father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Daah!Nyumba hizo umejenga mwenyewe, au unapewa na mtu, je hizo nyumba thamani yake inalingana.
Nakushauri angalia nyumba iliyo karibu na kazi zako za kila siku.
DSM sema aah Dar es salaam ndiyo umeshapewa jibu hivyo ha ha ha haaaaaaDaah!
Sina mpango wa kuishi humo.Sikuzote tunaishi maeneo ya karibu na majukumu yetu ya kila siku,so utachagua mwenyewe.
Sijui kama jamaa alisoma nilichoandikaDSM sema aah Dar es salaam ndiyo umeshapewa jibu hivyo ha ha ha haaaaaa
Shukrani mkuuKijichi
Kwa nilivyopaona kote kumetulia ila nataka nichukue kwenye hadhi ya juu kuliko nyingine.Angalia kwenye utulivu
Tayari nina nyumba ya makazi.Chagua iloyo karibu na ufanyapo kazi
Nenda mbezi maramba mawili.mgeninani ni mbagala,hata kodi inaweza kuwa chini compared na mbezi..thamani ya mgeninani haifikii mbeziTayari nina nyumba ya makazi.
Hiyo itakua yakupangisha.
Nataka nijue kati ya Maramba Mawili na Mgeni nani wapi nitapata kodi kubwa zaidi au siku nikiamua kupauza wapi patanipa hela nzuri zaidi
Shukrani kwa ushauri mkuu.Nenda mbezi maramba mawili.mgeninani ni mbagala,hata kodi inaweza kuwa chini compared na mbezi..thamani ya mgeninani haifikii mbezi
Itakuwa alisoma sema hajaelewa kama mkataba wa bandari!! Sijajua malamba mawili maeneo Gani ila kule Pako juu hata ujenzi wake ni wa gharama zaidi ukilinganisha na kijichi!Sijui kama jamaa alisoma nilichoandika
Hamna kitu..wanga vibaka waswahili huko.kuja mjini hadi uchimbe dawa [emoji38][emoji38][emoji38]Shukrani kwa ushauri mkuu.
Basi nikadhani ni mbagala ya Kijichi kule ushuani
Sawa mkuu.Hamna kitu..wanga vibaka waswahili huko.kuja mjini hadi uchimbe dawa [emoji38][emoji38][emoji38]
Mbezi hapo mwendokasi dakika moja upo mjini..
Kila ardhi ina potential zake.huwezi fananisha kithamani ardhi zikawa sawa.
Buza hailingani na mbezi
Goba hailingani na kitunda
Kivule hailingani na sinza..
Maramba mawili msikitini mkuuItakuwa alisoma sema hajaelewa kama mkataba wa bandari!!
Sijajua malamba mawili maeneo Gani ila kule Pako juu hata ujenzi wake ni wa gharama zaidi ukilinganisha na kijichi!
Wenye akili wote hutafuta nyumba au viwanja morogoro road au kule bagamoyo roadSawa mkuu.
Nimekupata