Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

Hakuna kitu lakini Bado tunampenda mama yetu Samia 2030
 
Kama siyo mjinga unapotosha kwa makusudi! Mfano wewe umeajiriwa January mwaka huu unataka upate increment sawa na aliyeajiriwa July mwaka jana? Be sensible guy!
Kwanza kabisa kuwa na adabu mimi siyo rika lako jiheshimu sana. Hayo matusi wape wazaz wako waliokufundisha matusi. Km huwezi kuchangia hoja bila matusi acha.

Pili, we unajitia ujuaji bure utasemaje mtu alieajiliwa January is entled to have an annual increment. Nimesema kasome standing order ya watumishi wa umma. Siyo kuleta ujuaji wa kisekondari na kishamba hapa.

Mwisho, huna haja ya kujua km mimi ni mwaajiriwa au la! Mimi siyo mtoto mwenzako if you can't argue logically shut up your mouth. Over.
 
Acha propaganda zako kutetea hii serikali. Kwani hizi annual increment ndio zinaanza leo? Wameshindwa kutimiza ahadi acheni kututea ujinga.
 
Acheni tamaa nyie watumishi, mjifunze kuridhika na kile mnacholipwa
 
Na aliyeajiriwa between January mpaka June kwa miaka ya nyuma let's say 2020?
 
Acha uwongo wewee. Watu tumelipwa hizo enzi za mkapa na kikwete, kila Julai mzigo unapanda hata kwa afu tatu. Unatuudhi kwa kweli

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Kwa ufafanuzi wako huu, utakuwa unazitafuta laana za wavuja jasho.
 
Hii serikali haina hela ,ya kufanya hivyo kwa haina haina option ya mapato zaidi ya tozo
 
Acha uhuni wa kujiweka msemaji wa serikali huku ukijua kuwa unapotosha kabisa,kwanza hujui hata mikataba tunayosaini watumishi inasema vipi,hivi Kwanini serikali inakuwa na wateteaji wajinga kama wewe!?annual increment kwa mkataba wangu huwa ni mwezi wa saba bila kujari uriajiliwa mwezi wa pili au wa tatu.


OK tufanye nimeuelewa huo ujinga unaoutetea,mimi nimeajiliwa mwezi wa tano, hivyo mwezi wa tano sikuwa na annual increment wala mwezi huu,lakini mkata wangu unasema annual increment ni mwezi wa saba wa kila mwaka.

Acha kutetea upuuzi,kiufupi hakuna mtumishi aliyepata nyongeza iwe aliajiriwa mwezinwa tano aunwa saba
 
Usijifanye punguani kwani hujui mwezi wa tano ulikuwa mwaka wa fedha uliopita na annual increment zimeanza mwaka huu wa fedha!
 
2025 mbona haifiki jamani🙆🙆🙆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…