Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

Nimepata shule mpya hapa. Ila watumishi wana hasira duh
 
Annual increment haitolewi kama salary increase ambayo hutolewa kwa watumishi wote bali hutolewa kulingana na tarehe ya kuajiriwa kwa watumishi wapya na tarehe ya promotion ya mwisho kwa watumishi ambao tayari walikuwa wamepanda vyeo.
Kwahyo baadhi ya watu wamepata annual increment syo, basi vizuri sana. Serikali ishukuriwe
 

Kwahiyo unataka kusema walioajiriwa july wamepata? Au june, May, Februari huko walishapata??? Usitukere na wewe!!
 
Liongo hili
 
Hakuna ujingaa kama huuuu... Yani serikali ikae ianze kupitia mafile kuwa imemuajiri mtu mwezi gani ili imuongezee mshahara??? Huo utahiraa haupooo bwana mdogooo kawadanganyee wenzio wa vijiweni huko.. Mwezi July unapoanza mwaka mpya wa fedha ndo pesa inapandaa chap the rest sahau.
 
Uongo huo.... Akisema nyongeza ni kimya kimya, mambo moto ni fire.... Kazi ya moto huijui ? Nikujulishe kazi ya moto ni Kuunguza...! Alichosema atawaunguza kimya kimya.
 
Umeandika upupu Bibi lenu linawatesa watu nyie wahuni na udini wenu mnashabikia upumbavu
 
Jiwe wala hakuwa wa hovyo...tatizo ni wewe mwenyewe una akili na mindset ya kimalaya malaya umezoea kudanganywa danganywa na kulaghaiwa.

Jiwe was straight and mkweli.
Rubbish
 
Wewe nyau mbwa hujielewi.
Paye alipunguza July ila increment ilifanyika November

Msitukanane. Hamuwezi kutoboa kwa kutegemea mishahara ya Umma.

Hilo ongezeko la mwaka ni 5% of your basic . Kama una mshahara wa 1M , annual increment ni 50K .So kwa mwaka mzima una subiria elf 50 ; tuwe serious kidogo wabongo.

However, ni sawa kuulizia maana ni haki ya mtumishi, lakini sio Sawa kuwaza it will have big impact kwenye personal life.

Lakini pia mjifunze kuelewa wanasiasa ufanyaji wao wa kazi. Ni uongo ongo tu; tuliahidiwa kila kijiji kitapewa Mil 50; vingapi vimepewa?

Ni kweli Ngosha Pombe was tough , but atleast, he was honesty .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…