Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

Mtu anaenunua vigari vya hovyo ndo huwa wanakimbilia kuuza baada ya muda mfupi.

Mtu anaenunua mashine ya kweli hawezi kuwa na mawazo ya kuiuza.
 
Nimeiona hii inauzwa mln 11 tu,si mtaalamu sana wa bmw kwa uzoefu wako unaonaje bei ya hiyo gari,haina changamoto kweli hii!

View attachment 1870910
Lazima fundi akaicheki.

Au ungeagiza yako toka Japan ya mwaka huo yenye hizo specs.

Gari zilizotumiwa bongo au kwenye yard siziamini kabisa kununua. Manake hata fundi atashindwa jua minor faults..
 
Lazima fundi akaicheki.

Au ungeagiza yako toka Japan ya mwaka huo yenye hizo specs.

Gari zilizotumiwa bongo au kwenye yard siziamini kabisa kununua. Manake hata fundi atashindwa jua minor faults..
Shukran kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…