Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,804
- 3,113
Yes ukiwa highway inaokoa mafuta lkn kuna, conditiom kuna spidi ukishuka basi gari inakula mafuta sana na kuna spidi ukivuka pia inakula mafuta sana. Kwa gari yangu nikiendeshea spidi kati ya 80 na 100 hasa nikikaa muda mrefu kwenye 90, gari huwa inakula 16 km/l. Nikienda kati ya 120 na 140 gari huwa inakula kati ta 14-12Km/L.Mkuu, nilidhani ukiwa highway kwenye mwendo mkali ndio inaokoa mafuta. Nifungue macho hapo mkuu
Nadhani ushaanza kuelewa. Kila gari lina optimum speed yake. Kwa lugha rahisi, optimum speed ni ile ambayo gari inakwenda mwendo mzuri na inatumia mafuta kiwango cha chini kabisa.