Na bila kukupesa macho ametoka kwenye umaskini mkubwa Sana huko kwao na hata Hilo wazo la kusoma masters kwake ni ndoto ya kutisha (ghost nightmare)
Sijawah kuona mwalimu aliyetoka kwenye familia nzuri inayojiweza
Na familia nzuri zinazojiweza kwao kusoma course ya ualimu ni laana tu na sio fantasies zao
Yaan ni kama kumkuta muhindi au ,muarabu mtanzania anasomea ualimu au umkute jeshini Ili apate nin ?
Mdogo wangu aache kujipa illusion za kiboss maliza shule urudi kijijini kwenu ukaisaidie jamii Yako kutoka kwenye kilindi Cha ufukara