Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

Weka na kodi, naona umeishia hadi ifike dar


You are viewing Valuation Details of a 2000 TOYOTA RAV 4 - 5 DOOR - ACA21 / ZCA26 - SUV.

Reference Number:19202095611
Make:TOYOTA
Model:RAV 4 - 5 DOOR - ACA21 / ZCA26
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2000
Country:JAPAN
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1501 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):3,017.00
Import Duty (USD):754.25
Excise Duty (USD):188.56
Excise Duty due to Age (USD):1,131.38
VAT (USD):966.95
Custom Processing Fee (USD):18.10
Railway Dev Levy (USD):45.26
Total Import Taxes (USD):3,104.49
Total Import Taxes (TSHS):7,140,916.19
Vehicle Registration Fee (TSHS):500,000.00
TOTAL TAXES (TSHS):7,640,916.19

Hapo kwenye TRA Calculator inaonyesha CIF $ 3,017 wakati CIF yako ni $ 2,600 unaenda TRA kwa Commissioner of Customs anarekebisha peleka docs zote za gari, kisha kodi itashuka kidogo to 6 Mil..

So 11Mil inatosha hadi gari linafika mikononi kwa kujibana
 
You are viewing Valuation Details of a 2000 TOYOTA RAV 4 - 5 DOOR - ACA21 / ZCA26 - SUV.

Reference Number:19202095611
Make:TOYOTA
Model:RAV 4 - 5 DOOR - ACA21 / ZCA26
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2000
Country:JAPAN
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1501 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):3,017.00
Import Duty (USD):754.25
Excise Duty (USD):188.56
Excise Duty due to Age (USD):1,131.38
VAT (USD):966.95
Custom Processing Fee (USD):18.10
Railway Dev Levy (USD):45.26
Total Import Taxes (USD):3,104.49
Total Import Taxes (TSHS):7,140,916.19
Vehicle Registration Fee (TSHS):500,000.00
TOTAL TAXES (TSHS):7,640,916.19


Hapo kwenye TRA Calculator inaonyesha CIF $ 3,017 wakati CIF yako ni $ 2,600 unaenda TRA kwa Commissioner of Customs anarekebisha peleka docs zote za gari, kisha kodi itashuka kidogo to 6 Mil..

So 11Mil inatosha hadi gari linafika mikononi kwa kujibana
Mkuu uwe unaangalia na ubora wa gari asee... Sio kila gari iliyopo mtandaoni ni nzima, nyingine ikifika unaanzia kwa fundi. Unaagiza gari haina ac, ina mikwaruzo, haina radio, haina options kamili, tairi unakuta huwezi kuzugia hata mwezi sasa hapo utajidanganya gari bei rahisi kumbe haijakamilika au unakuta engine iliyopo kwenye hiyo gari huwa zinasumbua hivyo gari haziuziki wanaamua kuuza kwa bei ndogo... Ndio maana unakuta killitime hiyo hiyo ya mwaka huo huo ila bei zimetofautiana... Sio wajinga wale
 
We ndo mwehu, masikini na fukara. Mtu mpaka aje na idea ya kununua gari unafikiri biashara hakuziona? Unajuaje kama anazo na ndizo zimempa hiyo pesa?

Unakalia kushauri ukute hapo unalia dagaa mpuuzi wewe na kweli huna akili!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nadhani Ndugu yetu hakuelewa kuwa hii hela nimedunduliza kutoka katika biashara yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia beforward tafuta gari. Nenda ofisi zao.
Lipa hela bank
Lilifika lipa kodi watakutolea kwa less than 500K.
Ukiagiza kwa hawa mawakala utapigwa 2mil kwa visingizio vingi vya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kumbe inawezekana kabisa kwenda ofisi za BE FORWARD za hapa kwetu na nikasaidiwa bila shida yoyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax dada , vuta pumzi kidogo kisha kunywa maji.

Gari atake kununua mwingine kiherehere kikupate wewe....Au unategemea lift za wanaume wa mjini....Utabakwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, usigombane na Mkuu @Iusungo kwani sote lengo letu ni moja la kunishauri ndugu yenu.

Mlipopishana kauli msameheane ili tufikie lengo la uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uandishi wako tafuta Carina Ti

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana mkuu.
Vipi kwa uandishi wangu nikinunua IST kama walivyoshauri waheshimiwa litakuwa na changamoto fulani kwenye kuendesha?

Labda ungenisaidia ufafanuzi kwenye Kipengele cha uhusiano wa aina ya gari na uandishi wangu. Nisaidie mkuu, maanak'e mwanzo siku zote ni mgumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una assets gani mkuu tuanzie hapo! Kwa maana poor people wanaanza kununua Liabilities Ndiyo baadae wananunua assets, wakati rich people wanaanza kununua assets kwanza Ndiyo liabilities zinafuata
Kiukweli mimi sina vitu ninavyomiliki zaidi ya kiwanja kimoja huko mkoani, na kingine kidogo huko pembeni ya mji pamoja na hili duka dogo tu "la Mangi".
Sasa hapo sijui kama naweza kusema kuna aseti yoyote au laa.

Ila vitu vya thamani kama vile nyumba kwa kweli bado sijabahatika kuvipata, ingawa nia ya kuwa na nyumba na biashara kubwa ipo mkuu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio kima fala na fukara!! Mwenzio kataka ushauri wa kununua gari we unaingiza habari za biashara!! Maskini mna tabu sana hapo ukute wewe hela unamalizia kwenye sherehe na unyago!

Mpumbavu sana wewe na ukoo wako ndo maana ukajisema wazi huna akili!!

NB: mimi ni mwanaume rijali, sio dada ukitaka njoo nikumwagie nikununulie hata bodaboda shwaini wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu @Iusungo usighadhibike sana.
Msameheane tu,
Najua lengo ni kurekebishana na kuwekana sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom