Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

Happy new year wananzengo
Leo nimetoka kufanya tukio moja hadi nimekaa hapa najitafakari naishia tu kujionea aibu hadi naandika uzi hapa saa hii....

Kwanza kabisa mimi ni mtu mmoja hivi mtulivu sana nyuma ya keyboard, yaani ni mpole mnoo.. Ni aina ya watu ambao hua nakua vibe nikiwa alone, either ofisini au nikiwa chumbani kwangu alone, yaani naweza nikawa na tamasha la kipekeyangu nikaimba na kucheza miziki yote unayoijua kuanzia rhumba, bongo flavor, amapiano, hadi za gospel ilimradi tu zina vibe.. Au sometimes naweza nikawa najifanyia fashion show navaa nguo zote najipakaa makeup natembea kuzunguka chumba kizima with good music..Lakini yote hayo nafanya nikiwa alone,, Yaani nikiwa nje na chumbani au ofisini kwangu nakua mtu wa tofauti kabisa and nobody knows ninayoyafanyaga nikiwa alone😆😆😆

Back to the topic... Mimi Leejay nina hasira za karibu mno kiasi kwamba sijawahi kujizuia nikikwazika, yaani mtu akiniudhi naweza kufanya kitu kila mtu anabaki anajiuliza hivi ni huyu kweli au amepandwa na mashetani au ni kitu gani... Nitasimulia mojamoja ambayo nimeyafanya tu mwaka jana na mwaka huu hadi leo maana ni Mengi mno..

No.1
Ilikua mwaka jana kama mwezi wa pili hivi., Nilishikwa na tumbo vidonda vilichachamaa hatari hadi kutembea nilikua siwezi nikabebwa hadi kufika hospitali napita kutapika njia nzima.., tukafika na hali niliyokua nayo ilibidi wagonjwa wote wanipishe kwanza mimi niingie kwa daktari.. nikaanza kuulizwa ulizwa pale mama akawa anatoa maelezo mimi nikiwa siwezi kukaa vizuri nahangaika tu pale kitandani natapika kwelikweli... Asa mle ndani ukiachana na doctor kulikua pia na Manesi wawili mmoja ni mtu mzima kidogo around 42 hivi na mwingine ana kama 26 hivi hadi 28... Yule mdogo nikasikia anamwambia yule mmama, ""Hawa mabinti hawana akili kabisa yaani usikute hapo kuhangaika kote huko ametoa mimba halafu anawasumbua tu baba na mama yake saizi asubuhi yote hii "", Yule mmama akasema unadhani mi siwajui hawa, ukute ni Nyege tu zinamsumbua hana lolote....
Aisee nilikasirika nikashindwa kujizuia nikanyanyuka nikamrukia yule mama teke akaanguka chini ameduwaa nikanyanyuka nimemkunja roba yule mwingine huku natetemeka mishipa ya kichwa imenisimama naongea kwa ukali mnasemaje nyinyi.... Wanajifanya kushangangaa huyu vipi??, nikamwachia mkono mmoja nikamtandika makofi huku ninatetemeka jasho mwili mzima😆😆😆 hapo yule mmama amengukia kwenye ndoo nadhani ilikua na maji machafu sijui alikua anadeki bado hata sikumbuki,,. ile nataka nimfate yule mama dokta na mama wakanishika mikono wanawauliza kwani nyie mmemfanya nini wanaanza kubabaika wanasema uongo nikasimama tena kwa nguvu nikawa na wafata yule mama akakimbilia nje akabaki mdogo nikataka kumpiga teke akakwepa matapishi yalijaa mdomoni nikatemea yote usoni...
Baada ya pale sikuelewa nini kiliendelea nakuja kustuka niko wodini baba angu anacheka hana mbavu sikutaka hata kuuliza kimetokea nini nikajigeuzia upande mwingine nikalala, ila wakati niko mle ndani niliona tu manensi wakionyeshana ndo huyu ndo huyu hata sikuuliza chochote nikikumbuka nacheka tu mwenyewe
Kadada unajua hadi kupiga mateke,🤣🤣
 
Hata bomu huwa ni tulivu sana hadi lirushwe ndio mtiti wake huonekana...

Kama ulichoandika ni kweli basi una shida ya mizimu, mapepo au majini...

Ipo siku utayapa kitu wanachotaka, damu ya mtu...
Hapana mkuu. Hii ni religious indoctrination

Ajifunze tu kudhibiti hasira
 
Hata bomu huwa ni tulivu sana hadi lirushwe ndio mtiti wake huonekana...

Kama ulichoandika ni kweli basi una shida ya mizimu, mapepo au majini...

Ipo siku utayapa kitu wanachotaka, damu ya mtu...
Mkuu sidhani kama ni mapepo, maana wakati Niko shule nilikua naenda kusali makanisa ya walokole na sikuwahi kuanguka🤔🤔
 
Jobless haogopagi, ni mwiko jobless kuogopa.
Jipe sifa za kibwege😃😃, kuji Hami lazima😃🤣
7c1d783076cf449099d1ac2d829847a3.jpg
 
Happy new year wananzengo
Leo nimetoka kufanya tukio moja hadi nimekaa hapa najitafakari naishia tu kujionea aibu hadi naandika uzi hapa saa hii....

Kwanza kabisa mimi ni mtu mmoja hivi mtulivu sana nyuma ya keyboard, yaani ni mpole mnoo.. Ni aina ya watu ambao hua nakua vibe nikiwa alone, either ofisini au nikiwa chumbani kwangu alone, yaani naweza nikawa na tamasha la kipekeyangu nikaimba na kucheza miziki yote unayoijua kuanzia rhumba, bongo flavor, amapiano, hadi za gospel ilimradi tu zina vibe.. Au sometimes naweza nikawa najifanyia fashion show navaa nguo zote najipakaa makeup natembea kuzunguka chumba kizima with good music..Lakini yote hayo nafanya nikiwa alone,, Yaani nikiwa nje na chumbani au ofisini kwangu nakua mtu wa tofauti kabisa and nobody knows ninayoyafanyaga nikiwa alone😆😆😆

Back to the topic... Mimi Leejay nina hasira za karibu mno kiasi kwamba sijawahi kujizuia nikikwazika, yaani mtu akiniudhi naweza kufanya kitu kila mtu anabaki anajiuliza hivi ni huyu kweli au amepandwa na mashetani au ni kitu gani... Nitasimulia mojamoja ambayo nimeyafanya tu mwaka jana na mwaka huu hadi leo maana ni Mengi mno..

No.1
Ilikua mwaka jana kama mwezi wa pili hivi., Nilishikwa na tumbo vidonda vilichachamaa hatari hadi kutembea nilikua siwezi nikabebwa hadi kufika hospitali napita kutapika njia nzima.., tukafika na hali niliyokua nayo ilibidi wagonjwa wote wanipishe kwanza mimi niingie kwa daktari.. nikaanza kuulizwa ulizwa pale mama akawa anatoa maelezo mimi nikiwa siwezi kukaa vizuri nahangaika tu pale kitandani natapika kwelikweli... Asa mle ndani ukiachana na doctor kulikua pia na Manesi wawili mmoja ni mtu mzima kidogo around 42 hivi na mwingine ana kama 26 hivi hadi 28... Yule mdogo nikasikia anamwambia yule mmama, ""Hawa mabinti hawana akili kabisa yaani usikute hapo kuhangaika kote huko ametoa mimba halafu anawasumbua tu baba na mama yake saizi asubuhi yote hii "", Yule mmama akasema unadhani mi siwajui hawa, ukute ni Nyege tu zinamsumbua hana lolote....
Aisee nilikasirika nikashindwa kujizuia nikanyanyuka nikamrukia yule mama teke akaanguka chini ameduwaa nikanyanyuka nimemkunja roba yule mwingine huku natetemeka mishipa ya kichwa imenisimama naongea kwa ukali mnasemaje nyinyi.... Wanajifanya kushangangaa huyu vipi??, nikamwachia mkono mmoja nikamtandika makofi huku ninatetemeka jasho mwili mzima😆😆😆 hapo yule mmama amengukia kwenye ndoo nadhani ilikua na maji machafu sijui alikua anadeki bado hata sikumbuki,,. ile nataka nimfate yule mama dokta na mama wakanishika mikono wanawauliza kwani nyie mmemfanya nini wanaanza kubabaika wanasema uongo nikasimama tena kwa nguvu nikawa na wafata yule mama akakimbilia nje akabaki mdogo nikataka kumpiga teke akakwepa matapishi yalijaa mdomoni nikatemea yote usoni...
Baada ya pale sikuelewa nini kiliendelea nakuja kustuka niko wodini baba angu anacheka hana mbavu sikutaka hata kuuliza kimetokea nini nikajigeuzia upande mwingine nikalala, ila wakati niko mle ndani niliona tu manensi wakionyeshana ndo huyu ndo huyu hata sikuuliza chochote nikikumbuka nacheka tu mwenyewe
Mwaka 2022 mwishoni nilimkopesha broda wangu shilingi mil 1.7 kwa ahadi ya kwamba atarudisha baada ya mwez mmoja. Mwezi umekamilika na offcoz nilikuwa nashida nayo sana ile pesa kwa wakati ule, nilipoona yupo kimya ikabidi nimkumbushe ila alinijibu kwamba hanilipi kwasababu alitumia pesa nyingi kunisomesha mpka kufika hapa nilipo. Yale majibu yalinipandisha hasira na ukizngatia nilikuwa namikwamo yangu kwa muda ule basi nilipita kijiweni nikamchukuwa mshikaji wangu ni boda boda jamaa kapiga kibuyu mpka kwa broda uzuri hakuwepo alikuwa kasafr kidogo kwahiyo nilimkuta shemej na chalii yake wa kike. Wazee nilisalimia kisha nikaanza kuzungusha macho pale seblen nikaangaza nikaona chakuchukua fasta fasta ni mtv ulikuwa ni Samsung 53' sound bar ya Sony na laptop mac book then nikasepa japo mzigo ulitusumbua njiani lakini ulifika salama. Ile nipo njiani simu zikaanza kuita lakini sikuokota mpka nilipofika kwangu nikamwambia bro nakupa masaa 24 pesa iwe ishawekwa bank lasivo nauza, sitapokea simu zako mpka nipate mesej ya crdb. Oya kesho yake mida ya saa 4 asubuhi napata mesej kiasi cha tsh 1.7 mil kimewekwa kwenye acc yako inayoishia na ××× nikasema mambo si ndo haya. Nikaitoa fasta nikasov mambo yangu then nkamchek boda boda tukarudsha mazaga maisha yakaendelea na mpka sasa tupo powa tu lakini baadae nilikaa nikajutia nlichokifanya japo kilinisaidia kupata pesa na kusov mambo yangu
 
Sidhani kama ulifanya kosa mkuu.. sometimes watu wanatakiwa kujua upande wetu wa pili ukoje ili waache kutuchukulia poa.. Nadhani huyo bro wako hata ikitokea safari nyingine akakuazima pesa atakua na discipline kwenye kukurudishia
 
Nimesoma Visa vyako, hakika vinafurahisha.

Kwa Ushauri, naomba uridhie ile Posa iliyoletwa kwaajili yako Wazee tuipokee japo haijafikia lengo 😜.

Maana tukikuacha uendeleze hivyo Mjukuu bila Mchumba utakuja kutupiga Mtaa Mzima 🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom