Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

Seek help, you are PSYCHOTIC.
 
Anywayz.Mimi hasira zangu namalizia kwenye maandishi.Ukiniudh halafu niwe na namba yko utakoma hizo text zitakavyoingia kama mvua ila ukinifata live nakua muoga 😂 siwez kusema hata kimoja nilichoandika kwenye text😂.Tena akiwa mwanaume ndo nitatetemeka nitakua bubu kabisa coz naogopa sana kupigwa hutaamin ndo yule alokua akituma mitext😂.

Hata nyuzi nyingi nilizoandika na hii IID zilikua changamsha genge tu 😂😂 nilikuaga na Hasira/mastress fulan kipindi kile hata sikuwa namaanisha ila sasa hivi stress zimeisha nataman mods wafute nyuzi zote niliandikaga kipindi kile😂 naona aibu nikizisoma😂
 
unamatatizo yakisaikolojia wewe kwa hili mh! we unaweza hata kuua!
 


Walikukosea sana, waliitaki adhabu, ila sio hiyo uliyowapa, Mimi nina hsira kweli na kulipuka, ila kupiga hapana.
 
Hilo ni tatizo la Afya ya akili. Ni watu wachache wanao kupenda watakuambia huo ukweli. Niamini mimi,unaweza kurudi katika hali ya kawaida ukiamua kuchukua hatua. I,m ready to help you bure kabisa
 


Una mapepo, tafuta msaada, kuna siku utapigwa ufw
 
kuhusu pesa za kuhonga hilo ondoa shaka maana nimezaliwa nazo kipenzi, na zinaendelea kuwepo. Yaani zipo kwenye chain
Umeenda mbali sana aisee... Anyways thanks
Usipuuze ushauri wa Depal mtoto mzuri utakusaidia.

Depal ni moja ya vichwa genius sana humu.Tafuta pesa kama alivyokushauri mwenzio na mimi nakushauri utafute na msaada wa afya ya akili ili pesa zisiishie kuhonga kwa murder case mrembo wangu.

(Naomba nikuchokoze kidogo ila ukinitusi nitahesabu umeni kiss😂😍).Kama umezaliwa ukazikuta hela zipo means wazee ni madon ,then how comes mtoto wa don unadaiana na mtoto wa muuza kachori na kusoma shule watoto wa wauza kachori wana afford.Then how come nyumba ya sita kutoka liliko palace lenu kuwe na nyumba kibarazani kumechangamka kwa kuuza vikachori na supu?Kama pigo za sisi wa uswazi hizi.Haziendani na wewe binti uliyezaliwa utajirini.

Anywaz. Depal ana kitu msikilize ufike mbali😍😍🥀
 
Hilo ni tatizo la Afya ya akili. Ni watu wachache wanao kupenda watakuambia huo ukweli. Niamini mimi,unaweza kurudi katika hali ya kawaida ukiamua kuchukua hatua. I,m ready to help you bure kabisa
Asante kwa ushauri mkuu, Niko nashughulika nalo, hope nitakua sawa
 
Pole Sana aisee...Tatizo mnatoa ushauri bila kuombwa😃😃
Anyways, Asante kwa ushauri
 
Maybe 😃😃
 
Wee usiniambie Hadi ya bwana shemeji ulikua unachangamsha genge😂😂😃🤭
 
Wishing you nothing but loads of love mkuu😍
Tatizo mnachukulia mambo serious na kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu bila kuombwa... Hamjawaza hata kwamba mpo jukwaa gani😃🤭🤣🤣...
Kingine mnaforce tufanane poleni Sana😰🙌
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alizidi bhana.. mtu unatafunaje huku unaongea na uko unakula na watu[emoji23][emoji23]
Binafsi nikiwa nakula huwa sipokei simu yoyote, naheshimu sana chakula. Kwanza siwezi nikafurahia chakula kama nitakua nikila huku naongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…