JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Shukrani sana Mkuu.Karibu Lunch aiseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana Mkuu.Karibu Lunch aiseeee
Minada TPA huwa ni liniAcheni ubishi hiyo gari nimeinunua kwenye mnada wa pale TPA mwezi january mwaka huu.
Picha za mafano wake nimezituma hapo juu, daah kweli kuna watu wabishi sana utadhani wapo sayari ya mars
Umemsahau Mpwayungu
Sio kwel kwamba kumaliza speed kisahani rpm inakuwa mwishoMkubwa hii ishu ya RPM has a lot to do na idadi ya gears. Gari nyingi za Toyota automatics zina gear 4.
Ili ku cover speed yote ya kisahani lazma gia ziwe ndefu ndefu ila kikomo huwa ni 5,600-6,000 😂! Sasa gear 4 uzigawe kwenye 6K rpm sio mchezo ndio maana gari nyingi including yangu nikishazidi 120 tu rpm inakimbilia 3! Hamna jinsi utafanya, gari ina gear 4 na kumaliza speed lazma rpm zifike ukomo.
Ila Mark X yenye gia 6 unaweza laza mshale ikiwa hata haijafika 3500rpm. Engine kubwa haitumii nguvu sana ku acquire speed.
Same as BMW wao gari zao wanajaza gia nyingi so ni rahisi gari kufika speed kubwa ikiwa kwenye rpm ndogo. Unakuta gari ina gear 8 ila ukifika gear ya 4 tu tayari uko 150 rpm bado iko chini.
Picha umeshaletewa mkuu unalipi la kumuambia.....😂😂😂😂 jamaa wa 3S Premio...?Nimesema hakuna premio ina 3S .ilete picha huku acha taarabu
Ukifika Itigi nistue, Kuna kijana anakaanga Kuku aiseeee dah!Mkuu nitapita hapo by the way kuna ndugu yangu mtumishi hapo naye tutakuwa naye.
😁😁 Hichi ndo nilikataa na haiwezekani hata waliopinga hawakujua namaanisha nini ...gia naweza panga zote na sivuki 3k rpm kila gia nikapanga gia zangu tanoBrother nauwezo wa kyuingiza gia zote rpm isivuke 3 na nikaenda hata speed 180 rpm isivuke 3...
Automatica vehicle unaweza kuengage gia zote kama manual tu na ukaweza kucontrol rpm isivuke 3
Pia haya yote ulioyaandika yanategemea aina ya gearbox iliopo kwenye gari husika, kimfano gear box ya kawaida ya outo inakula zaidi mafuta kuliko gearbox ya outo ambayo ni c.v.t.Rpm kwa gia husika speed ni fixed haitabadilika kamwe
Hi maswala ya tembea na rpm flani.. unataka sema kwamba hata akiwa 140kph rpm anaweza amua iwe 2.5[emoji16][emoji848]
Gear ni fixed ratio hazibadiliki kama 4th gear rpm ikawa 3k na speed ikawa 120kph Basi huwezi fika 130 afu rpm imebaki pale pale utacross multiplication kujua RPM itakuwa ngap Kama utasogea Hadi 130 na kuendelea
Pia maswala ya RPM kila engine kwenye body husika zitakuwa tofauti kulingana na nguvu ya engine
Mfano pindi premio ikiwa na 4th gear 3k rpm speed ni 120 Basi engine kubwa zaidi inaeza kaa vizuri 120kph bila rpm kufika 3k au engine ndogo inaeza fika hio speed mfano Suzuki kei 0.7l ila haiwezi kaa RPM tatu Kama ilivokaa premio na magari mengine
3K rpm last gear kwa range Rover ya 2013 diesel 4.4L v8 speed hapo itakuwa 220kph
Premio, mark x, crown, brevis 3k rpm last gear speed huwa 120-135kph
Kirikuu 3k rpm speed ikizid sana ni 90
Toyo 3k speed 35 gia ya mwsho
Kwa hio ushauri atembee speed 80-90 mwendo mzuri wa wese rpm itakapokuwa hapo hapo ndo uwezo wa gari
Hii unajisajili TRA kwa kupitia TIN yako hivyo nenda kwenye ofisi ya eneo lako waombe wakusajili online bider, utakuwa unaingia kwenye website yao kutazama kama kuna mnada.Minada TPA huwa ni lini
Yes CVT Kuna ka uhafadhaliPia haya yote ulioyaandika yanategemea aina ya gearbox iliopo kwenye gari husika, kimfano gear box ya kawaida ya outo inakula zaidi mafuta kuliko gearbox ya outo ambayo ni c.v.t.
Aha zile zenye line nyeusi ,, Corona old sanaHizo premio zipo Boss
a ndiyo maneno twende tukale mabusu ya itigi mabusu kama yote ukweniMkuu nitapita hapo by the way kuna ndugu yangu mtumishi hapo naye tutakuwa naye.
[emoji1][emoji1] hakika kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake.Aha zile zenye line nyeusi ,, Corona old sana
Kumwambia aendeshe rev kati ya 2 hadi 4 rpm humsaidii sana .Hakikisha tu unafanya service, itapunguza sana fuel consumption, two, hakikisha uendeshaji wako ni mzuri, ukiweza kuchezea kwenye RPM ya 2-3.5 utasevu pakubwa saaaana, Mafuta ya 450,000 Hadi 550,000 "yanaweza" kuwatosha. Hakikisha unajaza full tank, usijaze Robo robo pia usijaze kwenye vituo vya kihuni.
Last month nilitoka Dar, nikaenda Kwa Msisi (Mkata-Tanga) then nikaendelea na safari ya Dodoma nikaenda Matumbulu, nikaenda Manyoni Hadi Itigi.
Niliondoka saa tisa usiku Dar, nikajaza Mafuta ya 220,000 pale Mlimani city, nikaenda safari zangu, nikaja kujaza Mafuta ya 40,000 Ihumwa wakati naingia Dodoma, Kesho nikaenda Matumbulu (25km) Kutoka Dodoma mjini Ile Iringa road then mchana nikaendelea na safari nikajaza pale Total kule four ways ya 50,000 nilipofika Manyoni nikajaza ya 50,000. Nikafika Itigi nikiwa na robo tank juu kidoogo Karibu na half.
Kwa wewe unayeenda Moja kwa Moja nadhani hata 250,000 Inawezekana ikakufikisha depending na aina Yako ya uendeshaji
Nilihakikisha sizidi 4rpm kwahio karibia 90% ya safari nilikua Chini ya hapo, sikua na ligi na mtu barabarani.
Gari ilikua ni BMW salon.
Hahahaha hapo anatakiwa sasa ajiongeze Mpwa, anatakiwa akanyage pedal like anabinya nyonyo kuangalia sarataniKumwambia aendeshe rev kati ya 2 hadi 4 rpm humsaidii sana .
Ni kweli kabisa hizo rev range huwa zinatoa good fuel economy , lakini ni jinsigani unafika kwenye hizo rev ndio somo kuu.
Inatakiwa kukanyaga acc pedal kwa upole sana , assume kuna yai bichi kati ya mguu na pedal , na hutaki lipasuke wakati unakanyaga
Yah afanye hivyo kila mara anapo negotiate kufika top cruise yake,Hahahaha hapo anatakiwa sasa ajiongeze Mpwa, anatakiwa akanyage pedal like anabinya nyonyo kuangalia saratani
Zile zijawahi fatilia jirani alikuwa nayo ya cc 1800 nyuma imeandikwa 1.8[emoji1][emoji1] hakika kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake.
Jamaa ana asili ya ubishi wa ajabu sana. Kuna siku alikuwa anabisha ukubwa wa engine hauhusiani na displacement nikajua hamna mtu hapo,halafu anaelimisha watu kuhusu magari, sometimes ni better kukaa kimya kutokuumiza kichwa.Acha ubishi wewe usijibu kitu kama haukijui.
Hii gari ni manual na ni 4wheel full time na mifumo yake yote ya suspension ni kama rav4.
Gari hizi zipo nyingi sana uganda na congo wanaziita land cruise.
Kuna Carina Ti za 2001 zina 3s fe engines.Yes zipo ila ni kwenye Carina na Premio zilizotengenezwa before 2000.
1az fse ni engine nzuri kama mtu anaweza matunzo, Ina consumption nzuri kuliko engine kama hiyo ambayo siyo D4.