Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

Zipitie nyumba zote ziliko. Na ungefanya hivyo tangu hiyo habari wala usingekuja. Ksbb moja kwa moja ukiyapitia hayo maeneo wewe mwenyewe utakuwa umeona sehemu gani iko vizuri zaidi. Nakushauri nenda wewe mwenyewe kayapitie maeneo yote nyumba ziliko
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Njoo mgeninani huku achana na malamba mawili uswahilini huko
 
Nashukuru kwa ushauri.
Lengo ni kupata kodi nzuri
 
Nimekielewa mkuu.
 
Mgeninan sio uswahilini kama malamba mawili
Ipo hv kwa mimi nimekulia kijichi n nimeishi mbezi ila mgeni nani na mazingira yake na nyumba zilizopo n miundombinu yake kwa sasa naweza kusema vinashabiiana na maeneo wanayo ishi wakubwa mf ostarbay au masaki pia ni mazingira ambayo yamejengeka kimakazi zaid na si kibiashara kam maeneo mengine hivyo hata upande wa kodi zake zipo chini ukilinganish na mbezi ila gharama ya kiwanja ipo juu kuliko mbezi hivyo kama unatak kuishi na familia basi nenda Kijichi ila kam kwaajili ya biashara bas nenda mbezi kwakuwa mbezi kunamuingiliano mkubwa wa watu tofauti na kijichi na kodi zake zipo juu
 
mbezi maana huku mgeninani huwezi pata kodi ya laki mbili jumba zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…