Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

chagua anayekupa tiGo
 
vikojoleo hapana, tunaishi kwa upendo wa agape its so long ni miaka zaidi ya mi 4 hatujaunganisha na tunakutana ila hamna mwenye interest hizo tunaongea mambo ya maana plan za maana muda unaenda tunaachana.Just Kiss off it goes
Hmm.. hiyo aina ya mahusiano mbona haieleweki. Yan ni mzazi mwenzako hamkutani kimwili ila mnakiss kwa muda wa miaka 4. Mbona kazi sana mkuu.

Halafu unanishangaza mkuu unasema mnaongea tu mambo ya maana sasa nataka niulize kwani sex sio jambo la maana au nyote mshapoteza hisia kwa kila mmoja? Mkuu nyie mnajuana vizuri fanya maamuzi sahihi ila yule mshirikina hafai kuolewa
 
Muoe mama mtoto wako, mapungufu madogo dogo kila mtu anayo, unataka abaki single mother nani atamwoa
 
Hamna kitu kama hicho..
 
Siwezi ishI nyumba Moja na demu anae enda kwa mganga hata kwa hata bure simtaki.

Mimi ni mwenye dhambi nyingi (sijivunii). Ila hii ya ushirikina ni dhamibi nisiyoitaka. Na siwezi Kaa karibu washirikina.
 
Reactions: _ly
Siwezi ishI nyumba Moja na demu anae enda kwa mganga hata kwa hata bure simtaki.

Mimi ni mwenye dhambi nyingi (sijivunii). Ila hii ya ushirikina ni dhamibi nisiyoitaka. Na siwezi Kaa karibu washirikina.
 
Ogopa sana watu wanaoamini mambo ya ushirikina... atakuja akuwekee limbwata siku moja usijielewe unafanya nini
Asichojua ni kwamba. Mtu akiwa anapewa sana dawa na mganga, atachoka. Na ataanza kuzitengeneza mwenyewe. Sasa akifikia hapa sindo kashakuwa mchawi.
 
Una mwanamke ambaye ushapata naye mtoto, unajua kabisa anakupenda na wewe unampenda, anaipenda familia yako n.k

Bado tu upo njia panda kiasi unataka kuangukia mikononi mwa kigagula??

Utakuwa usharogwa wewe
Afu akishaoa kigagula. Anakuja kufungia uzi wa kuwadisi singo maza.
 
Oa mchawi ili kesho uwe gwiji.
Mwanamke akishakuwa mshirikina amekosa sifa za kuitwa mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…