Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora umeleta evidence kabisa..kuna watu bila hii picha wangeendelea kubisha tuWatu tunagusa karibia 150kph huku RPM zimepoa kama zipo kwenye fridge.... ukiona nasogea kwenye 3 RPM jua naitafuta 170+kphView attachment 2346633View attachment 2346635
Kitu kama hukijui au hujawahi kukiona haimanishi kuwa hakipo, kujifunza si jambo la siku moja... tupo pamoja mkuu Geniusbora umeleta evidence kabisa..kuna watu bila hii picha wangeendelea kubisha tu
Kama gari yako inakula vizuri Full tank inatakiwa ufike singida mjiniWakuu mambo vipi?
Mapema mwezi October nina ndugu yangu wa karibu anaoa huko Singida maeneo ya Itigi.
Ninapaswa kuhudhuria hiyo harusi sasa nauliza kwa wazoefu kutoka Dar mpaka Singida hapo Itigi niandae bajeti ya mafuta kiasi gani?
Gari ni Toyota Mark II grande engine beams 2000, cc 1990 au 2ltrs wanasema wengine.
Nasubiri maoni yenu wadau.
Kwasababu naendesha sana gari zenye gear nyingi, nikiamua rpm isivukw 2000 tangu mwanzo gari itafika 70kph wakati imemaliza gear zote,hence good fuel economy kwa mjiniNaomba somo, mnaendeshaje 150/160kph Kwa rpm 2000, gear za chini nazo hamvuki 2000rpm mpaka mnafika hio 160kph?
mkuu kHakikisha tu unafanya service, itapunguza sana fuel consumption, two, hakikisha uendeshaji wako ni mzuri, ukiweza kuchezea kwenye RPM ya 2-3.5 utasevu pakubwa saaaana, Mafuta ya 450,000 Hadi 550,000 "yanaweza" kuwatosha. Hakikisha unajaza full tank, usijaze Robo robo pia usijaze kwenye vituo vya kihuni.
Last month nilitoka Dar, nikaenda Kwa Msisi (Mkata-Tanga) then nikaendelea na safari ya Dodoma nikaenda Matumbulu, nikaenda Manyoni Hadi Itigi.
Niliondoka saa tisa usiku Dar, nikajaza Mafuta ya 220,000 pale Mlimani city, nikaenda safari zangu, nikaja kujaza Mafuta ya 40,000 Ihumwa wakati naingia Dodoma, Kesho nikaenda Matumbulu (25km) Kutoka Dodoma mjini Ile Iringa road then mchana nikaendelea na safari nikajaza pale Total kule four ways ya 50,000 nilipofika Manyoni nikajaza ya 50,000. Nikafika Itigi nikiwa na robo tank juu kidoogo Karibu na half.
Kwa wewe unayeenda Moja kwa Moja nadhani hata 250,000 Inawezekana ikakufikisha depending na aina Yako ya uendeshaji
Nilihakikisha sizidi 4rpm kwahio karibia 90% ya safari nilikua Chini ya hapo, sikua na ligi na mtu barabarani.
Gari ilikua ni BMW salon.
mkuu kwa uzoefu wako,ni yapi mazuri na mabaya,na vitu vya kuwa makini,na service muhimu kwa gari ya engine ya 3S?,yangu naona kila baada ya km 50 oil inapungua kidogo,yangu ina jumla ya km 227000,ni noah old model,ulaji wa mafuta ni km ngapi kwa lita?msaada mkuu,gear ni automatic.Kwa hesabu za kilomita za Dar to Itigi ni 605 hivi na kwa kadirio la ulaji wa gari yako kama 1ltr inafika km 9 basi hapo unaweza kutumia ltr kama 67x2= 134 go & return na mizunguko ya huko ukiweka ltr10 =144 kwa hiyo hapo ukiweka 150 unakuwa na amani kabisa na kama alivyokushauri Elli hapo juu usikimbie saana cheza na RPM 2.5 /3.5utakuja kutushukuru hapa ikiwa gari yako iko sawa sawa plug na airclener iko kwenye hali nzuri.
Hilo kadirio la juu sana nililoweka hapo nilitembea na Premior old model yenye engine ya 3S dar to kahama ltr67.
Jee gari ina leakage yoyote ya oil?mkuu k
mkuu kwa uzoefu wako,ni yapi mazuri na mabaya,na vitu vya kuwa makini,na service muhimu kwa gari ya engine ya 3S?,yangu naona kila baada ya km 50 oil inapungua kidogo,yangu ina jumla ya km 227000,ni noah old model,ulaji wa mafuta ni km ngapi kwa lita?msaada mkuu,gear ni automatic.
mkuu k
mkuu kwa uzoefu wako,ni yapi mazuri na mabaya,na vitu vya kuwa makini,na service muhimu kwa gari ya engine ya 3S?,yangu naona kila baada ya km 50 oil inapungua kidogo,yangu ina jumla ya km 227000,ni noah old model,ulaji wa mafuta ni km ngapi kwa lita?msaada mkuu,gear ni automatic.