Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Hizo hasira si za kawaida. Zisipodhibitiwa zitakuponza someday. Utakutana na mtu akupige au utapata kesi ya jinai...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wakimpereka mahakamani atajikuta yupo gereza la isanga mirembeHizo hasira si za kawaida. Zisipodhibitiwa zitakuponza someday. Utakutana na mtu akupige au utapata kesi ya jinai...
Hufai kuwa mke wa mtu wala mama wa familia kwa tukio la kipuuzi kama hili.No4..
Kuna rafiki yangu mmoja nilisomaga nae olevel, ana mtoto saizi ..namdai hela yangu ya mda hadi leo bado hajanilipaga hadi nimeamua nimsamehe tu sasa maana sina namna....
Mwanzo wakati deni bado bichi bichi halijawa sugu, kuna siku nilikua sina hata buku nikasema ngoja nikamdai, nyumbani kwetu na kwao sio mbali unapita nyumba kama sita tu hivi unavuka barabara nyumba yao ipo barabarani tu.. Mama yake pale nje anauza supu, chapati, sambusa, kachori na vitu kama hivyo yani pamechangamka kiasi...
Nimefika hadi pale nikaongea nae kuhusu ile hela akaniambia hana, nikamkazia mimi sina hata hela leo naomba unilipe akanibembeleza pale akaniambia hana nimwongezee siku atanilipa.. Basi bwana nikaishiwa pozi nikabaki tu naangalia nae TV maana nilichoka mwili roho hadi nafsi,, mda wote huo si tupo ndani mama yake alikua kule nje na shughuli zake, nyingine., Kulikua na wateja wengi wengi kidogo akamwita akaenda kumsaidia kuwahudumia, Kochi nililokua nimekaa mimi lipo kwa upande wa dirisha linaloangalia pale nje kibarazani, na madirisha yao hayana vioo ni waya tu ule wa mbu basi...
Bwana wee mimi na umbea wangu si nikasikia walivyokua wanaongea, mama yake akamuuliza " kwani Lee hadi leo bado hujamlipa hela yake ile,??".. Yeye akajibu " Unadhani nitampa leo au kesho?, hiyo asahau, hana shida na hela huyo, ilikua gear tu ya kuja kuniona hana lolote "". Mama yake akacheka na yeye akacheka,, Aisee nilipatwa na hasira nikasema huyu ndo wakunifanyia mimi hivi kweli... Nikapiga hesabu za haraka haraka nikaona sina cha kumfanya
Kabla sijakata tamaa kichaa changu kikapanda, nilikua na mtoto wake ndani mle ni kidogo tu kinatambaa bado ndo kinajifunza kusimama,, mezani kwao kulikua na chili halafu haijafungwa vizuri nikasema hii itanifaa sana.. Nikamnyanyua mtoto nikamsogeza karibu na mguu wa meza, meza yenyewe mbovu mbovu halafu fupi, nikafungua chili nikamwagia kwenye paji la uso nikaacha inamshukia taratibu taratibu machoni, nikamshikisha mkononi kopo la chili huku limeinama.. nikarudi kwenye kochi nikajifanya niko busy na simu kama sio mimi vile,, huwezi amini ilipita kama dakika moja tu mama yake huyo rafiki yangu akaingia ndani.. niliogopa lakini hakuniona[emoji26][emoji26]
Akaanza kumfokea mwanae yani unajua mtoto alivyo na fujo halafu unamwacha tu njoo ona alichokifanya, na mimi nikajifanya nashangaa shangaa, mtoto alikua analia hatari.. nikazugazuga nikaaga kuondoka nikaacha wapo wanahangaika na mtoto..
Hili tukio nalijutia sana aisee Mungu tu anisamehe[emoji120][emoji2356][emoji2953]
Nadhani leo tuishie hapa wapendwa
Umeongea kwa hasira sana na wewe, huna tofauti na mimi kumbe...Hufai kuwa mke wa mtu wala mama wa familia kwa tukio la kipuuzi kama hili.
Sasa mtoto anahusika nini na deni lenu?
Niliwahi kuwa na mwanamke anayejifanya ana hasira kali naweza kumkataza jambo fulani alilolifanya akiwa na hasira halafu siku nyingine analifanya tena kwa kisingizio alikuwa na hasira.
Niliwahi kumshushia kipigo kikali mno na mie sio mpigaji wanawake ila kipigo kile kilimfanya awe mtulivu hadi leo hakuna cha hasira wala nini anafuata masharti kama kondoo.
Shemeji 😐Nishawahi pasua mtu chupa ya kichwa kwa sababu ya hasira,Nimejing’oa kucha kwa sababu ya hasira😌
😂 utakavyong'olewa meno ubaki kibogoyo ndio utajua ujuiMh usiwe na hasira hizo sawa khabity 😃
Ni mambo ya zamani ukichanganya na ujana 😁😁😁Shemeji 😐
Mbona una hatari
Mzee shikamooNitakuja kukwambia neno siku moja
Naelewa shem, kwa wema na tabia njema hakuna kama wewe shem kama shem. Kaka yetu kapataNi mambo ya zamani ukichanganya na ujana 😁😁😁
Kwa Mara ya kwanza, Ume ongea Kama binadamu wa kawaida😃😄.Naelewa shem, kwa wema na tabia njema hakuna kama wewe shem kama shem. Kaka yetu kapata
Kaka unajua kuchagua, na shem anajua kukubali, na ikawe kheri kwenu.Kwa Mara ya kwanza, Ume ongea Kama binadamu wa kawaida😃😄.
.
👉 My lovely woman Nuzulati, una sifiwa Huku🤗🤗 💓💓
😂 "sinyanyuki niuweni"Walininyimaga mbege kwenye sherehe wakidai nimelewa nikalale kwa hasira nikamtaimu mgawaji kaenda kutoa hudumu nikachukua chumvi pakti Zima nimwagia kwenye pipa la pombe nikakoroga mazima
Usiulize Nini kilitokea 2007 iyo
Itakuwa uli laaniwa😄😃🤣😂Walininyimaga mbege kwenye sherehe wakidai nimelewa nikalale kwa hasira nikamtaimu mgawaji kaenda kutoa hudumu nikachukua chumvi pakti Zima nimwagia kwenye pipa la pombe nikakoroga mazima
Usiulize Nini kilitokea 2007 iyo
Mwe shem umeamua kuninafikia😁😁😁Naelewa shem, kwa wema na tabia njema hakuna kama wewe shem kama shem. Kaka yetu kapata
Niamini mimi shem, sijawahi kuwa na unafiki. Kaka yetu kapata haswa tena palipo pema.Mwe shem umeamua kuninafikia😁😁😁