Nichague yupi kati ya hawa mabinti?

Sisi tuna miaka 30+ na tunazagamua watoto wa umri wako na hawachomoki halafu wewe23 uoe 22.
Tuliza nyenge hizo dogo watoto wa2000 mkubali mkatae Arv,majira mafuta ya kondomu na sindano za uzazi wa mpango zimewaathiri sana. Na ukweli siku zote huwa haupingwi ukipinga wee ni lofa tu.
 
Wewe na hao mabinti wote mko sawa kiumri na kiakili, subiri ukue
 
Sikushauri uoe mtu aliyechoka kwenda shulelni,nilichojifunza kwenye haya maisha ukiwa mtu wa kukataa shule ,basi hata watoto wako watakuwa hivyo hivyo,ukiwa ulikuwa unapenda kwenda shule na watoto the same.
 
amini nakuambia wazazi wangu wote hawakusoma lakini mimi niko chuo mwaka wa tatu! Je hili jambo unalizungumzia vipi?
 
Kuna kanuni Moja inasema Tabia au sifa za mtu hupimi kwa kuangalia TU badala yake unapima kwa kuwa ukaribu na muhusika....Sifa ulizoweka hapo ni za kuongeleka tu kuna maswala ya dini n.k afu hatukuelewi na ww unaoa au unampango ganii
 
MUha mrefu mweupe wa wapi huyo??😂
 
Achana na hayo mawazo, watie tie kwanza hadi wapate mtu wa kuwaoa. Hapo wewe unajidanganya hakuna utakayemuoa
 
Kuna kanuni Moja inasema Tabia au sifa za mtu hupimi kwa kuangalia TU badala yake unapima kwa kuwa ukaribu na muhusika....Sifa ulizoweka hapo ni za kuongeleka tu kuna maswala ya dini n.k afu hatukuelewi na ww unaoa au unampango ganii
rudia kusoma utanielewa
 
Miaka 23 huna uwezo wa kuamua na kuchagua? Sisi tukikushauri tutakudanganya kwa vile unachoeleza ni makandokando tu. Nashauri uwaulize wazazi wako. Pia, ujiulize. Kama nao wana wawili wawilil kama wewe itakuwaje mwanangu?
 
umesema kweli baba ila usitilie manani sana kila mada humu, mana kuna wengne wanaleta topic kuchangamsha jukwaa tu!
 
Hawachangamshi chochote bali kuonyesha ujuha na kupoteza muda wao mwanangu.
 
Oa alie bikra kwakua asie bikra ni mke wa mtu
 
Miaka 23? Huyu mtoto wa 1999 dogo tafuta hela, jipange vizuri kimaisha, achana na mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…