Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Jibu unalo kua unataka umuoe mpenzi B hapa unatusumbua tu kutaka tukupe support huko.Mpenzi B ni rafiki kutokana na tumekaa pamoja muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu unalo kua unataka umuoe mpenzi B hapa unatusumbua tu kutaka tukupe support huko.Mpenzi B ni rafiki kutokana na tumekaa pamoja muda mrefu
Kukaa pamoja na Urafiki ni sawa na si sawa.Mnaweza kuwa mbali na ni washkaji balaa.Mpenzi B ni rafiki kutokana na tumekaa pamoja muda mrefu
Asante kwa ushauriWew umri wa kuoa bado. Nenda hadi 50 yrs old labda utajua maana ya mke, kwa sasa hujui. Km unaweza kusema mwanamke anakupenda 💯% hiyo ni ishara kuwa humjui mwanamke na hustahili kuoa sasa hivi. Hivi hizo % umeingia moyoni mwake ukaziona au unahisi na kukisia tu. Hata mama yako/baba yako yawezekana askupende kwa% hizo kutokana na mapungufu yako, sasa iweje mtoto wa familia nyingine ambaye hujui hata ukoo wake in detail.
Halafu unaorodhesha sifa za kijinga eti sura, umbile, nk. Unasema akipita mbele ya mwanaume lazima aombwe namba, are you serious. Sawa siyo mbaya kwa muono wako sasa wewe unataka mke wa show off au mke wa moyo wako. Ndo maan nikasema umri wako wa kuoa bado subiri ukue kwanza. Yani wewe ni wa kuonea huruma sn.
In nutshell, huyo unaemsifia kwa umbo na blaa blaa kibao siyo mke, hutamaliza naye miaka 2 kabla ya kuja hapa unalia.
inabidi awahi haraka sasa afanye maamuzi kabla hajamwendea kwa babu😃😂Amuache amroge ndio umalaya utamuisha.
nina sababu zaidi ya 1000 ya kusema mtu ananipenda kwa 100% sijakurupuka kama unavyohisi.Wew umri wa kuoa bado. Nenda hadi 50 yrs old labda utajua maana ya mke, kwa sasa hujui. Km unaweza kusema mwanamke anakupenda 💯% hiyo ni ishara kuwa humjui mwanamke na hustahili kuoa sasa hivi. Hivi hizo % umeingia moyoni mwake ukaziona au unahisi na kukisia tu. Hata mama yako/baba yako yawezekana askupende kwa% hizo kutokana na mapungufu yako, sasa iweje mtoto wa familia nyingine ambaye hujui hata ukoo wake in detail.
Halafu unaorodhesha sifa za kijinga eti sura, umbile, nk. Unasema akipita mbele ya mwanaume lazima aombwe namba, are you serious. Sawa siyo mbaya kwa muono wako sasa wewe unataka mke wa show off au mke wa moyo wako. Ndo maan nikasema umri wako wa kuoa bado subiri ukue kwanza. Yani wewe ni wa kuonea huruma sn.
In nutshell, huyo unaemsifia kwa umbo na blaa blaa kibao siyo mke, hutamaliza naye miaka 2 kabla ya kuja hapa unalia.
Namie Kama huyu hapa. Oa huyo wa kwanza ambaye ana mtt wako. Anakupenda mpaka akakuzalia. Kikawaiada mwanamke inabidi awe na mwanaume Strong wa kuitunza familia.ukimuacha yule wa kwanza baadaye utakuja kutuletea kisa kingine hapa. Iyo unapoumwa asije huwa Kuna kitu Ila anatuma hela sio mbaya.Muoe mama mtoto wako, huyo mshirikina achana naye kwanza
Ni kweli👏👏, amuoe mama mtoto wamuongezee na mdogo wake kabisaNamie Kama huyu hapa. Oa huyo wa kwanza ambaye ana mtt wako. Anakupenda mpaka akakuzalia. Kikawaiada mwanamke inabidi awe na mwanaume Strong wa kuitunza familia.ukimuacha yule wa kwanza baadaye utakuja kutuletea kisa kingine hapa. Iyo unapoumwa asije huwa Kuna kitu Ila anatuma hela sio mbaya.
😂😂😂😂Oa huyo mshirikina nyumba ichangamke bana,
mara kakuwekea limbwata unajifunga khanga unatoka na beseni la vyombo unaosha majirani tunakonyezana tunacheka eeeee!!!alooooooh!! 😂😂😂😂
Hatujatulia umetoka na nguo unaanika pichu za mkeo, na sie tunakuuliza, “Shemeji tukupe na zetu utufulie??” 🤣🤣🤣
Kidogo umeibuka nikuazime mbuzi ukakune nazi uunge samaki
Yani mambo pambe ndani hakupoi, mara mkeo kapata mimba kumbe sio yako ya mganga 🤣🤣🤣
Muoe bhana wambea tufurahie na hiyo ndoa
Oa huyo mshirikina nyumba ichangamke bana,

Katika sifa za mpenzi A uliona tu hiyo ya Shepu mkuu? au hukuona mazuri yake niliyo yaongelea umeona shepu ndio ilionileta hapa,kuna mahali niliandika shepu? au uzuri kwako ni shepu?Wew umri wa kuoa bado. Nenda hadi 50 yrs old labda utajua maana ya mke, kwa sasa hujui. Km unaweza kusema mwanamke anakupenda 💯% hiyo ni ishara kuwa humjui mwanamke na hustahili kuoa sasa hivi. Hivi hizo % umeingia moyoni mwake ukaziona au unahisi na kukisia tu. Hata mama yako/baba yako yawezekana askupende kwa% hizo kutokana na mapungufu yako, sasa iweje mtoto wa familia nyingine ambaye hujui hata ukoo wake in detail.
Halafu unaorodhesha sifa za kijinga eti sura, umbile, nk. Unasema akipita mbele ya mwanaume lazima aombwe namba, are you serious. Sawa siyo mbaya kwa muono wako sasa wewe unataka mke wa show off au mke wa moyo wako. Ndo maan nikasema umri wako wa kuoa bado subiri ukue kwanza. Yani wewe ni wa kuonea huruma sn.
In nutshell, huyo unaemsifia kwa umbo na blaa blaa kibao siyo mke, hutamaliza naye miaka 2 kabla ya kuja hapa unalia.
🤣🤣🤣 Umemuita wa nini tena!!😂😂😂😂
Bro Shimba ya Buyenze njoo umuone mdogo wako huku mpenda vurugu..!!
vikojoleo hapana, tunaishi kwa upendo wa agape its so long ni miaka zaidi ya mi 4 hatujaunganisha na tunakutana ila hamna mwenye interest hizo tunaongea mambo ya maana plan za maana muda unaenda tunaachana.Just Kiss off it goesHuyu mama wa mtoto huwa anakuja kukujulia hali uliko kwa maana ya kuunganisha vikojoleo au kama sio kuja ikitokea wewe umeenda mjini huwa mnaonana?