Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

Naongezea nyingine oa wa kwanza. Ila pia na wewe useme Ni wapi unapopata mzuka kamili Yani njaa inaisha kabisa na ukiwa unakula unawahi kupata hamu ya kurudia kula yaani Ile umemaliza kula unapata appetite ili urudie kula na huchukui muda Wala nguvu nyingi mdomo na ulimi kufunguka ili uingize chakula bila kikwazo yaani kiteleze kwenda tumboni.
Ila ndoa ama mke Ni zaidi ya hili yaani hii Ni second option.

Vipi Koo zao zikkoje,ndugu za hao wake zako was kike wa pande zote wapo kwenye ndoa zao. Ie mama wadogo na mashangazi.
Cheki vinasaba hata mama zao uwasome Tabia zao wanavyoishi na baba zao, check Ni mama yupi anaitikia na yupo chini ya sauti ya baba wakwe zako.
Hizi mambo huwa wanazicheki wazee ndio wanakushauri.

Nb: Future is still uncertain only God understand it how will unfold and emerge.
But we're trying to collect information that can reduce uncertainty to risk level since we cannot have totally certainty future.
Tunakusanya odds ziwe kubwa ili tubeti tuweke mzigo wa maana.

Pia usisahau kuwa " from laws of Probability inayosema kwamba " " AN EVENT CAN BE EXTREMELY LIKELY TO HAPPEN AND STILL NOT HAPPEN ALSO AN EVENT CAN BE EXTREMELY UNLIKELY NOT TO HAPPEN AND STILL HAPPEN""
 
😂😂😂😂
Bro Shimba ya Buyenze njoo umuone mdogo wako huku mpenda vurugu..!!
Nishamuona. Na kidumu chake cha petroli mkononi ezi yujo. Huwa ananifurahisha sana kwa kweli maana nilianza kumfuatilia kitambo japo ilikuwa kimya kimya. Partial instigator (mchechemuaji wa chini chini) mbobevu 😁😁😁😁❤️
 
Una mwanamke ambaye ushapata naye mtoto, unajua kabisa anakupenda na wewe unampenda, anaipenda familia yako n.k

Bado tu upo njia panda kiasi unataka kuangukia mikononi mwa kigagula??

Utakuwa usharogwa wewe
Si bure
 
Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali.

Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka pita zangu nilikuwa katika distance relationship na Mpenzi A...(mama mtoto wangu)

Kutokana na umbali yeye mkoa A mimi mkoa B nikajikuta nimeanzisha mahusiano na Mpenzi B.

Ukweli ni kwamba Mpenzi B sina mtoto nae ila kimuonekano ni Mzuri Juu mpka chini hana kasoro ni aina ya wanawake ambao akikuptia mbele yako huwezi acha omba namba ni mzuri plus plus (wanaume nadhani tunaelewana)

Ananipenda 100% sina mashaka nae sinaaaa ila tu hamna mwanadamu asie na kasoro

kasoro ya kwanza ni Dini (ni muislam)

Ya pili ni Mswahili anapenda ushirikina mambo ya kwa kalmanzila haoni shida, kuchanjwa chale its ok with her hana shida eneo hilo shida akiwa nazo yeye ni kwa wataalamu,nk (kitu sikipendi kwakweli)

Kasoro ingine kuna wakati ana kiburi na madharau ukimkasirikia ukamnunia anajishusha anatubu unamsamehe yanaisha.

Ana wivu uliopitiliza (japo ni kawaida kwa mtu anatekupenda)

Hizi ni sifa zake

Ependo anao kweli,anajitoa kwangu,sina mashaka nae nikiumwa hawezi niacha nijiuguze mwenyewe anahudumia mgonjwa kwa viwango vya 5G,

Haombi hela hata siku moja huyu mwanamke, anafanya kazi hana tamaa kabisa. Hayo ni kwa Uchache.

Nije kwa MPENZI A ambae ni MAMA mtoto wangu.

Huyu kwenye Upendo sina mashaka nae ni mwanamke anayenipenda tuna mtoto mmoja japo hatujawahi ishi kwa karibu kama huyu mpenzi B kwani alipata ujauzito akiwa Chuo, baada ya hapo akaenda kwao, akajifungua Akarudi chuo kumalizia then KWAO tena.

so unaweza pata picha namna hatuna ukaribu ule wa physical sana.

Ananipenda, anajitoa sana kwangu shida ndogo ndogo hizi za material things kuzitatua ni jambo la kawaida.. Shida za 1m, 2m, 3m kukupa ni simple tu, simu moja tu anatatua.

Anawapenda ndugu zangu sana, ni mpole mkimya sana.

Madhaifu yake ni mwanamke ambae si open sana kwangu ana siri siri flani ambazo haniambiii (hili nalijua)

Nikiumwa leo hiii yupo kwao ila hawezi inua mguu wake toka huko alipo akaja atatuma hela tu kwa ndugu zangu ziwasaidie kununua labda dawa, chakula,nk

Nilishawahi taka kumuoa kipindi flani 2017 huko akakataaa kwasababu alisema hana biashara na hawezi kukubali kuolewa ategemee biashara zangu mwanaume hata kama namfungulia (japo baadae alikuja iruka hii point akasema aliniambia tu kwasababu kipindi hicho alikuwa hanielewi elewi)

Ni mwanamke ambae financially kwao wako vizuri ila namuona ni mwanamke ambae kwasababu ya uwezo wangu kipesa sasa ndio mana ananipenda, najiulizaga sana kama kweli ananipenda ni kwanini alinikataa kipindi kile,why now ana mchecheto wa ndoa sana...??

Dini Ni mkristo, anamtunza mwanangu vizuri sana sana sana, Nikituma hela za matumizi ki ukweli kuna wakati anazikataaa anasema mtoto hana shida, na badala yake nitumie pesa hizo kufanya jambo lingine zuri kwa ajili ya future ya mtoto wetu.

Anajua naishi peke angu hivyo ni mwanamke ambae hamalizi wiki hajatuma vyombo, au mashuka ya chumbani au chochote cha nyumbani, anafungasha huko anatuma vinakuja.

Ananipenda ki ukweli...

Naombeni Ushauri kati ya hawa wanawake wawili nimuoe yupi.

Akili yangu inaniambia Nisioe wote nitulie, kisha uvumilivu utaomshinda akiolewa basi ambae atakua hajaolewa badi nimuoe.

Maana sijui na sielewi nafanyaje hapa na nahitaji kuoa sio kesho ila mwaka huu, Mahari ipo Mfuko wa Shati HAPA yani Mfuko wa Shati una 10m ambayo ni vikorombwezo vya mahari na mwanzo wa Ndoa nataka by December niwe na mke.

if not January isifike February... Harusi yangu haitokua na michango just mialiko tu watu waje washuhudie. Budget ya 10m kwa sherehe inatosha kabisa.

Mahari ikila 5m ikibaki 5m nkiongeza 5m so 10m inanitosha kabisa kufanya simple wedding party bila kuchangisha Mtu.

Ni harusi ya chap chap sana nataka ifanya Kamati ni kichwa changu.

ila kabla ya huko kote Je ni Nani kati ya hawa wanawake wawili mnanishauri nipite nae?

Niko serious wapendwa najua wengine mtanitania na comment za utani ila naomba mfahamu niko serious naomba nishaurini kitu.
Kwanza huyo mshirikina ni tiketi tosha ya kusema hapana. Hata hapo inawezekana umeshafanyia ya kutosha. Pia kama hajakufanyia chochote bado jiulize hapo wanao watarithi maagano mangapi wasiyoyajua? Madhara yake kwao ni nini na Nini? Usijiangalie wewe, watafutie wanao mama Bora, ambae hatawaingiza kwenye maagano ya kishetani. Hapo pia nafsi yako imeshachota mabalaa ya kutosha. Achana nae wakati bado una nguvu. Kuna siku utatamani utoke ila utashindwa
 
Nishamuona. Na kidumu chake cha petroli mkononi ezi yujo. Huwa ananifurahisha sana kwa kweli maana nilianza kumfuatilia kitambo japo ilikuwa kimya kimya. Partial instigator (mchechemuaji wa chini chini) mbobevu 😁😁😁😁❤️
🤣🤣🤣 Kumbe ulianza kitambo kunifatilia??
 
Nimesoma hadi kwenye "ushirikina", mkuu achana na mwanamke mshirikina, a hana nae haraka, mtu mshirikina ataiangamiza damu yako, nyumba yako itaishia kuwa jehanam hapa duniani.

Mwanamke mshirikina na mswahili juu...ingakuwa mimi sina hata maneno mawili, achana nae. Huwezi kuishi na mke mchawi, ana chale, kila akiwaza jambo ni kwa mganga. Pathetic.
 
Katika sifa za mpenzi A uliona tu hiyo ya Shepu mkuu? au hukuona mazuri yake niliyo yaongelea umeona shepu ndio ilionileta hapa,kuna mahali niliandika shepu? au uzuri kwako ni shepu?

Usilazimishe kuweka fikra zako za mwanamke mzuri kwa kila mwanaume unaposhauri shauri ila usiingize mawazo na fikra zako kwa mwenzako.
Mwanamke wako mshirikina akipondwa unakuwa mkali kweli, Oa huyo ndiye unayempenda.

Huyo wa kwanza humpendi unamuonea huruma kumuacha na mtoto.
 
Mimi sina ushauri lakini nina ombi, siku ya harusi utualike wananzego wote wa JF ni hayo tu.
Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali.

Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka pita zangu nilikuwa katika distance relationship na Mpenzi A...(mama mtoto wangu)

Kutokana na umbali yeye mkoa A mimi mkoa B nikajikuta nimeanzisha mahusiano na Mpenzi B.

Ukweli ni kwamba Mpenzi B sina mtoto nae ila kimuonekano ni Mzuri Juu mpka chini hana kasoro ni aina ya wanawake ambao akikuptia mbele yako huwezi acha omba namba ni mzuri plus plus (wanaume nadhani tunaelewana)

Ananipenda 100% sina mashaka nae sinaaaa ila tu hamna mwanadamu asie na kasoro

kasoro ya kwanza ni Dini (ni muislam)

Ya pili ni Mswahili anapenda ushirikina mambo ya kwa kalmanzila haoni shida, kuchanjwa chale its ok with her hana shida eneo hilo shida akiwa nazo yeye ni kwa wataalamu,nk (kitu sikipendi kwakweli)

Kasoro ingine kuna wakati ana kiburi na madharau ukimkasirikia ukamnunia anajishusha anatubu unamsamehe yanaisha.

Ana wivu uliopitiliza (japo ni kawaida kwa mtu anatekupenda)

Hizi ni sifa zake

Ependo anao kweli,anajitoa kwangu,sina mashaka nae nikiumwa hawezi niacha nijiuguze mwenyewe anahudumia mgonjwa kwa viwango vya 5G,

Haombi hela hata siku moja huyu mwanamke, anafanya kazi hana tamaa kabisa. Hayo ni kwa Uchache.

Nije kwa MPENZI A ambae ni MAMA mtoto wangu.

Huyu kwenye Upendo sina mashaka nae ni mwanamke anayenipenda tuna mtoto mmoja japo hatujawahi ishi kwa karibu kama huyu mpenzi B kwani alipata ujauzito akiwa Chuo, baada ya hapo akaenda kwao, akajifungua Akarudi chuo kumalizia then KWAO tena.

so unaweza pata picha namna hatuna ukaribu ule wa physical sana.

Ananipenda, anajitoa sana kwangu shida ndogo ndogo hizi za material things kuzitatua ni jambo la kawaida.. Shida za 1m, 2m, 3m kukupa ni simple tu, simu moja tu anatatua.

Anawapenda ndugu zangu sana, ni mpole mkimya sana.

Madhaifu yake ni mwanamke ambae si open sana kwangu ana siri siri flani ambazo haniambiii (hili nalijua)

Nikiumwa leo hiii yupo kwao ila hawezi inua mguu wake toka huko alipo akaja atatuma hela tu kwa ndugu zangu ziwasaidie kununua labda dawa, chakula,nk

Nilishawahi taka kumuoa kipindi flani 2017 huko akakataaa kwasababu alisema hana biashara na hawezi kukubali kuolewa ategemee biashara zangu mwanaume hata kama namfungulia (japo baadae alikuja iruka hii point akasema aliniambia tu kwasababu kipindi hicho alikuwa hanielewi elewi)

Ni mwanamke ambae financially kwao wako vizuri ila namuona ni mwanamke ambae kwasababu ya uwezo wangu kipesa sasa ndio mana ananipenda, najiulizaga sana kama kweli ananipenda ni kwanini alinikataa kipindi kile,why now ana mchecheto wa ndoa sana...??

Dini Ni mkristo, anamtunza mwanangu vizuri sana sana sana, Nikituma hela za matumizi ki ukweli kuna wakati anazikataaa anasema mtoto hana shida, na badala yake nitumie pesa hizo kufanya jambo lingine zuri kwa ajili ya future ya mtoto wetu.

Anajua naishi peke angu hivyo ni mwanamke ambae hamalizi wiki hajatuma vyombo, au mashuka ya chumbani au chochote cha nyumbani, anafungasha huko anatuma vinakuja.

Ananipenda ki ukweli...

Naombeni Ushauri kati ya hawa wanawake wawili nimuoe yupi.

Akili yangu inaniambia Nisioe wote nitulie, kisha uvumilivu utaomshinda akiolewa basi ambae atakua hajaolewa badi nimuoe.

Maana sijui na sielewi nafanyaje hapa na nahitaji kuoa sio kesho ila mwaka huu, Mahari ipo Mfuko wa Shati HAPA yani Mfuko wa Shati una 10m ambayo ni vikorombwezo vya mahari na mwanzo wa Ndoa nataka by December niwe na mke.

if not January isifike February... Harusi yangu haitokua na michango just mialiko tu watu waje washuhudie. Budget ya 10m kwa sherehe inatosha kabisa.

Mahari ikila 5m ikibaki 5m nkiongeza 5m so 10m inanitosha kabisa kufanya simple wedding party bila kuchangisha Mtu.

Ni harusi ya chap chap sana nataka ifanya Kamati ni kichwa changu.

ila kabla ya huko kote Je ni Nani kati ya hawa wanawake wawili mnanishauri nipite nae?

Niko serious wapendwa najua wengine mtanitania na comment za utani ila naomba mfahamu niko serious naomba nishaurini kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oa uliyezaa nae. Wanawake wengi wanapenda ushirikina hata huyo uliyezaa nae anaweza kuja kumshirikisha Mungu vile vile. Ila kwa kuwa mna mtoto tayari muoe yeye ingawa naye anaonekana anapenda hela (materialistic wife) ..itakuwa mchaga eeh! Usije ukapigiwa pale atakapokutana na mwenye umatemate kuliko wewe, ingawa kuchapiwa ni siri za ndani.

Pia huyo mwingine usifikiri ukioa ndio atakuacha...wewe wanawake huwajui wewe! Hivyo kama naye bado unampenda unaweza kuendelea nae kama side chick ila amuheshimu mke wako.
 
🤣🤣🤣 Umemuita wa nini tena!!
Mwenzio jana katoka kunisifia, anataka kunipa invitation ya LA nikasalimie maaunt zangu
Nimemuita Bro sababu anakukubali sana, na LA lazima uende ukawasabahi kina E..!!
Nishamuona. Na kidumu chake cha petroli mkononi ezi yujo. Huwa ananifurahisha sana kwa kweli maana nilianza kumfuatilia kitambo japo ilikuwa kimya kimya. Partial instigator (mchechemuaji wa chini chini) mbobevu 😁😁😁😁❤️
😂😂😂😂
Na hiyo shughuli ya kidumu cha petroli anaiweza hatari walaqhi'..!! Me napendaga namna kachangamka mno..!!
 
Katika sifa za mpenzi A uliona tu hiyo ya Shepu mkuu? au hukuona mazuri yake niliyo yaongelea umeona shepu ndio ilionileta hapa,kuna mahali niliandika shepu? au uzuri kwako ni shepu?

Usilazimishe kuweka fikra zako za mwanamke mzuri kwa kila mwanaume unaposhauri shauri ila usiingize mawazo na fikra zako kwa mwenzako.
Bro wasikupangie me niko pamoja na wewe,
Weka manual “A” hiyo ndani, miluzi mingi inapoteza mbwa.
Mwenye pesa atakusumbua utashindwa kumtawala, bora mshirikina mnashea na mganga tu, unakuwa unamjua adui yako 😜
 
Back
Top Bottom