holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Mimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...
Sifa za kila binti ni hizi hapa
Binti wa kwanza anaitwa Emmy
1.Ni binti mrefu, mnene kiasi, maji ya kunde 2.Ni mnyamwezi
3.Anatokea family ya kifugaji na wakulima wazuri na kiangazi analima bustani
4.Ameishia form two 2021 kutokana na kuchoka kwenda shule 5. Umri miaka 19.
binti wa pili anaitwa WINI
1.Ni binti mrefu mwembamba kiasi na ni mweupe.
2.Ni muha
3.Anatoka family ya wakulima wa kilimo cha kujikimu.
4.Amemaliza form four 2023 na hakufanikiwa kuchagulia kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
5.Umri miaka 22
Nishaurini ndugu zangu nipo ktk mawazo mazito yupi nimuoe mana imefkia wakati nimechanganyikiwa.