Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

Zipitie nyumba zote ziliko. Na ungefanya hivyo tangu hiyo habari wala usingekuja. Ksbb moja kwa moja ukiyapitia hayo maeneo wewe mwenyewe utakuwa umeona sehemu gani iko vizuri zaidi. Nakushauri nenda wewe mwenyewe kayapitie maeneo yote nyumba ziliko
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Heshima kwenu wakuu.

Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa.

Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnisaidie kuchagua kati ya hizo Location mbili ni ipi ina thamani zaidi na ipi italeta kodi nzuri zaidi.

Natanguliza shukrani wakuu
Njoo mgeninani huku achana na malamba mawili uswahilini huko
 
Ukikaa Mbezi Malamba, utakuwa exposed na fursa ambazo tayari zimeshakuwa untapped na utapiga hela sawa sawa na uchumi wa eneo hili. Kumeshafunguka.

Ukichagua Kijichi, ni mji ambao kimsingi unakuwa, so, itakubidi uwe moja kati ya wafungua fursa wa eneo hilo.

Ni hayo.
Nashukuru kwa ushauri.
Lengo ni kupata kodi nzuri
 
Hata huko mbezi, kuna nyumba, wapangaji wake ni wa hali ya chini tu, sababu ya miundo mbinu, yaani Uwe mpangaji, alafu upange nyumba gari haifiki, maji hayapatikani kwa uhakika, maana mbezi maji wiki mara mbili, labda huduma iongzwe mwaka huu, baada ya bomba la mchina, na hasa husani huko maramba mawili.
Nimekielewa mkuu.
 
Mgeninan sio uswahilini kama malamba mawili
Ipo hv kwa mimi nimekulia kijichi n nimeishi mbezi ila mgeni nani na mazingira yake na nyumba zilizopo n miundombinu yake kwa sasa naweza kusema vinashabiiana na maeneo wanayo ishi wakubwa mf ostarbay au masaki pia ni mazingira ambayo yamejengeka kimakazi zaid na si kibiashara kam maeneo mengine hivyo hata upande wa kodi zake zipo chini ukilinganish na mbezi ila gharama ya kiwanja ipo juu kuliko mbezi hivyo kama unatak kuishi na familia basi nenda Kijichi ila kam kwaajili ya biashara bas nenda mbezi kwakuwa mbezi kunamuingiliano mkubwa wa watu tofauti na kijichi na kodi zake zipo juu
 
Heshima kwenu wakuu.

Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa.

Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnisaidie kuchagua kati ya hizo Location mbili ni ipi ina thamani zaidi na ipi italeta kodi nzuri zaidi.

Natanguliza shukrani wakuu
mbezi maana huku mgeninani huwezi pata kodi ya laki mbili jumba zima
 
Back
Top Bottom