Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekwambia utapata RPM 2.5 au 3.5 kwenye 140 speed ni nani?Rpm kwa gia husika speed ni fixed haitabadilika kamwe
Hi maswala ya tembea na rpm flani.. unataka sema kwamba hata akiwa 140kph rpm anaweza amua iwe 2.5😁🤔
Gear ni fixed ratio hazibadiliki kama 4th gear rpm ikawa 3k na speed ikawa 120kph Basi huwezi fika 130 afu rpm imebaki pale pale utacross multiplication kujua RPM itakuwa ngap Kama utasogea Hadi 130 na kuendelea
Pia maswala ya RPM kila engine kwenye body husika zitakuwa tofauti kulingana na nguvu ya engine
Mfano pindi premio ikiwa na 4th gear 3k rpm speed ni 120 Basi engine kubwa zaidi inaeza kaa vizuri 120kph bila rpm kufika 3k au engine ndogo inaeza fika hio speed mfano Suzuki kei 0.7l ila haiwezi kaa RPM tatu Kama ilivokaa premio na magari mengine
3K rpm last gear kwa range Rover ya 2013 diesel 4.4L v8 speed hapo itakuwa 220kph
Premio, mark x, crown, brevis 3k rpm last gear speed huwa 120-135kph
Kirikuu 3k rpm speed ikizid sana ni 90
Toyo 3k speed 35 gia ya mwsho
Kwa hio ushauri atembee speed 80-90 mwendo mzuri wa wese rpm itakapokuwa hapo hapo ndo uwezo wa gari
Hakikisha tu unafanya service, itapunguza sana fuel consumption, two, hakikisha uendeshaji wako ni mzuri, ukiweza kuchezea kwenye RPM ya 2-3.5 utasevu pakubwa saaaana, Mafuta ya 450,000 Hadi 550,000 "yanaweza" kuwatosha. Hakikisha unajaza full tank, usijaze Robo robo pia usijaze kwenye vituo vya kihuni.
Last month nilitoka Dar, nikaenda Kwa Msisi (Mkata-Tanga) then nikaendelea na safari ya Dodoma nikaenda Matumbulu, nikaenda Manyoni Hadi Itigi.
Niliondoka saa tisa usiku Dar, nikajaza Mafuta ya 220,000 pale Mlimani city, nikaenda safari zangu, nikaja kujaza Mafuta ya 40,000 Ihumwa wakati naingia Dodoma, Kesho nikaenda Matumbulu (25km) Kutoka Dodoma mjini Ile Iringa road then mchana nikaendelea na safari nikajaza pale Total kule four ways ya 50,000 nilipofika Manyoni nikajaza ya 50,000. Nikafika Itigi nikiwa na robo tank juu kidoogo Karibu na half.
Kwa wewe unayeenda Moja kwa Moja nadhani hata 250,000 Inawezekana ikakufikisha depending na aina Yako ya uendeshaji
Nilihakikisha sizidi 4rpm kwahio karibia 90% ya safari nilikua Chini ya hapo, sikua na ligi na mtu barabarani.
Gari ilikua ni BMW salon.
Kapitie makabrasha yako vizuri...Hamnaga 3s kwenye premio
Atakuwa kachanganya mafaili premio engine ni 5A-FE au 7A-FEHamnaga 3s kwenye premio
Yes mwendo mkubwa unasave mafuta, Ila mwendo mkubwa sana unabugia mafuta.Mkuu, nilidhani ukiwa highway kwenye mwendo mkali ndio inaokoa mafuta. Nifungue macho hapo mkuu
Hizo premio zipo BossNimesema hakuna premio ina 3S .ilete picha huku acha taarabu
Cc 1900. Hio hapo MpwaMkuu hiyo BMW yako ni gani?
Au ina engine gani na Cc ngapi?
Isije kuwa 1G na N46B20... Hizo engine Zina Cc sawa ila consumption ni Ardhi na mbingu.
1G na Cc zake 1990 ila consumption kubwa kuliko N52B30 yenye Cc2996....
Kwa toyota yes tena siyo zote...Aliyekwambia utapata RPM 2.5 au 3.5 kwenye 140 speed ni nani?
Ukiiendesha gari RPM ya 2.5 au 3.5 hauwezi kuzidi speed 120.
Naona umehamisha goli baada ya kukuwekea ulichokitaka.
Hivyo tukija kwenye matumizi ya RPM utaleta ubishi huenda bado haujaendesha sana gari safari ndefu marakwa mara.
Atakuwa kachanganya mafaili premio engine ni 5A-FE au 7A-FE
Kwa engine ya VVTI ndio unaweza kufika hiyo speed.Kwa toyota yes tena siyo zote...
Ila kuna gari nyingi tu unafika 140 at 3000 rpm
Em soma hio post yangu ukiwa umetuliza kichwaAliyekwambia utapata RPM 2.5 au 3.5 kwenye 140 speed ni nani?
Ukiiendesha gari RPM ya 2.5 au 3.5 hauwezi kuzidi speed 120.
Naona umehamisha goli baada ya kukuwekea ulichokitaka.
Hivyo tukija kwenye matumizi ya RPM utaleta ubishi huenda bado haujaendesha sana gari safari ndefu marakwa mara.
Huenda ikawepo labda kwa matoleo ya miaka ya 80-2000 maana only 2.0L engine iliokuwa sokoni zaidi ni 3S-FE.Hizo premio zipo Boss
Ila Kuna Watu ni wabishi, nimeendesha Hadi 140km/hr kwa rpm ya 3.....sasa kama gari Ina speed 260km/hr anashangaa Nini hio rpm?Kwa toyota yes tena siyo zote...
Ila kuna gari nyingi tu unafika 140 at 3000 rpm
Cc 1900. Hio hapo Mpwa
Acheni ubishi hiyo gari nimeinunua kwenye mnada wa pale TPA mwezi january mwaka huu.Atakuwa kachanganya mafaili premio engine ni 5A-FE au 7A-FE
Brother nauwezo wa kyuingiza gia zote rpm isivuke 3 na nikaenda hata speed 180 rpm isivuke 3...Rpm kwa gia husika speed ni fixed haitabadilika kamwe
Hi maswala ya tembea na rpm flani.. unataka sema kwamba hata akiwa 140kph rpm anaweza amua iwe 2.5😁🤔
Gear ni fixed ratio hazibadiliki kama 4th gear rpm ikawa 3k na speed ikawa 120kph Basi huwezi fika 130 afu rpm imebaki pale pale utacross multiplication kujua RPM itakuwa ngap Kama utasogea Hadi 130 na kuendelea
Pia maswala ya RPM kila engine kwenye body husika zitakuwa tofauti kulingana na nguvu ya engine
Mfano pindi premio ikiwa na 4th gear 3k rpm speed ni 120 Basi engine kubwa zaidi inaeza kaa vizuri 120kph bila rpm kufika 3k au engine ndogo inaeza fika hio speed mfano Suzuki kei 0.7l ila haiwezi kaa RPM tatu Kama ilivokaa premio na magari mengine
3K rpm last gear kwa range Rover ya 2013 diesel 4.4L v8 speed hapo itakuwa 220kph
Premio, mark x, crown, brevis 3k rpm last gear speed huwa 120-135kph
Kirikuu 3k rpm speed ikizid sana ni 90
Toyo 3k speed 35 gia ya mwsho
Kwa hio ushauri atembee speed 80-90 mwendo mzuri wa wese rpm itakapokuwa hapo hapo ndo uwezo wa gari
Hahahahaha amehamisha magoli! Anyway hata hio 140km/hr kwa 3rpm unaipata tu kutegemea na gari, Mimi hio nimeenda Hadi 150km/hr kwa 3.5rpm kwakua gari yenyewe Ina 260km/hr ila Kwa gari yenye 180km/hr ni ngumuAliyekwambia utapata RPM 2.5 au 3.5 kwenye 140 speed ni nani?
Ukiiendesha gari RPM ya 2.5 au 3.5 hauwezi kuzidi speed 120.
Naona umehamisha goli baada ya kukuwekea ulichokitaka.
Hivyo tukija kwenye matumizi ya RPM utaleta ubishi huenda bado haujaendesha sana gari safari ndefu marakwa mara.
Vvti ndio engine gani?kwa engine ya VVTI ndio unaweza kufika hiyo speed.
Ni kweli kabisa aiseeeeBrother nauwezo wa kyuingiza gia zote rpm isivuke 3 na nikaenda hata speed 180 rpm isivuke 3...
Automatica vehicle unaweza kuengage gia zote kama manual tu na ukaweza kucontrol rpm isivuke 3