Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ndio niniI need igbo and shayo 🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio niniI need igbo and shayo 🤒
Nili jisikia vibaya sasa hivi, mixer ali kuwa wa kike.Kupigwa tapeli
Ila kweli, nikivuta picha kuelewana kwenye hiyo hali ni ngumuNili jisikia vibaya sasa hivi, mixer ali kuwa wa kike.
👉So nahisi labda haku jua
Hatari yake haikuwa ndogo kwa aliyowahi yafanya ila kwa sasa kafanikiwa kuiacha hiyo hali ila akikasirishwa analia na kutetemeka kwa muda mrefu.Duuuh, huyo mbona ana hatari.. Lakini simlaumu kwasababu ni maamuzi yanayokujaga gafla
😁😁😁😁 wewe dada unafaa sana ningekua na wewe damu yangu ingekua haipoi, hekaheka masaa yote........jokes 😁😁😁😁No2..
Kuna siku mwaka jana kama mwezi wa nne hivi kama sio watano.. Nilienda kuna cafeteria moja hivi jirani na ofisini kwetu nikaagiza chai na chapati nikawa nakula taratibu, mara kidogo akaja mkaka mzuri kidogo handsome boy hatari tukakaa tumegeukiana..naye akaagiza maziwa na sambusa l ile ameanza kula akapigiwa Simu akapokea akawa anaongea huku anakula,. Mimi kitu ambacho sipendi ni kuongea wakati wa kula yaani nikiwa naangaliana na mtu hivi mda wakula halafu anaongea ongea najiskia kinyaa sana aisee
Asa bora angekua anaongea vizuri, anaongea kwa sauti halafu anatafuna kama nguruwe mdomo wote pembeni umejaa uchafu, mate yananirukia hatari pamoja na vipande vya sambusa nikawa namkazia tu macho na ishara kukwambia ananikera akawa anielewi, nikaangalia pembeni meza zote na viti vimejaa hamna pa kuhamia nayeye namkazia macho hata hawazi ndio kwanza anaendelea kuongea tena anajiachia na kucheka kabisa🤒🤒.. Nilikasirika nikasimama nikapiga meza kwa nguvu kila mtu akaaa kimya nikachua chapati nikamrushia usoni, nikachukua chai nikamwagia usoni akamind anauliza wewe dada vipi nikamwambia kwa sauti mtu unatafuna kama nguruwe halafu unaongea ongea huoni kama unawatia kinyaa mwenzako.. Watu wakaanza kusema asa dada si ungesema tungejua tunakusaidiaje au ungemwambia tu, nikawaambia nimemwonesha ishara zote hajanielewa.. Mkaka mmoja akaanza kusema dada hizo dharau kabla hajamaliza nikamrushie kile kidude cha sukari kichwani aliumia, akataka kunifata nikanyanyua kiti nikamrushia nikakimbia nje kuna mwingine alikua ananawa mikono akataka kunishika nikamimina sabuni ya kunawia mikono nikampaka machoni kinakimbia mbio
Sikwenda ofisini nilirudi nyumbani moja kwa moja 😆😆
Na Mimi Nina Imani nitaacha,, japo ni ngumu maana akili zinarudi baada ya kutulia kama hiviHatari yake haikuwa ndogo kwa aliyowahi yafanya ila kwa sasa kafanikiwa kuiacha hiyo hali ila akikasirishwa analia na kutetemeka kwa muda mrefu.
Mungu umtegemeaye akusaidie uweze kuicontrol hiyo hali kama sio kuondokana nayo jumla.Na Mimi Nina Imani nitaacha,, japo ni ngumu maana akili zinarudi baada ya kutulia kama hivi
Angekua mwalimu huyu🤣 ndo wale wakipita mahali wanafunzi wanatawanyikaLeejay kipenz sio hasira pekee una ukatili ndani yake ndo ukweli japo mchungu au lah una mapepo😃
😂 kina mwalim Mpwayungu haoAngekua mwalimu huyu🤣 ndo wale wakipita mahali wanafunzi wanatawanyika
Uko poa lakini, hujambo?Amen 🙏🙏
😁😁😁Hekaheka labda Nilishikwa na hasira mkuu... Mimi ni binti mmoja mtulivu sana
😂😂Angekua mwalimu huyu🤣 ndo wale wakipita mahali wanafunzi wanatawanyika
Hekaheka labda Nilishikwa na hasira mkuu... Mimi ni binti mmoja mtulivu sana