The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,254
- 2,170
HAYA KUKI NA NJIWA NI MITI SASA.wasubiri ukawasemee kwenye post yao,, sio uwaunganishe kwenye comment yangu bruh
Kuna viumbe wenye utata mfano EUGLENA kuna mda anakua kama mmea kwa sababu anafanya photosynthesis na mda mwingine kama mnyama kwa sababu hula kama mnyamawasubiri ukawasemee kwenye post yao,, sio uwaunganishe kwenye comment yangu bruh
Hichi ni kiburi sasaπmi naona namba nne hapo au we unasemajeπ€
nani kasema nipo hapa kufurahishwa?HAYA KUKI NA NJIWA NI MITI SASA.
SIO WANYAMA.
FURAHI SASA
Sio kweli masta....Yeah ila kwa mchaga anaejua kuongea lahaja moja vizuri hizo nyingine zote anaelewa vizuri hata kama kuna utofauti kidogo
Ngoja nikusaidie kidogo , ukijua sifa na kiumbe kuwa kwenye falme ya wanyama itakua ni rahisi mno kujua.ukiwa mwelevu wew unatosha bro
kiburi gani wakati nimechagua kitu ninachoona kwangu ni sahihi πHichi ni kiburi sasaπ
kiukweli sitaki kujua kabisaNgoja nikusaidie kidogo , ukijua sifa na kiumbe kuwa kwenye falme ya wanyama itakua ni rahisi mno kujua.
Mimi mkibosho ila mrombo ,mmarangu,old moshi na m uru wote nawasikia na wengine naongea kabisa.π€£Sio kweli masta....
Mkibosho na mrombo hawasikilizani kabisa,,,,, pia wamachame ! Hawa wengine walau mnaweza kusikilizana ama kudaka neno moja moja
Umeshapanic basi tufanye kuku ni fangasikiukweli sitaki kujua kabisa
π π π niko sawa alaaUmeshapanic basi tufanye kuku ni fangasi
ππππBasi ni tufanye ni wamboga za majani kama si wanyama
Mimi kuku nawapenda sana hata vifaranga naweza kulaπ€¦ββοΈMimi napenda mbwa , nakumbuka nikiwa mdogo nililia karibu siku 3 mbwa wangu alipo kufa.
Pia kuku nawapenda mno , nikifuga hata kuwachinja huwa nawaonea huruma
ππ kifanga cha kukuMimi kuku nawapenda sana hata vifaranga naweza kulaπ€¦ββοΈ
Kama sio mnyama basi ni mmboga za majani ndioπKwahiyo ukaona awe tu m-mboga za majaniππππ