Nichague yupi kati ya hawa mabinti?

Umri wako huu ni wa kuteta na wazee Kijijini kuhusu kuoa. Hapa JF Kuna midude ina miaka 40 na Haina mpango wa kuoa, hautapata mshauri mzuri.

Chukua huyo mnyamwezi songa mbele maisha hayasubiri umri.
 
Mada iliharibika pale ulipotaja "muha"...
Ubishi wa muha mtawezana?, kama na ww ni muha oaneni...
 
Muha anaweza kubishana hadi akashinda- nyeusi kuwa nyeupe.

Mnyamwezi kwenda kutoumbwer nje ya ndoa yake ni jambo la kawaida sana kwake haoni hatari
 
Wapange wote tu
 
Na ww unatokea familia gani ya wakulima,wafugaji au
 
Wewe huogopi?
Miaka 23 uwe na mke unazani mtazeeshana!

Umri sahihi wa kuoa ni angalau miaka 50 hivi ili uishi na mtoto wa watu ata miaka 10 hivi then ufe.
Wait miaka??? [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Afadhali WIN ila hata hivyo sikushauri kwa umri, labda na wewe uwe Muha

Huyo namba Moja achana nae ni uchuro
 
Umri wako huu ni wa kuteta na wazee Kijijini kuhusu kuoa. Hapa JF Kuna modude ina miaka 40 na Haina mpango wa kuoa, hautapata mshauri mzuri.

Chukua huyo mnyamwezi songa mbele maisha hayasubiri umri.
katika komenti nzuri na bora ni yako. Ahsante bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…