900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
kweli walimu wanahali ngumu sijui hizo elemu watakujafaidi lini wakati kuna watu wana certificate wanatusua maishaMimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii)
Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo;
1. Parasitology and Entomology
2. Molecular biology and Biotechnology
3. Cell biology and Genetic
4. Developmental biology
5. Ecology
6. Environmental science
7. Vertebrates Biology
LENGO LANGU KUU NIKUA ASSISTANT LECTURER KWAHYO NAOMBA USHAURI WENU TUKIZINGATIA SOKO NA MAHITAJI
ASANTENI