Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Itakuwa hivyo ila jitahidi kuzuia hasira zako usijefanya kitu cha hatari zaidi kikakugharimu na kukufanya ujutie maisha yako yote.Yaani we acha tu,, Nina Imani nimesamehewa na Mungu lakin, zilikua ni hasira tu🤦🤦
Ndio pigo zako na yule fulani unaempa muda ?😂Aisee😃😂, usi kute mna gombea kuweka Kati ya dragon Ball z na ben 10 😃😂
We nawe hupoi😃😂😂Ndio pigo zako na yule fulani unaempa muda ?😂
Hilo ndio ombi langu namba moja kila siku nikiomba.. Asante kwa ushauriItakuwa hivyo ila jitahidi kuzuia hasira zako usijefanya kitu cha hatari zaidi kikakugharimu na kukufanya ujutie maisha yako yote.
Kumbuka hasira hasara ndio maana hatupaswi kufanya maamuzi tukiwa hatupo katika hali yetu ya kawaida.
Siboi mnabe wewe 😂We nawe hupoi😃😂😂
Hilo limejibiwa tayari ushatambua hali yako ni hatua kubwa japo yahitaji muda na uvumilivu.Hilo ndio ombi langu namba moja kila siku nikiomba.. Asante kwa ushauri
Sema ni kazuri bhana, so I don't regret 😃😂🤣Siboi mnabe wewe 😂
JoboooNili nunua mzigo sehemu, muuzaji aka nipa fake.
Kurejesha, aka Anza kuni tukana na kuni ita msumbufu, mixer tapeli.
Nili mzibua vibao mbele ya wazazi wake, dah I regret siku ile
Dragon riders of berk. Nilikua naipenda sanaAisee😃😂, usi kute mna gombea kuweka Kati ya dragon Ball z na ben 10 😃😂
Kazuri kwako mkuuSema ni kazuri bhana, so I don't regret 😃😂🤣
Ni vizuri.Nili nunua mzigo sehemu, muuzaji aka nipa fake.
Kurejesha, aka Anza kuni tukana na kuni ita msumbufu, mixer tapeli.
Nili mzibua vibao mbele ya wazazi wake, dah I regret siku ile
Dah nime toka kuirudia juzi😂🤣, mazee Yana ndevu mle.Dragon riders of berk. Nilikua naipenda sana
Dogo anataka kuangalia mipira
Ni vizuri nini??🤔Ni vizuri.
I need igbo and shayo 🤒Kazuri kwako mkuu
Kupigwa tapeliNi vizuri nini??🤔
Duuuh, huyo mbona ana hatari.. Lakini simlaumu kwasababu ni maamuzi yanayokujaga gaflaHilo limejibiwa tayari ushatambua hali yako ni hatua kubwa japo yahitaji muda na uvumilivu.
Kuna dada mmoja nilikutana nae wiki iliyopita akawa ananielezea alivyokuwa before kupata ukombozi wa hali yake, alikuwa akikasirika hatulii adi ajeruhi mtu na aone damu.
Yes, am Mr jobless pro maxJobooo