Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

Ahh lakn kwavyuo vingne je
 
2
 
Kumbe mtu akisomea ualimu kwao ni mafukara na anatokea kijijini! Nashukuru umenipa somo jipya
 
JSome public health
 
LENGO LANGU KUU NIKUA ASSISTANT LECTURER KWAHYO NAOMBA USHAURI WENU TUKIZINGATIA SOKO NA MAHITAJI

Kwa nafasi za kufundisha kwenye vyuo inataka GPA yako ya undergraduate degree iwe angalau kuanzia 3.8

Vipi GPA yako unaona inaridhisha?

Kama inaridhisha komaa master's degree nayo iwe na GPA nzuri kuanzia 4.0

You must be potentially good academically
 
Kumbe mtu akisomea ualimu kwao ni mafukara na anatokea kijijini! Nashukuru umenipa somo jipya
Habar ndio hiyo mdogo wangu babako angekuwa na kibunda first degree ungesomea hizo course ulizozitaja
 

Attachments

  • FB_IMG_1712599917212.jpg
    56.8 KB · Views: 4
Ingia mtaani ukachukue masters ya kitaa
 
Fanyia kazi kwanza elimu uliyonayo usijaze theories tu kichwani
 
Tumemwambiaa kawa mkali
 
Hizo kozi zote hakuna unayoweza kuproceed labda environmental science na even then hyo pia sioni ukipata chance ....biotechnology utaingia vp with an education degree
 
Kuna mwenzako hapa alisema anakwenda kusoma PhD, anaomba watu wamchagulie topic ya kufanya research nikamkandia akanitukana. What is wrong with Bongo education? Wewe unasema unatarajia kumaliza degree ya ualimu halafu unashindwa kuchagua ukasomee nini? Kuna drawbacks nyingi za kusoma course kwa kutumia kigezo cha soko tu.
 
Hizo kozi zote hakuna unayoweza kuproceed labda environmental science na even then hyo pia sioni ukipata chance ....biotechnology utaingia vp with an education degree
Watu wajuzi jaman hizo KOZI zote nimeambiwa naweza soma na nasoma bachelor of science with education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…