Wewe unajua mateso wanayopata wastaafu kufuatilia hela zao? Unayajua mateso wanayopata vijana walioachishwa kazi kabla ya umri wa kustaafu kupata hela zao?
Kwani kuna shida mtu kujihifadhia hela yake?Sasa ulitakiwa kusema namna gani utaboresha sio kufuta. Hivi unadhani majambazi wengi wanatokea wapi?
Kwani kuna shida mtu kujihifadhia hela yake?
Makofi kwa Muheshimiwa tafadhali[emoji122][emoji122][emoji122]
I'm your next President. Take it or leave it.Ndio maaana nikakwambia jaribu Mwenyekiti wa kijiji, hamna cha maaana ulichopoint apo.
I'm your next president. Take it or leave it.
Tumpigie makofi kabisa Mh. [emoji23]Mipango sio matumizi [emoji28][emoji28][emoji28]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Tumpigie makofi kabisa mh π
Ninge kuwa karibu yake ninge mwambia Mh matatizo yangu pengine angeanza kuyashughulikia kabla hajaapishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nitakuwa Rais very flexible. Issues zote zinazogusa Watanzania nitazifanyia kazi. Niliyo orodhesha hapo juu ni mwanzo tu wa mambo mazuri nitakayoyafanya lakini haimaanisha sitafanya zaidi ya hayo. Naomba kura yako mkuu.Kama haujagusia BOT na PAYPAL basi kura yangu umekosa.
Kabisa mkuu.Naunga hoja
Usijali mkuu, matatizo yako nitayabeba kama matatizo yangu.Ninge kuwa karibu yake ningemwambia Mh matatizo yangu pengine angeanza kuyashughulikia kabla hajaapishwa
Mheshimiwa Umeshapita ni suala la muda tu. Mungu wa Mbinguni akupe afya njema Mh Rais mtarajiwa.Usijali mkuu, matatizo yako nitayabeba kama matatizo yangu.
Ewaaa! Hayo ndio maneno. Weka namba yako hapa ili nikukumbuke kwenye teuzi.Mheshimiwa Umeshapita ni suala la muda tu. Mungu wa Mbinguni akupe afya njema Mh Rais mtarajiwa.
Asante sana sana sana Mheshimiwa [emoji120][emoji120][emoji120] ngoja nika sajili line Mh Rais asante sana.Ewaaa! Hayo ndio maneno. Weka namba yako hapa ili nikukumbuke kwenye teuzi.
π π π β£οΈKabisa mkuu.
Mheshimiwa mtarajiwaHahahahhahahaa
Ameshaniahidi hatonisahau kwenye ufalme wake. Ndio nina sajili number ya simu hapa nimtumie aweke kwenye file zake.Me nitakua Makamu wake hahaha, Mheshimiwa usinisahau hahahahaha.