Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mbezi ni Main Raod kutoka na kuingia Dar. Pia ni karibu na kituo cha kuingia na kutoka Dar Magufuli stand.Naomba sababu kiongozi
Mbezi wamekaa watu waliostarabika zaidi wa mikoa ya Kaskazini na Kusini.