Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

Wenye akili wote hutafuta nyumba au viwanja morogoro road au kule bagamoyo road

Huko kwengine ni uswekeni wanna, wachawi, wahuni, vibaka, na mambo kedekede
Naona ya maramba mawili imepata kura nyingi
 
Malamba Mawili ipi hiyo?

Maana kuna Malamba Mawili ipo milimani kiasi kwamba mvua zikinyesha huwezi fika nyumbani sababu ya utelezi...
Kunaitwa msikitini mkuu.

Huko kuna barabara ya lami mkuu
 
Ukikaa Mbezi Malamba, utakuwa exposed na fursa ambazo tayari zimeshakuwa untapped na utapiga hela sawa sawa na uchumi wa eneo hili. Kumeshafunguka.

Ukichagua Kijichi, ni mji ambao kimsingi unakuwa, so, itakubidi uwe moja kati ya wafungua fursa wa eneo hilo.

Ni hayo.
 
Hamna kitu..wanga vibaka waswahili huko.kuja mjini hadi uchimbe dawa [emoji38][emoji38][emoji38]
Mbezi hapo mwendokasi dakika moja upo mjini..
Kila ardhi ina potential zake.huwezi fananisha kithamani ardhi zikawa sawa.
Buza hailingani na mbezi
Goba hailingani na kitunda
Kivule hailingani na sinza..
Ushawahi kukaa mgeni nani kijichi au unaongea tu????? Na unaposema uswahili unamaanisha nini???
 
Wenye akili wote hutafuta nyumba au viwanja morogoro road au kule bagamoyo road

Huko kwengine ni uswekeni wanna, wachawi, wahuni, vibaka, na mambo kedekede
Ushawahi kukaa mbagala au kijichi au unaongea tu????? Mbona sisi tusio na akili utajiri wetu tumeupatia mbagala since 2002 na sio morogoro road au bagamoyo road na tuna maisha mazuri kuzidi asilimia 80% ya watu wanaokaa huko unapokutaja.Na una nyumba ngapi hapo morogoro road au bagamoyo road uje kuifananisha na mijengo yetu huku mgeni nani barabara ya kwenda tua ngoma??????.Tuliyojenga watu tusiokua na akili kama unavyomshauri mdau.
 
Hamna kitu..wanga vibaka waswahili huko.kuja mjini hadi uchimbe dawa [emoji38][emoji38][emoji38]
Mbezi hapo mwendokasi dakika moja upo mjini..
Kila ardhi ina potential zake.huwezi fananisha kithamani ardhi zikawa sawa.
Buza hailingani na mbezi
Goba hailingani na kitunda
Kivule hailingani na sinza..
Kwahiyo mgeni nani kijichi hakuna mwendokasi?????? Hakuna barabara za lami????? Au wewe unasemea mgeni nani ya kondoa?????? Na mbezi hakuna wanga na watu wanaozungumza kiswahili (Waswahili) na vibaka???
 
Hamna kitu..wanga vibaka waswahili huko.kuja mjini hadi uchimbe dawa [emoji38][emoji38][emoji38]
Mbezi hapo mwendokasi dakika moja upo mjini..
Kila ardhi ina potential zake.huwezi fananisha kithamani ardhi zikawa sawa.
Buza hailingani na mbezi
Goba hailingani na kitunda
Kivule hailingani na sinza..
Ushawahi kukaa Buza au kitunda au kivule na wewe ni mtaalamu wa kuthaminisha aridhi...Au ndio nyie mnaokaa nyumba za urithi sinza na uzungu wa kuiga kila mtu mnamwita mswahili mfukoni hamna kitu ila mbwembwe tu??? Na pia nikuulize kijichi hakuna mwendokasi kuanzia misheni kwenda city center na kurudi mbagala na unajua mtandao wa barabara ya kilwa road upoje na mwendokasi yake ??????Na unajua mtandao wa barabara za lami kule mgeni nani mpaka tua ngoma na mpaka mbagala kuu????? Au unaongea tu kufuraisha genge???????
 
Chukua iliyo Maramba still bado mji mpya uko Kijichi ni Mbagala iliyochangamka
Lovie kijichi ipi unaisemea????? Karibu mgeni nani mjengoni unyamwezi mwingi..Njia ya kutokea tua ngoma..Mbagala mji poa sana sema watu wanaoigiza maisha,watoto wa mama,malimbukeni wanakubeza kua ni sehemu wanazokaa walalahoi wasio na future.Ila trust me mbagala kuna maisha mazuri tu na wanyamwezi tunabang kuanzia kijichi hadi chamazi.
 
Ushawahi kukaa mbagala au kijichi au unaongea tu????? Mbona sisi tusio na akili utajiri wetu tumeupatia mbagala since 2002 na sio morogoro road au bagamoyo road na tuna maisha mazuri kuzidi asilimia 80% ya watu wanaokaa huko unapokutaja.Na una nyumba ngapi hapo morogoro road au bagamoyo road uje kuifananisha na mijengo yetu huku mgeni nani barabara ya kwenda tua ngoma??????.Tuliyojenga watu tusiokua na akili kama unavyomshauri mdau.
Mbagala ni uswekeni.

Huwezi ukakukata wanajiolewa wanakaa pande hizo.
 
Mbagala ni uswekeni.

Huwezi ukakukata wanajiolewa wanakaa pande hizo.
Mkuu uswekeni unamaanisha nn???? Na unaizungumzia mbagala ipi maana mbagala kubwa?????Na unaposema kujielewa unamaanisha nini????? Nina mjengo wa mpandano kijichi mgeni nani na nina mjengo wa chini pale chamazi karibia na Azam complex ila mazingira niliyojenga hasa mgeni nani njia ya kwenda Tua ngoma ni mazuri kuliko sinza au mbezi beach,kimara,goba and ect...kuanzia mpangilio wa mtaa mzima,taa za barabarani miundombinu ya maji na umeme mpaka nyumba za majirani zangu...Karibu sana mkuu utembelee huku mgeni nani kijichi afu utualike na kwako pia kama ni morogoro road au bagamoyo road tuone mijengo yako mkuu..Na kama issue ni kujielewa nadhani umiliki wa mali na akiba ya pesa benki ndio unaamua nani anajielewa au hajielewi mkuu.
 
Mie nina uhusiano na maeneo yote. Nenda mgeni nani. Ni km 15 to city centre na kuna miundombinu. Huko kwingine ni zaidi ya km 25.
Mkuu mm nimejenga mgeni nani since hakuna lami.Now days waga nacheka mwenyewe natumia dk 14 kufika city center nikitumia private car kama hakuna foleni za ujenzi wa mwendokasi ya kilwa road.Na mwendokasi ya kilwa road imefanya kuwe karibu zaidi ikikamilika...
 
Heshima kwenu wakuu.

Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa.

Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnisaidie kuchagua kati ya hizo Location mbili ni ipi ina thamani zaidi na ipi italeta kodi nzuri zaidi.

Natanguliza shukrani wakuu
Chagua zote kama umezitolea jasho
 
Kunaitwa msikitini mkuu.

Huko kuna barabara ya lami mkuu
Hata huko mbezi, kuna nyumba, wapangaji wake ni wa hali ya chini tu, sababu ya miundo mbinu, yaani Uwe mpangaji, alafu upange nyumba gari haifiki, maji hayapatikani kwa uhakika, maana mbezi maji wiki mara mbili, labda huduma iongzwe mwaka huu, baada ya bomba la mchina, na hasa husani huko maramba mawili.
 
Back
Top Bottom