Nichague yupi kati ya hawa mabinti?

Nichague yupi kati ya hawa mabinti?

Mtt mdg sana,unatuletea vijistori vya abunuwasi, Jamiiforums imeanza kuporomoka kimaudhui kutokana na vamizi hili la vitoto vya elfu mbili, nafikiri moderators muwe mnawapiga ban watu kama hawa coz tunakoelekea jamiiforums itakuwa ni Facebook iliyo changamka,ni ushauri tu.we dg unashindwa hata kukaa na wazee hapo nyumbn wakushauri.sisi enzi zetu wazee wanakuchagulia mwanamke wa kuoa.kwa hiyo zungumza na wakubwa,lakini kwa haraka haraka umri wa hao mabinti ni mama zako wadogo,
 
Wachape mimba wote sitakushauri kila kitu utakuja kunishukuru badae lakini ndoa kwa umri wako huo unajitafutia magonjwa ya moyo bure
 
Unakimbilia wapi Mwaya, subiri saanaaa unaoa mnasumbuana kdgo mnakufa sasa 23, daah cc Fake P
 
bro nini maana ya holoholo na hiyo avatar namna gani?
ahsante kwa swali zuri! Ni stori ya kuvutia sana. Kwanza mtaani kwetu kuna rastaman ni rafiki yangu mno! Nilikuwa na laptop nikampa akawa anaitumia,sasa kila nikienda kwake nakuta anaperuzi faili linaloitwa jf na akawa anacheka akiona baadh ya replys za watu,nikavutiwa,nikaldownload fail hlo la jf. Skujiunga,nikawa nasoma tu mada na replays za member wa humu jf hali iliyonifanya nivutiwe kujiunga nayo. Ktk kuandika jina nlitambua kuwa watu wote humu wanatumia fake id hivyo jina holoholo likanijia nami bila hiana nikaandika hvyo. So holoholo haina mana yeyote kwangu. Ktk kuchagua avator photos ilikuwa nikiweka naambiwa picha ina kb nyng kuliko hnavyotakiwa hapa jf, so nikawa natest kila picha,so zlizokubali ndo hzo unazoziona sasa. Ahsante. Vipi wewe niambie why "mshamba hachekwi"? Na kwa nn umeweka picha hyo ktk avator yako?
 
'mshamba hachekwi' ni falsafa ninayotembea nayo sana kwenye maisha yangu

huyo jamaa kwenye avatar ni msanii flani nakubali kazi zake

kila la heri
 
Kwa umri huo focus kwanza Na Personal Growth kuliko Kuweka Burden ndani Ikusumbua, Age hio ni kutafuta Kwanza Financial Freedom sio kuanza Kubebana na Mtoto wa Mtu
 
Back
Top Bottom