father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
- Thread starter
-
- #21
Naona ya maramba mawili imepata kura nyingiWenye akili wote hutafuta nyumba au viwanja morogoro road au kule bagamoyo road
Huko kwengine ni uswekeni wanna, wachawi, wahuni, vibaka, na mambo kedekede
Naona ya maramba mawili imepata kuraWenye akili wote hutafuta nyumba au viwanja morogoro road au kule bagamoyo road
Huko kwengine ni uswekeni wanna, wachawi, wahuni, vibaka, na mambo kedekede
Kunaitwa msikitini mkuu.Malamba Mawili ipi hiyo?
Maana kuna Malamba Mawili ipo milimani kiasi kwamba mvua zikinyesha huwezi fika nyumbani sababu ya utelezi...
Ushawahi kukaa mgeni nani kijichi au unaongea tu????? Na unaposema uswahili unamaanisha nini???Hamna kitu..wanga vibaka waswahili huko.kuja mjini hadi uchimbe dawa [emoji38][emoji38][emoji38]
Mbezi hapo mwendokasi dakika moja upo mjini..
Kila ardhi ina potential zake.huwezi fananisha kithamani ardhi zikawa sawa.
Buza hailingani na mbezi
Goba hailingani na kitunda
Kivule hailingani na sinza..
Ushawahi kukaa mbagala au kijichi au unaongea tu????? Mbona sisi tusio na akili utajiri wetu tumeupatia mbagala since 2002 na sio morogoro road au bagamoyo road na tuna maisha mazuri kuzidi asilimia 80% ya watu wanaokaa huko unapokutaja.Na una nyumba ngapi hapo morogoro road au bagamoyo road uje kuifananisha na mijengo yetu huku mgeni nani barabara ya kwenda tua ngoma??????.Tuliyojenga watu tusiokua na akili kama unavyomshauri mdau.Wenye akili wote hutafuta nyumba au viwanja morogoro road au kule bagamoyo road
Huko kwengine ni uswekeni wanna, wachawi, wahuni, vibaka, na mambo kedekede
Kwahiyo mgeni nani kijichi hakuna mwendokasi?????? Hakuna barabara za lami????? Au wewe unasemea mgeni nani ya kondoa?????? Na mbezi hakuna wanga na watu wanaozungumza kiswahili (Waswahili) na vibaka???Hamna kitu..wanga vibaka waswahili huko.kuja mjini hadi uchimbe dawa [emoji38][emoji38][emoji38]
Mbezi hapo mwendokasi dakika moja upo mjini..
Kila ardhi ina potential zake.huwezi fananisha kithamani ardhi zikawa sawa.
Buza hailingani na mbezi
Goba hailingani na kitunda
Kivule hailingani na sinza..
Ushawahi kukaa Buza au kitunda au kivule na wewe ni mtaalamu wa kuthaminisha aridhi...Au ndio nyie mnaokaa nyumba za urithi sinza na uzungu wa kuiga kila mtu mnamwita mswahili mfukoni hamna kitu ila mbwembwe tu??? Na pia nikuulize kijichi hakuna mwendokasi kuanzia misheni kwenda city center na kurudi mbagala na unajua mtandao wa barabara ya kilwa road upoje na mwendokasi yake ??????Na unajua mtandao wa barabara za lami kule mgeni nani mpaka tua ngoma na mpaka mbagala kuu????? Au unaongea tu kufuraisha genge???????Hamna kitu..wanga vibaka waswahili huko.kuja mjini hadi uchimbe dawa [emoji38][emoji38][emoji38]
Mbezi hapo mwendokasi dakika moja upo mjini..
Kila ardhi ina potential zake.huwezi fananisha kithamani ardhi zikawa sawa.
Buza hailingani na mbezi
Goba hailingani na kitunda
Kivule hailingani na sinza..
Lovie kijichi ipi unaisemea????? Karibu mgeni nani mjengoni unyamwezi mwingi..Njia ya kutokea tua ngoma..Mbagala mji poa sana sema watu wanaoigiza maisha,watoto wa mama,malimbukeni wanakubeza kua ni sehemu wanazokaa walalahoi wasio na future.Ila trust me mbagala kuna maisha mazuri tu na wanyamwezi tunabang kuanzia kijichi hadi chamazi.Chukua iliyo Maramba still bado mji mpya uko Kijichi ni Mbagala iliyochangamka
Maramba MawiliTayari nina nyumba ya makazi.
Hiyo itakua yakupangisha.
Nataka nijue kati ya Maramba Mawili na Mgeni nani wapi nitapata kodi kubwa zaidi au siku nikiamua kupauza wapi patanipa hela nzuri zaidi
Mbagala ni uswekeni.Ushawahi kukaa mbagala au kijichi au unaongea tu????? Mbona sisi tusio na akili utajiri wetu tumeupatia mbagala since 2002 na sio morogoro road au bagamoyo road na tuna maisha mazuri kuzidi asilimia 80% ya watu wanaokaa huko unapokutaja.Na una nyumba ngapi hapo morogoro road au bagamoyo road uje kuifananisha na mijengo yetu huku mgeni nani barabara ya kwenda tua ngoma??????.Tuliyojenga watu tusiokua na akili kama unavyomshauri mdau.
Shukrani kwa ushauri mkuu.
Basi nikadhani ni mbagala ya Kijichi kule ushuani
Mkuu uswekeni unamaanisha nn???? Na unaizungumzia mbagala ipi maana mbagala kubwa?????Na unaposema kujielewa unamaanisha nini????? Nina mjengo wa mpandano kijichi mgeni nani na nina mjengo wa chini pale chamazi karibia na Azam complex ila mazingira niliyojenga hasa mgeni nani njia ya kwenda Tua ngoma ni mazuri kuliko sinza au mbezi beach,kimara,goba and ect...kuanzia mpangilio wa mtaa mzima,taa za barabarani miundombinu ya maji na umeme mpaka nyumba za majirani zangu...Karibu sana mkuu utembelee huku mgeni nani kijichi afu utualike na kwako pia kama ni morogoro road au bagamoyo road tuone mijengo yako mkuu..Na kama issue ni kujielewa nadhani umiliki wa mali na akiba ya pesa benki ndio unaamua nani anajielewa au hajielewi mkuu.Mbagala ni uswekeni.
Huwezi ukakukata wanajiolewa wanakaa pande hizo.
Unaposema kujielewa unamaanisha nini????? Au unakaa nyumba ya urithi mbezi beach?????? Au umepanga chumba na sebule sinza mkuu???Mbagala ni uswekeni.
Huwezi ukakukata wanajiolewa wanakaa pande hizo.
Mkuu mm nimejenga mgeni nani since hakuna lami.Now days waga nacheka mwenyewe natumia dk 14 kufika city center nikitumia private car kama hakuna foleni za ujenzi wa mwendokasi ya kilwa road.Na mwendokasi ya kilwa road imefanya kuwe karibu zaidi ikikamilika...Mie nina uhusiano na maeneo yote. Nenda mgeni nani. Ni km 15 to city centre na kuna miundombinu. Huko kwingine ni zaidi ya km 25.
Chagua zote kama umezitolea jashoHeshima kwenu wakuu.
Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa.
Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnisaidie kuchagua kati ya hizo Location mbili ni ipi ina thamani zaidi na ipi italeta kodi nzuri zaidi.
Natanguliza shukrani wakuu
Hata huko mbezi, kuna nyumba, wapangaji wake ni wa hali ya chini tu, sababu ya miundo mbinu, yaani Uwe mpangaji, alafu upange nyumba gari haifiki, maji hayapatikani kwa uhakika, maana mbezi maji wiki mara mbili, labda huduma iongzwe mwaka huu, baada ya bomba la mchina, na hasa husani huko maramba mawili.Kunaitwa msikitini mkuu.
Huko kuna barabara ya lami mkuu