Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali.

Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka pita zangu nili kua katika distance relationship na Mpenzi A...(mama mtoto wangu)

Kutokana na umbali yeye mkoa A mimi mkoa B nikajikuta nimeanzisha mahusiano na Mpenzi B.

Ukweli ni kwamba Mpenzi B sina mtoto nae ila kimuonekano ni Mzuri Juu mpka chini hana kasoro ni aina ya wanawake ambao akikuptia mbele yako huwezi acha omba namba ni mzuri plus plus (wanaume nadhani tunaelewana)

Ananipenda 100% sina mashaka nae sinaaaa ila tu hamna mwanadamu asie na kasoro

kasoro ya kwanza ni Dini (ni muislam)

Ya pili ni Mswahili anapenda ushirikina mambo ya kwa kalmanzila haoni shida,kuchanjwa chale its ok with her hana shida eneo hilo shida akiwa nazo yeye ni kwa wataalamu,nk (kitu sikipendi kwakweli)

Kasoro ingine kuna wakati ana kiburi na madharau ukimkasirikia ukamnunia anajishusha anatubu unamsamehe yanaisha.

Ana wivu uliopitiliza (japo ni kawaida kwa mtu anaekupenda)

Hizi ni sifa zake

Ependo anao kweli,anajitoa kwangu,sina mashaka nae nikiumwa hawezi niacha nijiuguze mwenyewe anahudumia mgonjwa kwa viwango vya 5G,

Haombi hela hata siku moja huyu mwanamke,anafanya kazi hana tamaa kabisa. Hayo ni kwa Uchache.

Nije kwa MPENZI A ambae ni MAMA mtoto wangu.

Huyu kwenye Upendo sina mashaka nae ni mwanamke anaenipenda tuna mtoto mmoja japo hatujawahi ishi kwa karibu kama huyu mpenzi B kwani alipata ujauzito akiwa Chuo, baada ya hapo akaenda kwao, akajifungua Akarudi chuonkumalizia then KWAO tena.

so unaweza pata picha namna hatuna ukaribu ule wa physical sana.

Ananipenda, anajitoa sana kwangu shida ndogo ndogo hizi za material things kuzitatua ni jambo la kawaida.. Shida za 1m,2m,3m kukupa ni simple tu, simu moja Tu anatatua.

Anawapenda ndugu zangu sana,Ni mpole mkimya sana.

Madhaifu yake ni mwanamke ambae si open sana kwangu ana siri siri flani ambazo haniambiii (hili nalijua)

Nikiumwa leo hiii yupo kwao ila hawezi inua mguu wake toka huko alipo akaja atatuma hela tu kwa ndugu zangu ziwasaidie kununua labda dawa,chakula,nk

Nilishawahi taka kumuoa kipindi flani 2017 huko akakataaa kwasababu alisema hana biashara na hawezi kukubali kuolewa ategemee biashara zangu mwanaume hata kama namfungulia (japo baadae alikuja iruka hii point akasema aliniambia tu kwasababu kipnd hcho alikua hanielewi elewi)

Ni mwanamke ambae finacialy kwao wako vizuri ila namuona n mwanamke ambae kwasababu ya uwezo wangu kipesa sasa ndio mana ananipenda, najiulizaga sana kama kweli ananipenda n kwann alinikataa kipindi kile,why now anamchecheto wa ndoa sana...??

Dini Ni mkristo,anamtunza mwanangu vizuri sana sana sana, Nikituma hela za matumizi ki ukweli kuna wakat anazikataaa anasema mtoto hana shida, na badala yake nitumie pesa hizo kufanya jambo lingine zuri kwa ajili ya future ya mtoto wetu.

Anajua naishi peke angu hivyo ni mwanamke ambae hamalizi wiki hajatuma vyombo,au mashuka ya chumban au chochote cha nyumbani, anafungasha huko anatuma vinakuja.

Ananipenda ki ukweli...

Naombeni Ushauri Kati ya Hawa wanawake wawili Nimuoe Yupi?

Akili yangu inaniambia Nisioe wote nitulie, kisha uvumilivu utaomshinda akiolewa basi ambae atakua hajaolewa badi nimuoe.

Maana sijui na sielewi nafanyaje hapa na nahitaji kuoa sio kesho ila mwaka huuu, Mahari ipo Mfuko wa Shati HAPA yani Mfuko wa Shati una 10m ambayo ni vikorombwezo vya mahari na mwanzo wa Ndoa nataka by December niwe na mke.

if not January isifike February... Harusi yangu haitokua na michango just mialiko tu watu waje washuhudie. Budget ya 10m kwa sherehe inatosha kabisa.

Mahari ikila 5m ikibaki 5m nkiongeza 5m so 10m inantosha kabisa kufanya simple wedding party bila kuchangisha Mtu.

Ni harusi ya chap chap sana nataka ifanya Kamati ni kichwa changu.

ila kabla ya huko kote Je ni Nani kati ya hawa wanawake wawili mnanishauri nipite nae?

Niko serious wapendwa najua wengine mtanitania na comment za utani ila naomba mfahamu niko serious naomba nishaurini kitu.
Cjasoma yote ila nikushauri huyo qliye kuzalia usimwache .....
 
Kwahiyo hili ni gumu kulifanyia maamuzi?

😃
Gumu kwa upande wangu Mkuu, Ukiondoa ushirikina wa upande B ana mengi mazuri mengi tu mengi sana ndio mana sikua naelewa nini nifanye.
 
Haya naombeni kuambiwa namna ya kumuacha huyu mwingine bila kumuachia jeraha basi.

Mchane tu kuwa haupo tayari kuwa na mahusiano na mwanamke mitunguli...

Ukoshimdwa ongea hivyo mbele zake, jua kuwa akili yako ishafichwa kwenye kibuyu na hicho kibuyu kimetupwa kisiwani baharini huko...
 
Wew umri wa kuoa bado. Nenda hadi 50 yrs old labda utajua maana ya mke, kwa sasa hujui. Km unaweza kusema mwanamke anakupenda 💯% hiyo ni ishara kuwa humjui mwanamke na hustahili kuoa sasa hivi. Hivi hizo % umeingia moyoni mwake ukaziona au unahisi na kukisia tu. Hata mama yako/baba yako yawezekana askupende kwa% hizo kutokana na mapungufu yako, sasa iweje mtoto wa familia nyingine ambaye hujui hata ukoo wake in detail.

Halafu unaorodhesha sifa za kijinga eti sura, umbile, nk. Unasema akipita mbele ya mwanaume lazima aombwe namba, are you serious. Sawa siyo mbaya kwa muono wako sasa wewe unataka mke wa show off au mke wa moyo wako. Ndo maan nikasema umri wako wa kuoa bado subiri ukue kwanza. Yani wewe ni wa kuonea huruma sn.
In nutshell, huyo unaemsifia kwa umbo na blaa blaa kibao siyo mke, hutamaliza naye miaka 2 kabla ya kuja hapa unalia.
 
Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali.

Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka pita zangu nili kua katika distance relationship na Mpenzi A...(mama mtoto wangu)
Nimeishia hap kwenye bold. Yani umzalishe, alaf leo hii unataka umuachie nani? Kama haupo sure na mtu, why uweke mimba?

Mkuu hebu Baki na mama mtoto wako. Huyo mtoto ana haki ya kulelewa na wazazi wote wawili.
 
Haya naombeni kuambiwa namna ya kumuacha huyu mwingine bila kumuachia jeraha basi.
Bila kuacha jeraha how? Yani kwenye mahusiano hakunaga peaceful break up, lazima kuna mmoja atakuwa anaumia, hata kama hatosema.

Na huyo manzi wa pili umesema anapenda sana mikaratusi? Nakushauri okoka kabla hujampiga chini, maana lazima akuroge tu.
 
Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali.

Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka pita zangu nili kua katika distance relationship na Mpenzi A...(mama mtoto wangu)

Kutokana na umbali yeye mkoa A mimi mkoa B nikajikuta nimeanzisha mahusiano na Mpenzi B.

Ukweli ni kwamba Mpenzi B sina mtoto nae ila kimuonekano ni Mzuri Juu mpka chini hana kasoro ni aina ya wanawake ambao akikuptia mbele yako huwezi acha omba namba ni mzuri plus plus (wanaume nadhani tunaelewana)

Ananipenda 100% sina mashaka nae sinaaaa ila tu hamna mwanadamu asie na kasoro

kasoro ya kwanza ni Dini (ni muislam)

Ya pili ni Mswahili anapenda ushirikina mambo ya kwa kalmanzila haoni shida,kuchanjwa chale its ok with her hana shida eneo hilo shida akiwa nazo yeye ni kwa wataalamu,nk (kitu sikipendi kwakweli)

Kasoro ingine kuna wakati ana kiburi na madharau ukimkasirikia ukamnunia anajishusha anatubu unamsamehe yanaisha.

Ana wivu uliopitiliza (japo ni kawaida kwa mtu anaekupenda)

Hizi ni sifa zake

Ependo anao kweli,anajitoa kwangu,sina mashaka nae nikiumwa hawezi niacha nijiuguze mwenyewe anahudumia mgonjwa kwa viwango vya 5G,

Haombi hela hata siku moja huyu mwanamke,anafanya kazi hana tamaa kabisa. Hayo ni kwa Uchache.

Nije kwa MPENZI A ambae ni MAMA mtoto wangu.

Huyu kwenye Upendo sina mashaka nae ni mwanamke anaenipenda tuna mtoto mmoja japo hatujawahi ishi kwa karibu kama huyu mpenzi B kwani alipata ujauzito akiwa Chuo, baada ya hapo akaenda kwao, akajifungua Akarudi chuonkumalizia then KWAO tena.

so unaweza pata picha namna hatuna ukaribu ule wa physical sana.

Ananipenda, anajitoa sana kwangu shida ndogo ndogo hizi za material things kuzitatua ni jambo la kawaida.. Shida za 1m,2m,3m kukupa ni simple tu, simu moja Tu anatatua.

Anawapenda ndugu zangu sana,Ni mpole mkimya sana.

Madhaifu yake ni mwanamke ambae si open sana kwangu ana siri siri flani ambazo haniambiii (hili nalijua)

Nikiumwa leo hiii yupo kwao ila hawezi inua mguu wake toka huko alipo akaja atatuma hela tu kwa ndugu zangu ziwasaidie kununua labda dawa,chakula,nk

Nilishawahi taka kumuoa kipindi flani 2017 huko akakataaa kwasababu alisema hana biashara na hawezi kukubali kuolewa ategemee biashara zangu mwanaume hata kama namfungulia (japo baadae alikuja iruka hii point akasema aliniambia tu kwasababu kipnd hcho alikua hanielewi elewi)

Ni mwanamke ambae finacialy kwao wako vizuri ila namuona n mwanamke ambae kwasababu ya uwezo wangu kipesa sasa ndio mana ananipenda, najiulizaga sana kama kweli ananipenda n kwann alinikataa kipindi kile,why now anamchecheto wa ndoa sana...??

Dini Ni mkristo,anamtunza mwanangu vizuri sana sana sana, Nikituma hela za matumizi ki ukweli kuna wakat anazikataaa anasema mtoto hana shida, na badala yake nitumie pesa hizo kufanya jambo lingine zuri kwa ajili ya future ya mtoto wetu.

Anajua naishi peke angu hivyo ni mwanamke ambae hamalizi wiki hajatuma vyombo,au mashuka ya chumban au chochote cha nyumbani, anafungasha huko anatuma vinakuja.

Ananipenda ki ukweli...

Naombeni Ushauri Kati ya Hawa wanawake wawili Nimuoe Yupi?

Akili yangu inaniambia Nisioe wote nitulie, kisha uvumilivu utaomshinda akiolewa basi ambae atakua hajaolewa badi nimuoe.

Maana sijui na sielewi nafanyaje hapa na nahitaji kuoa sio kesho ila mwaka huuu, Mahari ipo Mfuko wa Shati HAPA yani Mfuko wa Shati una 10m ambayo ni vikorombwezo vya mahari na mwanzo wa Ndoa nataka by December niwe na mke.

if not January isifike February... Harusi yangu haitokua na michango just mialiko tu watu waje washuhudie. Budget ya 10m kwa sherehe inatosha kabisa.

Mahari ikila 5m ikibaki 5m nkiongeza 5m so 10m inantosha kabisa kufanya simple wedding party bila kuchangisha Mtu.

Ni harusi ya chap chap sana nataka ifanya Kamati ni kichwa changu.

ila kabla ya huko kote Je ni Nani kati ya hawa wanawake wawili mnanishauri nipite nae?

Niko serious wapendwa najua wengine mtanitania na comment za utani ila naomba mfahamu niko serious naomba nishaurini kitu.
1.Achana na huyo mshirikina, huwezi kujua lini atakupiga juju
2.Unataka kuishi na mama watoto mumlee mtoto pamoja au mwanao alelewe na baba wa kambo? It's up to you
Nasisitiza achana na huyo Sangoma hata awe na shape namba 8.
OVER
 
Acha mambo ya mtoto ,ooh ananipenda ,ooh shepu ,ooh wivu.
Katika wote wawili yupi ni Rafiki Yako ?
Yaani nyie ni marafiki hasa hata bila ndoa yaani ni maswahiba.
Muoe huyo na hutojuta.
 
basi nirekebishe niseme ananipenda 90%

niliweka 100% kwasababu naamini una mpenzi lakini sidhani kama anaweza kunywa sumu kwasababu yako, yani na uhakika hawezi ila huyu wangu anaweza na sio mara 1 kwahyo mtu anaeweza jitoa uhai wake kisa wewe,sidhani kama unashindwa sema unampa 100%.
Inaonekana wewe bado mgeni wa mapenzi na huwajui wanawake. Anyway ng9ja nikuulize huyu mshirikina anajua status uliyonayo ya kuwa ni baba?

Huyu mama wa mtoto huwa anakuja kukujulia hali uliko kwa maana ya kuunganisha vikojoleo au kama sio kuja ikitokea wewe umeenda mjini huwa mnaonana?

Hili ni rahisi kuamua ila mshirikina ameshaanza kukita dawa zake kwako ndio maana unapata wenge
 
Back
Top Bottom