Nichague yupi kati ya hawa mabinti?

Nichague yupi kati ya hawa mabinti?

Mtt mdg sana,unatuletea vijistori vya abunuwasi, Jamiiforums imeanza kuporomoka kimaudhui kutokana na vamizi hili la vitoto vya elfu mbili, nafikiri moderators muwe mnawapiga ban watu kama hawa coz tunakoelekea jamiiforums itakuwa ni Facebok iliyo changamka, mkuu unataka maudhui yapi uyaone ktk jukwaa la jamii mapenzi?
bado una fikra za kizamani kwamba mkubwa ndiye mwenye hekima na maarifa,wakati alisahau kuwa kuna makubwa jinga kama wewe.
 
Mimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...

Sifa za kila binti ni hizi hapa

Binti wa kwanza anaitwa Emmy
1.Ni binti mrefu, mnene kiasi, maji ya kunde 2.Ni mnyamwezi
3.Anatokea family ya kifugaji na wakulima wazuri na kiangazi analima bustani
4.Ameishia form two 2021 kutokana na kuchoka kwenda shule 5. Umri miaka 19.

binti wa pili anaitwa WINI
1.Ni binti mrefu mwembamba kiasi na ni mweupe.
2.Ni muha
3.Anatoka family ya wakulima wa kilimo cha kujikimu.
4.Amemaliza form four 2023 na hakufanikiwa kuchagulia kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
5.Umri miaka 22

Nishaurini ndugu zangu nipo ktk mawazo mazito yupi nimuoe mana imefkia wakati nimechanganyikiwa.
Oa wote afu shetani akuonyeshe type zako😂👍Sasa
 
Dogo,
Wewe unasumbuliwa na nyeg.€ tuu.
Mtoto wa miaka 23 uoe, are you serious?!!!

Achana na mawazo ya kuoa. Endelea kuchakata wote hao kabla mabaharia hawajakunyang'anya
nyege zipi mkuu,mana kama nyege nazitoa ka win,emmy,sandra,yasinta lakn why nipick wawili na kuwaleta kwenu? Kasababu nawapenda na naitaji mmoja wapo awe wng wa maisha. Unanishauri vpi mkuu?
 
Mimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...

Sifa za kila binti ni hizi hapa

Binti wa kwanza anaitwa Emmy
1.Ni binti mrefu, mnene kiasi, maji ya kunde 2.Ni mnyamwezi
3.Anatokea family ya kifugaji na wakulima wazuri na kiangazi analima bustani
4.Ameishia form two 2021 kutokana na kuchoka kwenda shule 5. Umri miaka 19.

binti wa pili anaitwa WINI
1.Ni binti mrefu mwembamba kiasi na ni mweupe.
2.Ni muha
3.Anatoka family ya wakulima wa kilimo cha kujikimu.
4.Amemaliza form four 2023 na hakufanikiwa kuchagulia kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
5.Umri miaka 22

Nishaurini ndugu zangu nipo ktk mawazo mazito yupi nimuoe mana imefkia wakati nimechanganyikiwa.
Unaonaje tukaingia makubaliano ya hiyari? Yaani wewe ubaki na Winnie, halafu mimi unaniachia Emmy!! Ukiingia kwenye haya makubaliano, na uzi nao utafutwa kwa msaada wa Mods.
 
Back
Top Bottom