nafasi ilikuwa ni moja na umeichukua wewe.
 
Uongo huo shem, kwa sifa ulizonazo hupaswi kuamini hayo, wewe ndio shemeji wetu mke wa kaka, mrithi wa kila kitu chake. Jivunie kuwa na our big bro nafasi ilikuwa ni moja na umeichukua wewe.
Asante shem kama shemπŸ™πŸ»
 
Kama movie vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…