konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,752
- 9,046
- Thread starter
-
- #141
Mapinduzi ya elimu ndio yatakayoipeleka Tanzania kwenye ulimwengu wa kwanza.Swala la elimu kiukweli linatakiwa kusukwa upya si utani
Shule zote zinapaswa kuwa tech na Ni lazima kijana achague somo la ufundi kwa viboko vingi na agriculture iwe ni lazima kwa bakora mujarabu
Khumbu alikukimbiza Sauzi nchi utaiweza ndugu??
Stroke ni ugonjwa hatari sana. Huenda alichagua hilo jina bila kujua.Mkuu samahani huwa nafurahi ukitumia jina La Stroke Mkuu...Tafadhali tumia Stroke mkuu[emoji30][emoji120][emoji17]
Nakubalina na weweMapinduzi ya elimu ndio yatakayoipeleka Tanzania kwenye ulimwengu wa kwanza.
Kabisa mkuu. Nitaenda kufumua mfumo mzima wa elimu. Vijana wataweza kuajiriwa hata nchi za ulaya na marekani bila kunyanyapaliwa kwa elimu ya Tanzania.Nakubalina na wewe
Vijana wanatia aibu uwezi amini kijana wa standard seven anashindwa chinja nata kuku na kumwanda vizuri
Unajiuliza izi shule zinafundisha nini
OkKabisa mkuu. Nitaenda kufumua mfumo mzima wa elimu. Vijana wataweza kuajiriwa hata nchi za ulaya na marekani bila kunyanyapaliwa kwa elimu ya Tanzania.
Sawa mkuu.Ok
Ila usije ukawa bavicha sitakulewa kwa kweli
Mkuu jiwe mihura yake miwili inaisha 2025 hivyo ataniachia kijiti cha urais.Mbona mapema sana au jiwe limeshapasukapasuka?🔒
Hizi ahadi nono hutoweza kuzifanya kwanza Mh. Rais unapenda mademu sanaMkuu jiwe mihura yake miwili inaisha 2025 hivyo ataniachia kijiti cha urais.
Mkuu hizi ahadi kuzitimiza ni rahisi sana. Serikali yangu itakuwa na hela ya kutosha.Hizi ahadi nono ..hutoweza kuzifanya kwanza Mh. Rais unapenda mademu sana
Tutakupigia kura ...ila jaribu kucheza Fair.
Sawa mkuu.
Sawa mkuu.Campaign manager nipo hapa muheshimiwa
Sawa mkuu.Mkuu visa ya kwenda kwa kina khumbu iwe bure asante