Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Waoe wote...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wako huu ni wa kuteta na wazee Kijijini kuhusu kuoa. Hapa JF Kuna midude ina miaka 40 na Haina mpango wa kuoa, hautapata mshauri mzuri.Mimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...
Sifa za kila binti ni hizi hapa
Binti wa kwanza anaitwa Emmy
1.Ni binti mrefu, mnene kiasi, maji ya kunde 2.Ni mnyamwezi
3.Anatokea family ya kifugaji na wakulima wazuri na kiangazi analima bustani
4.Ameishia form two 2021 kutokana na kuchoka kwenda shule 5. Umri miaka 19.
binti wa pili anaitwa WINI
1.Ni binti mrefu mwembamba kiasi na ni mweupe.
2.Ni muha
3.Anatoka family ya wakulima wa kilimo cha kujikimu.
4.Amemaliza form four 2023 na hakufanikiwa kuchagulia kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
5.Umri miaka 22
Nishaurini ndugu zangu nipo ktk mawazo mazito yupi nimuoe mana imefkia wakati nimechanganyikiwa.
Wapange wote tuMimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...
Sifa za kila binti ni hizi hapa
Binti wa kwanza anaitwa Emmy
1.Ni binti mrefu, mnene kiasi, maji ya kunde 2.Ni mnyamwezi
3.Anatokea family ya kifugaji na wakulima wazuri na kiangazi analima bustani
4.Ameishia form two 2021 kutokana na kuchoka kwenda shule 5. Umri miaka 19.
binti wa pili anaitwa WINI
1.Ni binti mrefu mwembamba kiasi na ni mweupe.
2.Ni muha
3.Anatoka family ya wakulima wa kilimo cha kujikimu.
4.Amemaliza form four 2023 na hakufanikiwa kuchagulia kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
5.Umri miaka 22
Nishaurini ndugu zangu nipo ktk mawazo mazito yupi nimuoe mana imefkia wakati nimechanganyikiwa.
Na ww unatokea familia gani ya wakulima,wafugaji auMimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...
Sifa za kila binti ni hizi hapa
Binti wa kwanza anaitwa Emmy
1.Ni binti mrefu, mnene kiasi, maji ya kunde 2.Ni mnyamwezi
3.Anatokea family ya kifugaji na wakulima wazuri na kiangazi analima bustani
4.Ameishia form two 2021 kutokana na kuchoka kwenda shule 5. Umri miaka 19.
binti wa pili anaitwa WINI
1.Ni binti mrefu mwembamba kiasi na ni mweupe.
2.Ni muha
3.Anatoka family ya wakulima wa kilimo cha kujikimu.
4.Amemaliza form four 2023 na hakufanikiwa kuchagulia kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
5.Umri miaka 22
Nishaurini ndugu zangu nipo ktk mawazo mazito yupi nimuoe mana imefkia wakati nimechanganyikiwa.
Wamatumbi tulikukosea nini?Achana na mabinti wakimatumbi wanaojiita ni weupe angali bado ni wamatumbi tu [emoji848][emoji848][emoji848]
Wait miaka??? [emoji28][emoji28][emoji28]Wewe huogopi?
Miaka 23 uwe na mke unazani mtazeeshana!
Umri sahihi wa kuoa ni angalau miaka 50 hivi ili uishi na mtoto wa watu ata miaka 10 hivi then ufe.
Afadhali WIN ila hata hivyo sikushauri kwa umri, labda na wewe uwe MuhaMimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...
Sifa za kila binti ni hizi hapa
Binti wa kwanza anaitwa Emmy
1.Ni binti mrefu, mnene kiasi, maji ya kunde 2.Ni mnyamwezi
3.Anatokea family ya kifugaji na wakulima wazuri na kiangazi analima bustani
4.Ameishia form two 2021 kutokana na kuchoka kwenda shule 5. Umri miaka 19.
binti wa pili anaitwa WINI
1.Ni binti mrefu mwembamba kiasi na ni mweupe.
2.Ni muha
3.Anatoka family ya wakulima wa kilimo cha kujikimu.
4.Amemaliza form four 2023 na hakufanikiwa kuchagulia kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
5.Umri miaka 22
Nishaurini ndugu zangu nipo ktk mawazo mazito yupi nimuoe mana imefkia wakati nimechanganyikiwa.
Kwa nini mkuu ?Wamatumbi tulikukosea nini?
katika komenti nzuri na bora ni yako. Ahsante bro.Umri wako huu ni wa kuteta na wazee Kijijini kuhusu kuoa. Hapa JF Kuna modude ina miaka 40 na Haina mpango wa kuoa, hautapata mshauri mzuri.
Chukua huyo mnyamwezi songa mbele maisha hayasubiri umri.