Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Itakuwa hivyo ila jitahidi kuzuia hasira zako usijefanya kitu cha hatari zaidi kikakugharimu na kukufanya ujutie maisha yako yote.Yaani we acha tu,, Nina Imani nimesamehewa na Mungu lakin, zilikua ni hasira tu🤦🤦
Kumbuka hasira hasara ndio maana hatupaswi kufanya maamuzi tukiwa hatupo katika hali yetu ya kawaida.