Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

Hizo hasira si za kawaida. Zisipodhibitiwa zitakuponza someday. Utakutana na mtu akupige au utapata kesi ya jinai...
 
Hufai kuwa mke wa mtu wala mama wa familia kwa tukio la kipuuzi kama hili.

Sasa mtoto anahusika nini na deni lenu?

Niliwahi kuwa na mwanamke anayejifanya ana hasira kali naweza kumkataza jambo fulani alilolifanya akiwa na hasira halafu siku nyingine analifanya tena kwa kisingizio alikuwa na hasira.

Niliwahi kumshushia kipigo kikali mno na mie sio mpigaji wanawake ila kipigo kile kilimfanya awe mtulivu hadi leo hakuna cha hasira wala nini anafuata masharti kama kondoo.
 
Umeongea kwa hasira sana na wewe, huna tofauti na mimi kumbe...
Anyways am very Sorry, I just try to my level best kuacha
 
Walininyimaga mbege kwenye sherehe wakidai nimelewa nikalale kwa hasira nikamtaimu mgawaji kaenda kutoa hudumu nikachukua chumvi pakti Zima nimwagia kwenye pipa la pombe nikakoroga mazima

Usiulize Nini kilitokea 2007 iyo
 
๐Ÿ˜‚ "sinyanyuki niuweni"
 
Walininyimaga mbege kwenye sherehe wakidai nimelewa nikalale kwa hasira nikamtaimu mgawaji kaenda kutoa hudumu nikachukua chumvi pakti Zima nimwagia kwenye pipa la pombe nikakoroga mazima

Usiulize Nini kilitokea 2007 iyo
Itakuwa uli laaniwa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ