Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahali nimesoma eti hakuna watu Wanafiki Duniani kama mashemeji hasa wakiamua kukusifia๐๐Niamini mimi shem, sijawahi kuwa na unafiki. Kaka yetu kapata haswa tena palipo pema.
www.healthdirect.gov.au
Hata mi nasema, you are the cutest and wise woman ๐๐.๐๐Sijui kama ni kweli
Wewe mchizi wangu unanifaa sana, kichaa changu hicho๐๐No2..
Kuna siku mwaka jana kama mwezi wa nne hivi kama sio watano.. Nilienda kuna cafeteria moja hivi jirani na ofisini kwetu nikaagiza chai na chapati nikawa nakula taratibu, mara kidogo akaja mkaka mzuri kidogo handsome boy hatari tukakaa tumegeukiana..naye akaagiza maziwa na sambusa l ile ameanza kula akapigiwa Simu akapokea akawa anaongea huku anakula,. Mimi kitu ambacho sipendi ni kuongea wakati wa kula yaani nikiwa naangaliana na mtu hivi mda wakula halafu anaongea ongea najiskia kinyaa sana aisee
Asa bora angekua anaongea vizuri, anaongea kwa sauti halafu anatafuna kama nguruwe mdomo wote pembeni umejaa uchafu, mate yananirukia hatari pamoja na vipande vya sambusa nikawa namkazia tu macho na ishara kukwambia ananikera akawa anielewi, nikaangalia pembeni meza zote na viti vimejaa hamna pa kuhamia nayeye namkazia macho hata hawazi ndio kwanza anaendelea kuongea tena anajiachia na kucheka kabisa๐ค๐ค.. Nilikasirika nikasimama nikapiga meza kwa nguvu kila mtu akaaa kimya nikachua chapati nikamrushia usoni, nikachukua chai nikamwagia usoni akamind anauliza wewe dada vipi nikamwambia kwa sauti mtu unatafuna kama nguruwe halafu unaongea ongea huoni kama unawatia kinyaa mwenzako.. Watu wakaanza kusema asa dada si ungesema tungejua tunakusaidiaje au ungemwambia tu, nikawaambia nimemwonesha ishara zote hajanielewa.. Mkaka mmoja akaanza kusema dada hizo dharau kabla hajamaliza nikamrushie kile kidude cha sukari kichwani aliumia, akataka kunifata nikanyanyua kiti nikamrushia nikakimbia nje kuna mwingine alikua ananawa mikono akataka kunishika nikamimina sabuni ya kunawia mikono nikampaka machoni kinakimbia mbio
Sikwenda ofisini nilirudi nyumbani moja kwa moja ๐๐
Uongo huo shem, kwa sifa ulizonazo hupaswi kuamini hayo, wewe ndio shemeji wetu mke wa kaka, mrithi wa kila kitu chake. Jivunie kuwa na our big bro nafasi ilikuwa ni moja na umeichukua wewe.Kuna mahali nimesoma eti hakuna watu Wanafiki Duniani kama mashemeji hasa wakiamua kukusifia๐๐
Asante shem kama shem๐๐ปUongo huo shem, kwa sifa ulizonazo hupaswi kuamini hayo, wewe ndio shemeji wetu mke wa kaka, mrithi wa kila kitu chake. Jivunie kuwa na our big bro nafasi ilikuwa ni moja na umeichukua wewe.
Acha ubwege wewe. Unajibembeleleza na kujibebisha kwa mtu asiyekutaka wala usiye mjua. Kakuambia kaa mbali naye ila wewe unajibembeleza tu kwake. Nyie ndio mnabakwaga wapuuzi nyie.Na una juaga kuni tesa๐ค, sa mi nime fanyaje?!
Kaka Intelligent businessman tayari huku, sasa nisikie unamletea shida shem wangu wa pekee uone.Asante shem kama shem๐๐ป
Huyo siku akiniletea shida kuna uzi wa Tanzia humu utafunguliwa ๐๐๐Kaka Intelligent businessman tayari huku, sasa nisikie unamletea shida shem wangu wa pekee uone.
๐๐ sikupi baraka juu ya hilo na sikunyimi vile vile.Huyo siku akiniletea shida kuna uzi wa Tanzia humu utafunguliwa ๐๐๐
Nendeni mkachati PM, tutoleeni upuuzi na balehe zenu hapa.Kaka Intelligent businessman tayari huku, sasa nisikie unamletea shida shem wangu wa pekee uone.
Shem Nuzulati pole na kukufanya utype.
Kama movie vileNo2..
Kuna siku mwaka jana kama mwezi wa nne hivi kama sio watano.. Nilienda kuna cafeteria moja hivi jirani na ofisini kwetu nikaagiza chai na chapati nikawa nakula taratibu, mara kidogo akaja mkaka mzuri kidogo handsome boy hatari tukakaa tumegeukiana..naye akaagiza maziwa na sambusa l ile ameanza kula akapigiwa Simu akapokea akawa anaongea huku anakula,. Mimi kitu ambacho sipendi ni kuongea wakati wa kula yaani nikiwa naangaliana na mtu hivi mda wakula halafu anaongea ongea najiskia kinyaa sana aisee
Asa bora angekua anaongea vizuri, anaongea kwa sauti halafu anatafuna kama nguruwe mdomo wote pembeni umejaa uchafu, mate yananirukia hatari pamoja na vipande vya sambusa nikawa namkazia tu macho na ishara kukwambia ananikera akawa anielewi, nikaangalia pembeni meza zote na viti vimejaa hamna pa kuhamia nayeye namkazia macho hata hawazi ndio kwanza anaendelea kuongea tena anajiachia na kucheka kabisa[emoji855][emoji855].. Nilikasirika nikasimama nikapiga meza kwa nguvu kila mtu akaaa kimya nikachua chapati nikamrushia usoni, nikachukua chai nikamwagia usoni akamind anauliza wewe dada vipi nikamwambia kwa sauti mtu unatafuna kama nguruwe halafu unaongea ongea huoni kama unawatia kinyaa mwenzako.. Watu wakaanza kusema asa dada si ungesema tungejua tunakusaidiaje au ungemwambia tu, nikawaambia nimemwonesha ishara zote hajanielewa.. Mkaka mmoja akaanza kusema dada hizo dharau kabla hajamaliza nikamrushie kile kidude cha sukari kichwani aliumia, akataka kunifata nikanyanyua kiti nikamrushia nikakimbia nje kuna mwingine alikua ananawa mikono akataka kunishika nikamimina sabuni ya kunawia mikono nikampaka machoni kinakimbia mbio
Sikwenda ofisini nilirudi nyumbani moja kwa moja [emoji38][emoji38]
Sitofungua uzi humu kuomba msaada ni hitimisho tu litapatikana๐๐๐๐ sikupi baraka juu ya hilo na sikunyimi vile vile.
Siku ya kwanza nausikia huo msamiati nilicheka sana. Mtu alikuwa ananambia kwanini nakupigia huokoti simu zangu. Eti siokoti!! Si useme tu sipokeiIle nipo njiani simu zikaanza kuita lakini sikuokota mpka nilipofika kwangu
Huyo siku akiniletea shida kuna uzi wa Tanzia humu utafunguliwa ๐๐๐
Nime cheka Hadi nime kaa chini๐๐๐คฃ๐๐ sikupi baraka juu ya hilo na sikunyimi vile vile.
Nenda wewe mkuu kama unataka huko pm. Tupo chit chat and jokes. Usiriazi wako peleka jukwaa la intelligence au siasa.Nendeni mkachati PM, tutoleeni upuuzi na balehe zenu hapa.
Jichanganye sasaNime cheka Hadi nime kaa chini๐๐๐คฃ
Nakubali nakubali shemSitofungua uzi humu kuomba msaada ni hitimisho tu litapatikana๐๐