kolelosi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 814
- 1,940
Yes CVT Kuna ka uhafadhali
Nishatoka na 5A safari kilometa 920.. speedometer haikuwa accurate dash ikisoma 70kph speed iko 103 kwa gps
Hapo huenda ulifunga tyre size kubwa isiyokuwa sahihi kwa mujibu wa mtengenezaji wa gari aliyeipendekeza.
Jamaa ana asili ya ubishi wa ajabu sana. Kuna siku alikuwa anabisha ukubwa wa engine hauhusiani na displacement nikajua hamna mtu hapo,halafu anaelimisha watu kuhusu magari, sometimes ni better kukaa kimya kutokuumiza kichwa.
Humu kuna watu wabishi kama wanalipwa vile kwa ajili ya ubishi wao.